AMRI YA KIMA CHA CHINI CHA MSHAHARA YA MWAKA 2022
This section names the order and says it starts to apply on 1 January 2023.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Order
- Citation
- AMRI YA KIMA CHA CHINI CHA MSHAHARA YA MWAKA 2022
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Citation provenance: source:tz:oag-mis · schema StatuteEnrichmentPublicV1.
Publicly available, excluded from search-engine indexing
This page remains available for direct access and API use, but this release emits
noindex,follow for the following reason:
- The record does not meet this release's canonical indexing criteria.
(market-indexing-disabled)
Statute overview
About this statute
This section names the order and says it starts to apply on 1 January 2023. Amri hii inatumika kwa wafanyakazi na waajiri wote katika sekta binafsi. This section defines several terms used in the Order, including agriculture, collective agreements, business and industry, contractors, domestic worker, worker, employer, energy, multinational companies, mining activities, large trader, private sector, small company, and large/tourist hotel. Amri hii inaweka sekta na maeneo ya kima cha chini cha mshahara, na mwajiri lazima asilipi chini ya kiwango cha chini kinachotumika kwa sekta au eneo husika. Section 5 says the order sets employment standards for workers in specified sectors or areas, and gives workers certain allowance entitlements.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of AMRI YA KIMA CHA CHINI CHA MSHAHARA YA MWAKA 2022
Showing 18 of 18
- 1 Verify source ↗
Amri hii itajulikana kama Amri ya Kima cha Chini cha
AI-assisted research summary: This section names the order and says it starts to apply on 1 January 2023.
1. Amri hii itajulikana kama Amri ya Kima cha Chini cha Mshahara ya Mwaka 2022 na itaanza kutumika tarehe 1 Januari, 2023. Matumizi - 2 Verify source ↗
Amri hii itatumika kwa wafanyakazi na waajiri wote katika
AI-assisted research summary: Amri hii inatumika kwa wafanyakazi na waajiri wote katika sekta binafsi.
2. Amri hii itatumika kwa wafanyakazi na waajiri wote katika sekta binafsi. Tafsiri - 3 Verify source ↗
Katika Amri hii,
AI-assisted research summary: This section defines several terms used in the Order, including agriculture, collective agreements, business and industry, contractors, domestic worker, worker, employer, energy, multinational companies, mining activities, large trader, private sector, small company, and large/tourist hotel.
3. Katika Amri hii, isipokuwa kama muktadha utahitaji vinginevyo- “kilimo” kitajumuisha uzalishaji wa mazao, shughuli za misitu, ufugaji na ufugaji wa wadudu, uchakataji wa awali wa mazao ya kilimo na wanyama unaofanywa na, au kwa niaba ya mwendeshaji wa shughuli hiyo pamoja na matumizi na ukarabati wa mashine, vifaa, zana na mitambo ya kilimo, ikijumuisha uchakataji, uhifadhi, uendeshaji au usafirishaji katika shughuli za kilimo ikihusisha Vyama vya Ushirika vinavyohusiana na uzalishaji wa kilimo; “mikataba ya hali bora” maana yake ni makubaliano ya kimaandishi yaliyofikiwa na chama cha wafanyakazi kilichosajiliwa na mwajiri au chama cha waajiri kilichosajiliwa kuhusu suala lolote 1 Amri ya Kima cha Chini cha Mshahara Tangazo la Serikali Na. 687 (Linaendelea) la kazi; “biashara na viwanda” inajumuisha ufanyaji wa biashara, utoaji wa huduma za kitaalam au shughuli zozote zinazofanana na hizo kwa lengo la kupata kipato, isipokuwa hazitajumuisha shughuli za uchimbaji madini na kilimo; “wakandarasi” inajumuisha wahandisi wa ujenzi, majengo, mitambo, umeme na wakandarasi mahsusi; Sura ya 366 “mfanyakazi wa kazi za ndani” maana yake ni mtu yeyote anayefanya kazi za ndani majumbani au katika kaya kwa malipo ya mshahara; “mfanyakazi” ina