AMRI YA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA MTWARA (“MTWARA WSSA”), YA KUREKEBISHA BEI ZA HUDUMA ZA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA), 2022
This section names the order as the Mtwara WSSA order on adjusting water and sanitation service fees for 2022.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Order
- Citation
- AMRI YA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA MTWARA (“MTWARA WSSA”), YA KUREKEBISHA BEI ZA HUDUMA ZA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA), 2022
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Publicly available, excluded from search-engine indexing
This page remains available for direct access and API use, but this release emits
noindex,follow for the following reason:
- The record does not meet this release's canonical indexing criteria.
(market-indexing-disabled)
Statute overview
About this statute
This section names the order as the Mtwara WSSA order on adjusting water and sanitation service fees for 2022. The prices for Mtwara WSSA water and sanitation services are adjusted according to the First Schedule of this Order. Mtwara WSSA lazima itimize masharti kadhaa kabla na baada ya kutekeleza bei zilizoidhinishwa, ikiwemo kuwasilisha ushahidi kwa EWURA, mpango wa biashara uliopitiwa upya, na taarifa za utekelezaji. This section lists cost figures used in setting water and sanitation service prices for Mtwara WSSA. The text lists several numeric figures, including 430.28, 10,281.57, 2023/24, 8,180.25, 1,913.52, 2,374.70, and 12,561.72.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of AMRI YA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA MTWARA (“MTWARA WSSA”), YA KUREKEBISHA BEI ZA HUDUMA ZA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA), 2022
Showing 6 of 6
- 1 Verify source ↗
Amri hii litajulikanakama, Amri ya Mamlaka ya
AI-assisted research summary: This section names the order as the Mtwara WSSA order on adjusting water and sanitation service fees for 2022.
1. Amri hii litajulikanakama, Amri ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mtwara (“Mtwara WSSA”) (Kurekebisha Bei za Huduma za Maji Safi na Usafi wa Mazingira), ya Mwaka 2022. - 2 Verify source ↗
Bei za majisafi na usafi wa mazingira za
AI-assisted research summary: The prices for Mtwara WSSA water and sanitation services are adjusted according to the First Schedule of this Order.
2. Bei za majisafi na usafi wa mazingira za Mtwara WSSA zinarekebishwa kulingana na Jedwali la Kwanza la Amri hii. Masharti - 3 Verify source ↗
Bei zilizoidhinishwa zitazingatia masharti
AI-assisted research summary: Mtwara WSSA lazima itimize masharti kadhaa kabla na baada ya kutekeleza bei zilizoidhinishwa, ikiwemo kuwasilisha ushahidi kwa EWURA, mpango wa biashara uliopitiwa upya, na taarifa za utekelezaji.
