AI-assisted research summary: The detailed plan for the area listed in the Schedule must be prepared and kept by the specified planning director and the Mpanda District Executive Director.
3. Mpango wa kina wa eneo lililoainishwa katika Jedwali unaandaliwa na kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipangomiji na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda. Amri ya Mpango wa Urasimishaji wa Eneo la Tambuka Reli Tangazo la Serikali Na.686 (Linaendelea.) ______ JEDWALI ______ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) Eneo la Mpango wa Urasimishaji lipo ndani ya Mipaka ifuatayo: “Unaanzia kwenye alama ya mipaka ya upimaji namba ‘A1’ yenye majira - nukta 286366 E, 9297101N, kando ya bonde la mto Kasimba ambao ndio mpaka, unaelekea Kusini - Magharibi uelekeo wa S79°09'35''W kwa umbali wa kilomita 0.144 , hadi alama ya mpaka ya upimaji namba A2 yenye majira - nukta 286224 E, 9297074 N, baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi uelekeo wa N10°38'20''W kwa umbali wa kilomita 0.183 kando ya mpaka wa shule ya sekondari Kashaulili hadi alama ya mpaka ya upimaji namba A3 yenye majira - nukta 286190 E, 9297254 N, baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi uelekeo wa S 77°36'01''W kando ya mpaka wa shule ya Sekondari Kashaulili kwa umbali wa kilomita 0.257 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba A4 yenye majira - nukta 285939 E, 9297199 N, baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi uelekeo wa N 01°30'50''W kwa umbali wa kilomita 0.038 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba A5 yenye majira - nukta 285936 E, 9297237 N, baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki uelekeo wa N 74°01'15''E kwa umbali wa kilomita 0.103 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba A6 yenye majira – nukta 286035 E, 9297265 N), baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki uelekeo wa N 62°04'00''E kwa umbali wa kilomita 0.140 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba A7 yenye majira - nukta 286159 E, 9297331 N, baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi uelekeo wa N 01°35'28''W kwa umbali wa kilomita 0.180 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba A8 yenye majira - nukta 286153 E, 9297511 N, baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki uelekeo wa N 70°19'16''E kando ya mpaka wa njia ya Reli Railway kwa umbali wa kilomita 0.306 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba A9 yenye majira - nukta 286442 E, 9297614 N, baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Masharikki uelekeo wa N 86°10'47''E makutano ya barabara kuu ya TANROAD kwa umbali wa kilomita 0.112 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba A10 karibu na mpaka wa njia ya Reli yenye majira –nukta 286551 E, 9297621 N, baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki uelekeo wa S 63°31'56''W kando ya mpaka wa bonde la mto Kasimba kwa umbali wa kilomita 0.118 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba A11 yenye majira – nukta 286857 E, 9297572 N, baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi uelekeo wa S 29°50'14''W kwa umbali kilomita wa 0.157 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba A12 yenye majira - nukta 286578 E, 9297436 N, baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi uelekeo wa S 13°49'28''W kando ya mpaka wa bonde la mto Kasimba kwa umbali wa kilomita 0.062 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba A13 yenye majira – nukta 286564 E, 9297376 N) baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki uelekeo wa S22°14'56''W kando ya mpaka wa bonde la mto Kasimba kwa umbali wa kilomita 0.0214 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba A14 yenye majira - nukta 286572 E, 9297356 N baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi uelekeo wa S 33°04'43''W kwa umbali wa kilomita 0.091 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba A15 mpaka wa barabara kuu ya TANROAD yenye majira – nukta 286522 E, 9297280 N, baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi uelekeo wa N 54°21'03''W kando ya barabara kuu ya TANROAD kwa umbali wa kilomita 0.0164 hadi 2 Amri ya Mpango wa Urasimishaji wa Eneo la Tambuka Reli Tangazo la Serikali Na.686 (Linaendelea.) alama ya mpaka ya upimaji namba A16 yenye majira - nukta 286509 E, 9297289 N, baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi uelekeo wa N 35°10'51''W kando ya barabara kuu ya TANROAD kwa umbali wa kilomita 0.083 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba A17 yenye majira - nukta 286461 E, 9297357 N, baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki uelekeo wa N 18°39'04''E makutano ya barabara kuu ya TANROAD kwa umbali wa kilomita 0.060 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba A18 286395 E, 9297348 N, baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi uelekeo wa S 44°33'45''W kwa umbali wa kilomita 0.086 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba A19 yenye majira - nukta 286334 E, 9297286 N, baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki uelekeo wa S 09°30'45''E kwa umbali wa kilomita 0.188 hadi ilipoanzia alama ya mpaka ya upimaji namba ‘A1’ yenye majira - nukta 286366 E, 9297101N.” Dodoma, 8 Novemba, 2022 ANGELINE S. MABULA, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi 3