maana iliyotafsiriwa katika Sheria ya Ajira na Sura ya 366 “mwajiri” ina maana iliyotafsiriwa katika Sheria ya Ajira na Mahusiano Mahusiano Kazini; Sura ya 123 Sekta na maeneo Sura ya 366 Kazini; "nishati" inajumuisha michakato yote inayohusiana na uzalishaji au usambazaji wa nishati kutoka katika chanzo chochote; “makampuni ya kimataifa” maana yake ni mashirika ya kimataifa au makampuni ya biashara ya kimataifa yanayojihusisha na biashara katika nchi mbalimbali; “shughuli za uchimbaji” zitakuwa na maana kama zilivyotafsiriwa chini ya Sheria ya Madini, na hazitahusisha shughuli yoyote inayohusiana na uzalishaji wa chumvi au chokaa; “mfanyabiashara mkubwa” maana yake ni mtu yeyote anayefanya shughuli za kiuchumi zenye uzalishaji mkubwa na faida kubwa; “sekta binafsi” maana yake ni sekta yoyote isipokuwa sekta ya umma; “kampuni ndogo” maana yake ni kampuni zote isipokuwa kampuni kubwa au za kimataifa; “hoteli kubwa au za kitalii” maana yake ni hoteli zote zinazoendeshwa kwa kiwango cha juu na faida kubwa zikiwemo kambi zinazotoa malazi na huduma nyinginezo kwa watalii. - 4 Verify source ↗
(1) Kwa kuzingatia masharti ya Amri hii, sekta na maeneo ya
AI-assisted research summary: Amri hii inaweka sekta na maeneo ya kima cha chini cha mshahara, na mwajiri lazima asilipi chini ya kiwango cha chini kinachotumika kwa sekta au eneo husika.
4.-(1) Kwa kuzingatia masharti ya Amri hii, sekta na maeneo ya kima cha chini cha mshahara yanaanzishwa kwa utaratibu uliowekwa katika Jedwali la Kwanza la Amri hii. (2) Ukokotoaji wa viwango vya mshahara vinavyolinganishwa kwa kuzingatia saa, siku, wiki, wiki mbili au mwezi, utaamuliwa kama ilivyoainishwa katika Jedwali la Kwanza lililotolewa chini ya kifungu cha 26(1) cha Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini. (3) Kiwango cha kima cha chini cha mshahara kilichoainishwa katika Jedwali la Pili kitachukuliwa kuwa kiwango cha chini kinacholipwa kwa mfanyakazi katika sekta au eneo husika, na mwajiri anaweza kumlipa mfanyakazi huyo zaidi ya kima cha chini isipokuwa hatamlipa mfanyakazi chini ya kiwango kilichowekwa katika sekta au eneo husika. (4) Viwango vya kima cha chini cha mshahara vinaweza kuboreshwa kupitia mikataba ya hali bora au vinginevyo. Viwango vya ajira - 5 Verify source ↗
(1) Kwa kuzingatia masharti ya Amri hii, viwango vya ajira
AI-assisted research summary: Section 5 says the order sets employment standards for workers in specified sectors or areas, and gives workers certain allowance entitlements.
5.-(1) Kwa kuzingatia masharti ya Amri hii, viwango vya ajira vinavyotumika kwa wafanyakazi wote katika kila sekta au eneo lililoainishwa vitakuwa kama vilivyoainishwa chini ya Sehemu ya III ya 2 Amri ya Kima cha Chini cha Mshahara Tangazo la Serikali Na. 687 (Linaendelea) Sura ya 366 Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini, au kama inavyotekelezwa katika mikataba ya ajira na mikataba ya hali bora. (2) Pamoja na likizo ya mwaka yenye malipo, mfanyakazi atakuwa na haki ya posho ya likizo mara moja katika kila miaka miwili ya utumishi endelevu kwa mwajiri yuleyule. (3) Mwajiriwa atastahili posho nyingine kama ilivyokubaliwa katika majadiliano kati ya mwajiri na mwajiriwa. (4) Bila kujali ujumla wa aya hii, dereva wa lori atastahili posho kwa ajili ya umbali wa safari, kukaa zaidi nje ya kituo cha kazi, upakiaji na ushushaji wa mizigo kama ilivyokubaliwa katika majadiliano kati ya madereva na waajiri. Wafanyakazi wanaopata maslahi bora - 6 Verify source ↗
Endapo wakati wa kuanza kutumika kwa Amri hii, mfanyakazi
AI-assisted research summary: Mfanyakazi anayepokea mshahara na masharti bora zaidi wakati Amri inaanza kutumika anaendelea kuyapata kama bado ameajiriwa na mwajiri huyo huyo.
