AI-assisted research summary: Mpango wa kina wa eneo lililoainishwa katika Jedwali huandaliwa na kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipangomiji na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo.
3. Mpango wa kina wa eneo lililoainishwa katika Jedwali unaandaliwa na kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipangomiji na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo. 1 Amri ya Mpango wa Urasimishaji wa Eneo la Itenka Tangazo La Serikali Na. 680 (Linaendelea.) _______ JEDWALI ________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) Eneo la Upangaji lipo ndani ya mipaka ifuatayo: “Unaanzia kwenye alama P1 yenye majira ya nukta 278229.999E, 9284491.741N ukifuata bonde la Mto wa Tukoma Magharibi; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Mashariki katika uelekeo wa S 53o 52’ 45” E hadi alama ya mpaka ya upimaji P2 yenye majira ya nukta 279516.190E, 9283553.038N: baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Magharibi katika uelekeo wa S 21o 58’ 35” W hadi alama ya mpaka ya upimaji P3 yenye majira ya nukta 279373.166E, 9283198.623N kwa umbali wa kilomita 0.382, baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Mashariki katika uelekeo wa S 72o 05’ 21” E hadi alama ya mpaka ya upimaji P4 yenye majira ya nukta 279712.644E, 9283087.288N kwa umbali wa kilomita 0.363; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Magharibi katika uelekeo wa S 18o 54’ 40” W hadi alama ya mpaka ya upimaji P5 yenye majira ya nukta 279637.479E, 9282853.290N kwa umbali wa kilomita 0.247; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Mashariki katika uelekeo wa S 26o 39’ 15” E hadi alama ya mpaka ya upimaji P6 yenye majira ya nukta 279842.134E, 9282445.566N kwa umbali wa kilomita 0.456, baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Magharibi katika uelekeo S 67o 51’ 50” W hadi alama ya mpaka ya upimaji P7 yenye majira ya nukta 279459.5766E, 9282289.945N kwa umbali wa kilomita 0.413, baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Magharibi katika uelekeo wa S 89o 47’ 44” W hadi alama ya mpaka ya upimaji P8 yenye majira ya nukta 278717.811E, 9282287.299N kwa umbali wa kilomita 0.741, baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Magharibi katika uelekeo wa N 71o 31’ 56” W hadi alama ya mpaka ya upimaji P9 yenye majira ya nukta 277752.276E, 9282609.760N ukifuata mfereji wa mto kwa umbali wa kilomita 1.017; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Mashariki katika uelekeo wa N 08o 23’ 31” E hadi alama ya mpaka ya upimaji P10 yenye majira ya nukta 277961.669E, 9284029.133N kwa umbali wa kilomita 1.434; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Magharibi katika uelekeo wa N 53o 30’ 17” W hadi alama ya mpaka ya upimaji P11 yenye majira ya nukta 277823.493E, 9284131.359N kwa umbali wa kilomita 0.171: baada ya hapo mpaka unaelekea katika alama ya mpaka ya upimaji P1 ulipoanzia yenye majira ya nukta 278229.999E, 9284491.741N kwa umbali wa kilomita 0.543” Dodoma, 8 Novemba, 2022 ANGELINE S. MABULA, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi 2