3. Bei zilizoidhinishwa zitazingatia masharti yafuatayo: (a) kabla ya kuanza kutekeleza bei, ada na malipo yaliyoidhinishwa, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mtwara iwasilishe EWURA, kabla ya tarehe 30 Novemba 2022, vielelezo kuwa imetoa taarifa kwa wateja wake kuhusu bei mpya za huduma zake na elimu kwa wadau wake ikiwemo wateja, viongozi wa serikali na dini, wawakilishi wa wananchi na wa jumuiya mbalimbali juu ya utekelezaji wa bei mpya; (b) ifikapo tarehe 31 Disemba 2022 au kabla, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mtwara itawasilisha EWURA mpango wake wa biashara uliopitiwa upya kwa kuzingatia bei na mpango wa utekelezaji wa masharti ya Amri hii; zilizoidhinishwa 1 Amri ya Mamlaka ya Maji Safi Na Usafi wa Mazingira Mtwara (“Mtwara Wssa”), ya Kurekebisha Bei Za Huduma Za Maji Safi Na Usafi wa Mazingira) Tangazo la Serikali Na. 690 (Linaendelea.) Sura ya 414 TS Na 193/2010 (c) Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mtwara ihakikishe kuwa inazingatia matakwa ya kifungu Na. 43 cha Sheria ya Mamlaka ya Usimamizi wa Nishati na Maji, na kanuni Na. 6 ya Kanuni za Utaratibu wa Kukusanya Ada na Tozo za Mamlaka ya Usimamizi wa Nishati na Maji kukusanya tozo ya udhibiti na kuiwasilisha EWURA; (d) ifikapo Juni 2024 au kabla, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mtwara itawasiliana na Manispaa ya Mtwara ili kupata eneo la kutupa majitaka ambalo kwa sasa linaendeshwa na Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara; (e) Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mtwara inatakiwa kuchapisha na kusambaza mkataba wake wa huduma kwa mteja na kutoa elimu kwa wateja wake na wadau wengine juu ya mkataba huo na kuwasilisha ushahidi wa kufanya hivyo EWURA ifikapo tarehe 31 Disemba 2022 au kabla ya hapo; (f) Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mtwara, kwa kutumia mapato yatokanayo na bei itatekeleza miradi iliyoainishwa katika Jedwali la Pili la Amri hii; zilizoidhinishwa, (g) Mtwara WSSA, kila mwaka na kama sehemu ya taarifa yake ya utendaji ya mwaka, itawasilisha taarifa ya utekelezaji wa masharti yaliyopo kwenye Amri hii; (h) Mtwara WSSA itaendelea kuwasilisha EWURA taarifa zake za fedha na utendaji kwa mujibu wa matakwa ya EWURA. Taarifa hizi zitatumiwa na EWURA katika kufanya tathmini ya utendaji wa Mtwara WSSA ikilinganishwa na mamlaka nyingine za majisafi na usafi wa mazingira na uboreshaji wa huduma zake. 2 Amri ya Mamlaka ya Maji Safi Na Usafi wa Mazingira Mtwara (“Mtwara Wssa”), ya Kurekebisha Bei Za Huduma Za Maji Safi Na Usafi wa Mazingira) Tangazo la Serikali Na. 690 (Linaendelea.) ________ JEDWALI LA KWANZA _______ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) BEI NA ADA ZILIZOIDHINISHWA Jedwali Namba 1(a): Bei za Maji za Sasa na Zilizoidhinishwa kwa Wateja Wenye Dira (Shilingi/ Mita ya Ujazo) Matumizi (m3) 0-10 >10-20 >20 0-10 >10-20 >20 0-10 >10-20 >20 0-10 >10-20 >20 Kundi la wateja Majumbani Biashara Taasisi Viwanda Magati Boza Wastani Bei ya Sasa 2021/22 1,110 1,280 1,400 2,030 2,210 2,440 2,030 2,150 2,380 2,030 2,210 2,440 1,000 3,510 1,480 Bei Zilizoidhinishwa 2022/23 1,785 2023/24 1,896 3,100 3,300 3,100 3,300 3,170 3,366 1,500 3,721 2,070 1,500 3,944 2,198 Jedwali Namba 1(b): Ada ya Sasa na Iliyoidhinishwa ya Maunganisho ya Maji Safi (Shilingi kwa Maunganisho) Ada ya Sasa 2021/22 Ada Iliyoidhinishwa 2022/23 2023/24 Asilimia 20 ya gharama za maunganisho na nguvu kazi kama ilivyobainishwa katika kufungu cha 24 Kanuni za Maji za mwaka 2013. 