AI-assisted research summary: Mpango wa kina wa eneo lililoainishwa kwenye Jedwali lazima uandaliwe na kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipangomiji na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda.
3. Mpango wa kina wa eneo lililoainishwa katika Jedwali unaandaliwa na kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipangomiji na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda. 1 Amri ya Mpango wa Urasimishaji wa Eneo la Nsemulwa Tangazo la Serikali Na. 668 (Linaendelea.) ______ JEDWALI ______ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) Eneo la Mpango wa Urasimishaji lipo ndani ya Mipaka ifuatayo: “Unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji A1 yenye majira-nukta 288967E, 9299045N kutoka kwenye makutano ya barabara ya Muunga Mifupa na barabara ya Nsalamba, baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Magharibi katika uelekeo wa N83013’24”W kwa umbali wa kilomita 0.27 kupitia barabara ya Nsalamba hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji A2 yenye majira – nukta 288699E, 9299077N, baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Magharibi katika uelekeo wa S84045’29”W kwa umbali wa kilomita 0.12 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji A3 yenye majira-nukta 288582E, 9299066N, baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Mashariki katika uelekeo wa S04007’39”E kwa umbali wa kilomita 0.22 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji A4 yenye majira-nukta 288597E, 9298849N, baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini- Magharibi katika uelekeo wa S80009’33”W kwa umbali wa kilomita 0.084 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji A5 yenye majira – nukta 288514.608E, 9298834.406N, baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini- Magharibi katika uelekeo wa S04036’58”W kwa umbali wa kilomita 0.28 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji A6 yenye majira-nukta 288493E, 9298561N, baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Mashariki katika uelekeo wa S66054’27”E kwa umbali wa kilomita 0.45 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji A7, kwenye makutano ya barabara ya Shule ya Msingi na barabara ya Muunga Mifupa kwenye alama ya mpaka ya upimaji A8 yenye majira-nukta 288898E, 9298388N, baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Mashariki katika uelekeo wa N24013’52”E kwa umbali wa kilomita 0.05 kwenye alama ya mpaka ya upimaji A9 yenye majira nukta 288909E, 9298440N, baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini –Mashariki kupitia barabara ya Muunga Mifupa katika uelekeo wa N14035’58” kwa umbali wa kilomita 0.15 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji A10 yenye majira – nukta 288947E, 9298586N, baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini- Mashariki katika uelekeo wa N04045’03”E kwa umbali wa kilomita 0.18 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji A11 yenye majira-nukta 288962E, 9298764N, baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Magharibi katika uelekeo wa N02008’01”W kwa umbali wa kilomita 0.12 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji A12 yenye majira – nukta 288958E, 9298880N, baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Mashariki katika uelekeo wa N03022’46”E kwa umbali wa kilomita 0.17 hadi ulipoanzia.” Dodoma, 8 Novemba, 2022 ANGELINE S. MABULA, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi 2