AI-assisted research summary: Mpango wa kina wa eneo lililoainishwa katika Jedwali unapaswa kuandaliwa na kuhifadhiwa na Mkurugenzi wa Mipangomiji na Mkurugenzi wa Mji wa Njombe.
3. Mpango wa kina wa eneo lililoainishwa katika Jedwali unaandaliwa na kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipangomiji na Mkurugenzi wa Mji wa Njombe. 1 Amri ya Mpango wa Urasimishaji wa Eneo la Mgendela Na Kihesa Tangazo La Serikali Na. 683 (Linaendelea.) ________ JEDWALI _________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) Eneo la Upangaji lipo ndani ya mipaka ifuatayo: “Unaanzia kwenye makutano ya mto Ruhuji na barabara ya mtaa kwenye alama yenye majira – nukta 694930.3707E, 8969043.4724N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki kwa umbali wa kilomita 1.102 hadi alama yenye majira – nukta 695764.7472E, 8968323.5771N; baada ya hapo mpaka unaelekea Mashariki kwa umbali wa kilomita 0.337 hadi kwenye alama yenye majira – nukta 696101.3046E, 8968300.9256N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini kwa umbali wa kilomita 0.654 hadi kwenye tawi la mto Ruhuji kwenye alama yenye majira - nukta 696125.3933E, 8967647.7051N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Magharibi kwa kufuata tawi la mto Ruhuji kwa umbali wa kilomita 0.782 hadi kwenye makutano ya barabara ya mtaa na tawi la mto Ruhuji kwenye alama yenye majira - nukta 695419.9831E, 8967310.6857N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini kwa kufuata barabara ya mtaa kwa umbali wa kilomita 0.244 hadi zinapokutana barabara mbili za mtaa kwenye alama yenye majira – nukta 695533.491E, 8967526.0732N; baada ya hapo mpaka unaelekea Magharibi kwa kufuata barabara ya mtaa kwa umbali wa kilomita 0.685 hadi kwenye alama yenye majira – nukta 694868.5465E, 8967689.5412N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini kwa kufuata barabara ya mtaa kwa umbali wa kilomita 0.405 hadi kwenye alama yenye majira – nukta 694776.1369E, 8967295.1079N; baada ya hapo mpaka unaelekea Magharibi kwa umbali wa kilomita 0.085 hadi kwenye alama yenye majira – nukta 694691.3801E, 8967306.3799N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini kwa umbali wa kilomita 0.057 hadi kwenye alama yenye majira – nukta 694679.465E, 8967250.3729N; baada ya hapo mpaka unaelekea Magharibi kwa umbali wa kilomita 0.054 hadi kwenye alama yenye majira – nukta 694627.5002E, 8967263.7648N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini kwa kufuata barabara ya mtaa kwa umbali wa kilomita 0.655 hadi kwenye alama yenye majira – nukta 694747.8366E, 8967906.3177N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi kwa kufuata barabara ya mtaa kwa umbali wa kilomita 0.54 hadi zinapokutana barabara ya Mgendela na bonde kwenye alama yenye majira – nukta 694350.7027E, 8968082.5049N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini kwa kufuata bonde kwa umbali wa kilomita 1.13 hadi ulipoanzia”. Dodoma, 8 Novemba, 2022 ANGELINE S. MABULA, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi 2