648 hadi alama ya mpaka ya upimaji P2 ukikatiza barabara ya Mpanda – Sumbawanga yenye
Verify source ↗ AI-assisted research summary: This section describes a surveyed boundary line using coordinates, directions, distances, and landmarks.
0.648 hadi alama ya mpaka ya upimaji P2 ukikatiza barabara ya Mpanda – Sumbawanga yenye majira - nukta 294307.849E, 9268383.702N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Mashariki katika uelekeo wa S 15° 37' 17''E kwa umbali wa kilomita 0.121 sambamba na barabara ya Mpanda – Sumbawanga hadi alama ya mpaka ya upimaji P3 yenye majira - nukta 294340E, 9268266.665N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Mashariki katika uelekeo wa N 75° 47' 20'' E 949 kwa umbali wa kilomita 0.359 hadi alama ya mpaka ya upimaji P4 yenye majira - nukta 294688.907E, 9268354N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Magharibi katika uelekeo wa N 15° 56' 14'' W kwa umbali wa kilomita 0.268 hadi alama ya mpaka ya upimaji P5 yenye majira - nukta 294615.234E, 9268612.948N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Mashariki katika uelekeo wa N 75° 51' 40'' E kwa umbali wa kilomita 0.527 hadi alama ya mpaka ya upimaji P6 yenye majira - nukta 295126E, 9268741.786N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Masharki katika uelekeo wa S 09° 02' 06'' E kwa umbali wa kilomita 0.177 hadi alama ya mpaka ya upimaji P7 yenye majira - nukta 295154.593E, 9268566.328N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Mashariki katika uelekeo wa S 70° 39' 45'' E kwa umbali wa kilomita 0.262.81 hadi alama yampaka ya upimaji P8 yenye majira - nukta 295402.140E, 9268479.295N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Magharibi katika uelekeo wa S 33° 30' 29'' W kwa umbali wa kilomita 0.942 hadi alama ya mpaka ya upimaji P9 yenye majira - nukta 294881.900E, 9267692.886N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Magharibi katika uelekeo wa S 07°21'31'' W kwa umbali wa kilomita 0.483 hadi alama ya mpaka ya upimaji P10 yenye majira - nukta 294819.940E, 9267213.102N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Mashariki katika uelekeo wa S 89° 35' 04'' E kwa umbali wa kilomita 0.328 ukikatiza daraja na mto Katuma sambamba na barabara ya Mpanda – Mpimbwe hadi alama ya mpaka ya upimaji P11 yenye majira ya nukta 295148.696E, 9267210.718N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Magharibi katika uelekeo wa S 01° 25' 05'' W kwa umbali wa kilomita 0.279 ukikatiza barabara ya Mpanda – Mpimbwe hadi alama ya mpaka ya upimaji P12 yenye majira - nukta 295141.772E, 9266930.975N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Magharibi katika uelekeo wa N 77° 44' 32'' W kwa umbali wa kilomita 0.636 ukikatiza mto Katuma na barabara ya Mpanda – Sumbawanga hadi alama ya mpaka ya upimaji P13 yenye majira - nukta 294520.128E, 9267066.037N: baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Magharibi katika uelekeo wa N 52° 18' 45'' W kwa umbali wa kilomita 0.324 hadi alama ya mpaka ya upimaji P14 yenye majira - nukta 294263.636E, 9267264.187N: baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Magharibi katika uelekeo wa N 31° 11' 55'' W kwa umbali wa kilomita 1.13 hadi ulipoanzia”. Dodoma, 8 Novemba, 2022 ANGELINE S. MABULA, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi 2