AI-assisted research summary: Mpango wa kina wa eneo lililoainishwa katika Jedwali lazima uandaliwe na kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipangomiji na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda.
3. Mpango wa kina wa eneo lililoainishwa katika Jedwali unaandaliwa na kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipangomiji na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda. 1 Amri ya Mpango wa Urasimishaji wa Eneo la Kivukoni Tangazo La Serikali Na. 670 (Linaendelea.) ______ JEDWALI ______ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) Eneo la Mpango wa Urasimishaji lipo ndani ya Mipaka ifuatayo: “Unaanzia kwenye alama ya mipaka ya upimaji namba ‘A1’ yenye majira - nukta 285805E, 9299559N kuanzia barabara ya Kigamboni kando ya Mto Kawajense ambao ndio mpaka, unaelekea Kusini - Magharibi uelekeo wa S 41°19'44''W kwa umbali wa kilomita 0.45 kando ya Mto Kawajense hadi alama ya mpaka ya upimaji namba A2 yenye majira - nukta 285507 E, 9299220 N, baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi uelekeo wa N 20°44'37''W kwa umbali wa kilomita 0.78 kilometres kando ya mto Misunkumilo hadi alama ya mpaka ya upimaji namba A3 yenye majira - nukta 285232 E, 9299942 N baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi uelekeo wa N 30°27'13''W kwa umbali wa kilomita 0.440 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba A4 yenye majira - nukta 285008 E, 9300328 N, baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki uelekeo wa N 38°52'59''E kwa umbali wa kilomita 0.203 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba A5 yenye majira - nukta 285136 E, 9300487 N, baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki uelekeo wa S 82°49'13''E umbali wa kilomita 0.244 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba A6 yenye majira - nukta 285378 E, 9300456 N, baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki uelekeo wa S13°01'50''E kwa umbali wa kilomita 0.177 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba A7 yenye majira - nukta 285418E, 9300284N, baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki uelekeo wa S 87°27'49''E kwa umbali wa kilomita 0.064 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba A8 yenye majira - nukta 285482 E, 9300287 N, baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki uelekeo wa S 03°44'59''E kwa umbali wa kilomita 0.162 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba A9 yenye majira - nukta 285494 E, 9300121N, baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki uelekeo wa S 12°47'03''E kwa umbali wa kilomita 0.476 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba A10 karibu na Shule ya Msingi Kigamboni yenye majira - nukta 285598 E, 9299660 N, baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi uelekeo wa S 87°11'33''W mpaka wa Shule ya Msingi Kigamboni kwa umbali wa kilomita 0.0385 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba A11 yenye majira – nukta 285560E, 9299660N baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi uelekeo wa S 02°36'30''W kwa umbali wa kilomita 0.082 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba A12 yenye majira - nukta 285557E, 9299577N, baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki uelekeo wa S 85°43'39''E kando ya mto Kigamboni kwa umbali wa kilomita