26,000 Kundi la Wateja Majumbani Jedwali Namba 1(c): Ada ya Sasa na Iliyoidhinishwa ya Kurejeshewa Huduma ya Maji (Shilingi kwa Maunganisho) Kundi la Wateja Ada ya Sasa Ada Zilizoidhinishwa Majumbani Taasisi Biashara Viwanda 2021/22 20,000 30,000 30,000 40,000 2022/23 15,000 15,000 15,000 15,000 3 2023/24 15,000 15,000 15,000 15,000 Amri ya Mamlaka ya Maji Safi Na Usafi wa Mazingira Mtwara (“Mtwara Wssa”), ya Kurekebisha Bei Za Huduma Za Maji Safi Na Usafi wa Mazingira) Tangazo la Serikali Na. 690 (Linaendelea.) __________ JEDWALI LA PILI _________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 3(f)) MIRADI ITAKAYOTEKELEZWA MAELEZO YA SHUGHULI ZITAKAZOFANYIKA KIASI CHA FEDHA (SHILINGI) 2022/23 2023/24 A. Uwekezaji Mpya Kujenga choo kipya Mbawala chini Kujenga choo kipya Mnyawi juu Kujenga choo kipya Mnyawi chini 5,000,000 5,000,000 5,000,000 Kujenga makazi ya wafanyakazi Mtawanya 30,000,000 20,000,000 Kufanya utafiti wa maji na kuchimba kisima kimoja Mbuo Kufanya utafiti wa maji na kuchimba kisima kimoja Mchuchu/Rwelu Kufanya utafiti wa maji na kuchimba kisima kimoja Mbawala Chini Kufanya utafiti wa maji na kuchimba kisima kimoja Nanyamba Kufanya utafiti wa maji na kuchimba kisima kimoja Mtawanya 49,000,000 45,000,000 35,000,000 48,000,000 28,800,000 51,000,000 51,000,000 Kununua dira 3300 kwa ajili ya maunganisho mapya 230,000,000 88,000,000 Kununua na kufunga dira kubwa 8 kwa ajili ya maeneo ya uzalishaji wa maji na DMA 11 44,000,000 48,000,000 Kuanzisha DMA 30 120,000,000 Kununua mabomba ya DN90mm kwa ajili ya kutanua mtandao kwa kilometa 10 - Nanyamba Kununua mabomba ya DN63mm kwa ajili ya kutanua mtandao kwa kilometa 15 - Nanyamba Kununua mabomba ya DN90mm kwa ajili ya kutanua mtandao kwa kilometa 8 - Mbawala chini Kununua mabomba ya DN63mm kwa ajili ya kutanua mtandao kwa kilometa 10-Mbawala chini Kununua mabomba ya DN110mm kwa ajili ya kutanua mtandao kwa kilometa 1 -Mbuo Kununua mabomba ya DN160mm kwa ajili ya kutanua mtandao kwa kilometa 15 - Mbuo Kununua mabomba ya DN110mm kwa ajili ya kutanua mtandao kwa kilometa 10-Mbuo Kununua mabomba ya DN90mm kwa ajili ya kutanua mtandao kwa kilometa 10 -Mbuo 4 66,900,000 66,900,000 37,700,000 37,700,000 44,812,000 44,812,000 33,900,000 33,900,000 9,600,000 9,750,000 180,500,000 78,900,000 105,200,000 66,900,000 66,900,000 Amri ya Mamlaka ya Maji Safi Na Usafi wa Mazingira Mtwara (“Mtwara Wssa”), ya Kurekebisha Bei Za Huduma Za Maji Safi Na Usafi wa Mazingira) Tangazo la Serikali Na. 690 (Linaendelea.) Kununua mabomba ya DN63mm kwa ajili ya kutanua mtandao kwa kilometa 15-Mbuo Kununua mabomba ya Upvc DN110 PN12 kwa ajili ya kutanua bomba kuu la Naumbu kwa kilometa 8 Kununua mabomba ya GS DN100mm kwa ajili ya kutanua mtandao kwa kilometa 2 - Naumbu Kununua mabomba ya GS DN80mm kwa ajili ya kutanua mtandao kwa kilometa 3 - Naumbu Kununua mabomba ya GS DN50mm kwa ajili ya kutanua mtandao kwa kilometa 1 - Naumbu Kununua viungio kwa ajili ya kupanua mtandao wa mabomba 45,360,000 68,040,000 129,340,000 64,670,000 