AI-assisted research summary: Mpango wa kina wa eneo lililoainishwa katika Jedwali huhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipangomiji na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda.
3. Mpango wa kina wa eneo lililoainishwa katika Jedwali unaandaliwa na kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipangomiji na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda. 1 Amri ya Mpango Wa Urasimishaji wa Eneo la Misunkumilo Tangazo La Serikali Na. 662 (Linaendea.) ______ JEDWALI ______ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) Eneo la Mpango wa Urasimishaji lipo ndani ya Mipaka ifuatayo: “Unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji A1 yenye majira-nukta 284673E, 9298569N kutoka kwenye makutano ya barabara ya Mpanda-Uvinza na barabara ya Kakese kuelekea Kusini- Magharibi katika uelekeo wa S31040’02”W kwa umbali wa kilomita 0.13 kupitia barabara ya Mpanda - Uvinza hadi alama ya mpaka ya upimaji A2 yenye majira-nukta 284612E, 9298464N, baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini- Magharibi katika uelekeo wa N52040’28”W kwa umbali wa kilomita 0.1 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji A3 yenye majira-nukta 284531E, 9298527N, baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Magharibi katika uelekeo wa S43027’53”W kwa umbali wa kilomita 0.0.34 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji A4 yenye majira-nukta 284294E, 9298277N, baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Mashariki katika uelekeo wa S42059’07”E kwa umbali wa kilomita 0.14 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji A5 yenye majira-nukta 284396E, 9298169N, baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini –Mashariki katika uelekeo wa N47017’26”E kwa umbali wa kilomita 0.07 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji A6 yenye majira-nukta 284440E, 9298220N, baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Mashariki katika uelekeo wa S47038’33”E kwa umbali wa kilomita 0.14 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji A7 yenye majira – nukta 284539E, 9298125N, baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa S37018’14”W kwa umbali wa kilomita 0.08 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji A8 yenye majira-nukta 284502E, 9298061N, baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini- Mashariki katika uelekeo wa S51015’57”E kwa umbali wa kilomita 0.19 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji A9 yenye majira-nukta 284639E, 9297947N, baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini –Mashariki katika uelekeo N35043’12”E kwa umbali wa kilomita 0.22 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji A10 yenye majira-nukta 284769E, 9298124N, baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Mashariki katika uelekeo wa S52041’46”E kwa umbali wa kilomita 0.053 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji A11 yenye majira –nukta 284812E, 9298092N, baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini- Magharibi katika uelekeo wa S10021’59”W kwa umbali wa kilomita 0.17 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji A12 yenye majira-nukta 2847812E, 9297928N, baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Magharibi katika uelekeo wa S46039’20”W kwa umbali wa kilomita 0.12 hadi alama ya mpaka ya upimaji A13 yenye majira-nukta 284692E, 9297844N, baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Magharibi katika uelekeo wa N73044’23”W kwa umbali wa kilomita 0.2 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji A14 yenye majira-nukta 284502E, 9297899N, baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Magharibi katika uelekeo wa N45039’43”W kwa umbali wa kilomita 0.8 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji A15 yenye majira-nukta 283925E, 9298464N, baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Magharibi katika uelekeo wa N31045’34”W kwa umbali wa kilomita 0.54 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji A16 yenye majira-nukta 283641E, 9298928N, baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Mashariki katika uelekeo wa N31005’01”E kwa umbali wa kilomita 0.57 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji A17 2 Amri ya Mpango Wa Urasimishaji wa Eneo la Misunkumilo Tangazo La Serikali Na. 662 (Linaendea.) yenye majira-nukta 283941E, 9299408N, baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini- Mashariki katika uelekeo wa S53001’32”E kwa umbali wa kilomita 0.33 pembezoni mwa barabara ya Mpanda-Uvinza hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji A18 yenye majira- nukta 284195E, 9299224N, baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Mashariki katika uelekeo wa 36019’24”E kwa umbali wa kilomita 0.8 hadi ulipoanzia”. Dodoma, 8 Novemba, 2022 ANGELINE S. MABULA, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi 3