6. Endapo wakati wa kuanza kutumika kwa Amri hii, mfanyakazi yeyote anayepokea mshahara wa kiwango cha juu na masharti bora ya kazi kuliko yale yanayotolewa chini ya Amri hii, mfanyakazi huyo ataendelea kupokea mshahara wa kiwango cha juu na masharti bora ya kazi, ikiwa ameajiriwa na mwajiri huyo huyo. Kufutwa TS. Na. 196 la 2013 - 7 Verify source ↗
Amri ya Kima cha Chini cha Mshahara ya Mwaka 2013
AI-assisted research summary: The 2013 Minimum Wage Order is repealed.
7. Amri ya Kima cha Chini cha Mshahara ya Mwaka 2013 inafutwa. ______________ JEDWALI LA KWANZA _____________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 4(1)) SEKTA NA MAENEO YA KIMA CHA CHINI CHA MSHAHARA (a) Sekta ya kilimo; (b) Sekta ya afya; (c) Sekta ya mawasiliano; (d) Kazi za majumbani na hotelini; (e) Huduma za ulinzi binafsi; (f) Sekta ya nishati; (g) Sekta ya usafirishaji; (h) Sekta ya ujenzi; (i) Sekta ya madini; (j) Huduma za shule binafsi; (k) Sekta ya biashara na viwanda; (l) Sekta ya uvuvi na huduma za baharini; 3 Amri ya Kima cha Chini cha Mshahara Tangazo la Serikali Na. 687 (Linaendelea) (m) Sekta nyingine ___________ JEDWALI LA PILI _____________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 4(3)) ____________ VIWANGO VYA CHINI VYA MSHAHARA Sekta na Maeneo Muda
Part
JEDWALI LA PILI
- 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: This section lists the communications sector and its services.
3. Sekta ya mawasiliano (a) Huduma za mawasiliano (b) Huduma za utangazaji na vyombo vya habari, posta na usafirishaji wa vifurushi - 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: Section 4 lists minimum wage categories and rates for domestic workers and certain hotel and hospitality businesses.
4. Kazi za majumbani na hotelini (a) wafanyakazi wa kazi za ndani walioajiriwa na wanadiplomasia na wafanya biashara wakubwa (b) wafanyakazi wa kazi za ndani walioajiriwa na maafisa wenye stahiki (c) wafanyakazi wa kazi za ndani, isipokuwa wale walioajiriwa na wanadiplomasia, wafanyabiashara wakubwa na maafisa wenye stahiki wasioishi katika kaya ya mwajiri (d) wafanyakazi wa kazi za ndani wengine wa nyumbani ambao hawajaainishwa katika aya (a), (b) na (c) hapo juu 4 Saa Siku Wiki Wiki mbili Mwezi Saa Siku Wiki Wiki mbili Mwezi Saa Siku Wiki Wiki mbili Mwezi Saa Siku Wiki Wiki mbili Mwezi Saa Siku Wiki Wiki mbili Mwezi Saa Siku Wiki Wiki mbili Mwezi Saa Siku Wiki Wiki mbili Mwezi Saa Siku Wiki Wiki mbili Mwezi Kiwango (TZS) 718 5,385 32,310 64,620 140,000 1,000 7,501 45,003 90,007 195,000 2,564 19,232 115,394 230,787 500,000 1,154 8,654 51,927 103,854 225,000 1,282 9,616 57,697 115,393 250,000 1,026 7,693 46,157 92,315 200,000 615 4,616 27,694 55,389 120,000 308 2,308 13,847 27,694 60,000 Amri ya Kima cha Chini cha Mshahara Tangazo la Serikali Na. 687 (Linaendelea) (e) hoteli kubwa au za kitalii (f) hoteli za kati (g) migahawa, nyumba za kulala wageni na baa - 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: This section refers to private security services for large and international companies, and small companies.
5. Huduma za ulinzi binafsi (a) makampuni makubwa na ya kimataifa (b) makampuni madogo - 6 Verify source ↗
Section 6
AI-assisted research summary: Provision lists the energy sector and mentions multinational companies and small companies.
6. Sekta ya nishati (a) makampuni ya kimataifa (b) makampuni madogo - 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: This section lists the transport sector and its sub-sectors: air transport services, freight delivery and distribution services, and land transport services.
7. Sekta ya usafirishaji (a) huduma za usafiri wa anga (b) huduma za utoaji mizigo na usambazaji (c) huduma za usafiri nchi kavu - 8 Verify source ↗
Section 8
AI-assisted research summary: Section 8 lists construction-sector minimum wage figures for contractor grades.
