AI-assisted research summary: Mpango wa kina wa eneo lililo kwenye Jedwali lazima uandaliwe na kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipangomiji na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda.
3. Mpango wa kina wa eneo lililoainishwa katika Jedwali unaandaliwa na kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipangomiji na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda. 1 Amri ya Mpango wa Urasimishaji wa Eneo la Magamba Tangazo La Serikali Na. 669 (Linaendelea.) ______ JEDWALI ______ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) Eneo la Mpango wa Urasimishaji lipo ndani ya Mipaka ifuatayo: “Unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji A1 yenye majira-nukta 288486E, 9289793N kutoka kwenye makutano ya barabara Mpanda - Sumbawanga na mwanzo wa eneo la urasimishaji, baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Mashariki katka uelekeo wa N50003’14”E kwa umbali wa kilomita 0.1 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji P2 yenye majira nukta 288566E, 9289860N, baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini -Magharibi katika uelekeo wa N04051’37’’W kwa umbali wa kilomita 0.3 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji P3 yenye majira - nukta 288541E, 9290154N, baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Mashariki katika uelekeo wa N56032’05”E kwa umbali wa kilomita 0.2 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji P4 yenye majira-nukta 288718E, 9290271N, baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Mashariki katika uelekeo wa N65013’29”E kwa umbali wa kilomita 0.4km hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji P5 yenye majira-nukta 289056E, 9290427N, baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini- Mashariki kwa uelekeo wa N03027’06”E kwa umbali wa kilomita 0.32 hadi kwenya alama ya mpaka ya upimaji P6 yenye majira-nukta 289075, 9290742, baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Magharibi kaatika uelekeo wa N29026’04”W kwa umbali wa kilomita 0.4 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji P7 yenye majira-nukta 288895E, 9291061N, baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini- Magharibi katika uelekeo wa N18008’11”W kwa umbali wa kilomita 0.55 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji P8 yenye majira- nukta 288725E, 9291580N, baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Magharibi katika uelekeo wa S66013’05”W kwa umbali wa kilomita 0.39 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji P9 yenye majira-nukta 288371E, 9291424N, baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Magharibi katika uelekeo wa N65045’30”W kwa umbali wa kilomita 0.18 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji P10 yenye majira-nukta 288200E, 9291501N, baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Magharibi katika uelekeo wa N72038’56”W kwa umbali wa kilomita 1.15 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji P11yenye majira-nukta 287099E, 9291845N, baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Mashariki katika uelekeo wa S21032’52”E kwa umbali wa kilomita 0.42 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji P12 yenye majira –nukta 287099E, 9291845N, baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Mashariki katikta uelekeo wa S36011’05”E kwa umbali wa kilomita 0.8 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji P13 yenye majira-nukta 287727E, 9290807N, baada ya hapo mpaka unalekea Kusini-Mashariki katika uelekeo wa S50021’29”E kwa umbali wa kilomita 0.54 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji P14 yenye majira –nukta 288141E, 9290464N, baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini sambamba na barabara ya Mpanda - Sumbawanga kwa umbali wa kilomita 0.75 hadi ulipoanzia”. Dodoma, 8 Novemba, 2022 ANGELINE S. MABULA, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi 2