8. Sekta ya ujenzi (a) Wakandarasi Daraja la I 5 Saa Siku Wiki Wiki mbili Mwezi Saa Siku Wiki Wiki mbili Mwezi Saa Siku Wiki Wiki mbili Mwezi Saa Siku Wiki Wiki mbili Mwezi Saa Siku Wiki Wiki mbili Mwezi Saa Siku Wiki Wiki mbili Mwezi Saa Siku Wiki Wiki mbili Mwezi Saa Siku Wiki Wiki mbili Mwezi Saa Siku Wiki Wiki mbili Mwezi Saa Siku Wiki Wiki mbili Mwezi Saa Siku 1,539 11,539 69,236 138,472 300,000 923 6,924 41,542 83,083 180,000 769 5,770 34,618 69,236 150,000 1,139 8,539 51,235 102,469 222,000 759 5,693 34,156 68,313 148,000 3,036 22,771 136,626 273,252 592,000 1,154 8,654 51,927 103,854 225,000 2,000 15,001 90,007 180,014 390,000 1,846 13,847 83,083 166,167 360,000 1,539 11,539 69,236 138,472 300,000 2,154 16,155 Amri ya Kima cha Chini cha Mshahara Tangazo la Serikali Na. 687 (Linaendelea) (b) Wakandarasi Daraja la II - IV (c) Wakandarasi Daraja la V-VIIReferenced legislation
- Amri ya Kima cha Chini cha Mshahara Tangazo la Serikali Na. 687 (Linaendelea) (unresolved)
- 9 Verify source ↗
Section 9
AI-assisted research summary: This section identifies actors in the mining sector: holders of mining and exploration licences, small miners’ licences, trader licences, and broker licences.
9. Sekta ya madini (a) wenye leseni za uchimbaji na utafutaji madini (b) wenye leseni za wachimbaji wadogo (c) wenye leseni za wafanyabiashara (d) wenye leseni za madalali - 10 Verify source ↗
Section 10
AI-assisted research summary: Section 10 is titled “Private school services” for early, primary, and secondary education.
10. Huduma za shule binafsi (awali, msingi na sekondari) - 11 Verify source ↗
Section 11
AI-assisted research summary: This section names the business and industry sector, including business and industry and financial institutions.
11. Sekta ya biashara na viwanda (a) biashara na viwanda (b) taasisi za fedha - 12 Verify source ↗
Section 12
AI-assisted research summary: Section 12 lists minimum-wage figures for the fisheries and marine services sector.
12. Sekta ya uvuvi na huduma za baharini 6 Wiki Wiki mbili Mwezi Saa Siku Wiki Wiki mbili Mwezi Saa Siku Wiki Wiki mbili Mwezi Saa Siku Wiki Wiki mbili Mwezi Saa Siku Wiki Wiki mbili Mwezi Saa Siku Wiki Wiki mbili Mwezi Saa Siku Wiki Wiki mbili Mwezi Saa Siku Wiki Wiki mbili Mwezi Saa Siku Wiki Wiki mbili Mwezi Saa Siku Wiki Wiki mbili Mwezi Saa Siku Wiki Wiki mbili Mwezi 96,931 193,861 420,000 1,846 13,847 83,083 166,167 360,000 1,641 12,309 73,852 147,704 320,000 2,564 19,232 115,394 230,787 500,000 1,539 11,539 69,236 138,472 300,000 2,308 17,309 103,854 207,708 450,000 1,282 9,616 57,697 115,393 250,000 1,062 7,962 47,773 95,546 207,000 769 5,770 34,618 69,236 150,000 3,036 22,771 136,626 273,252 592,000 1,221 9,155 54,927 109,855 238,000 Amri ya Kima cha Chini cha Mshahara Tangazo la Serikali Na. 687 (Linaendelea) - 13 Verify source ↗
Section 13
AI-assisted research summary: Sets rates for other sectors not listed in the Order, with amounts given by hour, day, week, two weeks, and month.
13. Sekta nyingine ambazo hazijaainishwa katika Amri hii Saa Siku Wiki Wiki mbili Mwezi 769 5,770 34,618 69,236 150,000 Dodoma, 16 Novemba, 2022 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, JOYCE L. NDALICHAKO Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu 7
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
AMRI YA KIMA CHA CHINI CHA MSHAHARA YA MWAKA 2022
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in