95,000,000 47,500,000 108,499,500 54,249,750 15,180,000 15,180,000 106,000,000 Kujenga kilometa 8 za mabomba makuu Hiari Mkunwa 104,000,000 156,000,000 Kujenga kilometa 8 za mabomba makuu Naumbu 129,340,000 64,670,000 Kujenga kilometa 0.4 za bomba la kusafirisha maji Rwelu Kujenga kilometa 1.5 za bomba la kusafirisha maji Mtawanya Kujenga kilometa 0.6 za bomba la kusafirisha maji Mbuo 83,250,000 103,500,000 51,750,000 83,250,000 35,000,000 Kuendeleza chemchem mpya Mchuchu-Kipokoso 200,000,000 400,000,000 Kupanua tangi la kutuamisha maji la sasa ili kuongeza uwezo wake maradufu 100,440,000 Kupanua uwezo wa kunururisha maji maradufu 55,800,000 Kununua pampu 3 za kusukumia dawa 14,000,000 27,000,000 Kununua na kufunga pampu 2 za kuzamishwa kwa ajili ya visima vya Mtawanya Kununua na kufunga pampu 2 za kuzamishwa kwa ajili ya visima vya Mbuo Kununua na kufunga pampu 3 za kuzamishwa kwa ajili ya visima vya Nanyamba Kununua na kufunga pampu mbili za kuzamishwa kwa ajili ya Mbawala Chini Kununua na kufunga pampu 2 za akiba Mchuchu 36,000,000 28,000,000 16,000,000 24,000,000 110,000,000 Kununua na kufunga pampu 2 za akiba Mangamba 76,000,000 76,000,000 Kununua na kufunga vyoyozi 12 13,600,000 Kununua kompyuta 44 Kununua vifaa vya ofisi 37,000,000 37,000,000 67,800,000 37,000,000 Kununua simu za mkononi kwa ajili ya waendeshaji wa mitambo Kununua vifaa vya matangazo 4,500,000 6,000,000 Kununua magari 2 Kununua pikipiki 9 160,000,000 279,194,333 10,000,000 10,000,000 Kununua pikipiki za magurudumu matatu (bajaji) 3 8,000,000 8,000,000 5 Amri ya Mamlaka ya Maji Safi Na Usafi wa Mazingira Mtwara (“Mtwara Wssa”), ya Kurekebisha Bei Za Huduma Za Maji Safi Na Usafi wa Mazingira) Tangazo la Serikali Na. 690 (Linaendelea.) Kuboresha huduma ya majitaka Manispaa ya Mtwara 1,000,000,000 Kununua magari ya kuondoa majitaka Kununua na kunakili GIS software Kununua GPS software Kununua GIS software Jumla Ndogo B. Ukarabati na Kubadilisha Vifaa Kukarabati karakana ya useremala Kukarabati jengo la gereji Kukarabati karakana ya mabomba 290,000,000 37,000,000 6,000,000 37,000,000 2,909,131,500 3,649,156,083 9,000,000 6,000,000 22,500,000 15,000,000 6,750,000 4,500,000 Kukarabati jengo la pampu la Mtawanya 17,484,855 11,656,570 Kulibadili jengo la zamani la pampu la Mtawanya kuwa ghala Kukarabati vyoo vilivyopo Mtawanya, Nanyamba na Mbawala Kukarabati nyumba moja ya wafanyakazi Rehabilitation of one staff house at Mangamba 3,375,000 2,250,000 17,460,000 11,640,000 11,250,000 7,500,000 Kukarabati nyumba mbili za wafayakazi Mangamba 11,250,000 7,500,000 Kukarabati magati 20 22,275,000 14,850,000 Kukarabati tangi la Nanyamba lenye ujazo wa 90m3 2,700,000 1,800,000 Kukarabati tangi la Hiari lenye ujazo wa 315m3 19,080,000 12,720,000 Kukarabati tangi la Mbawala Chini lenye ujazo wa 150m3 16,380,000 10,920,000 Kubadili dira za wateja 3000 150,000,000 80,000,000 Kukarabati mtandao wa mabomba Mtwara na Nanyamba Kubadili kilometa 0.4 za bomba kuu Hiari Mkunwa 337,937,740 232,140,000 73,200,000 Kukarabati chemchemi ya Mikindani 110,000,000 Kubadili pampu 6 za kusukuma dawa 63,600,000 6,800,000 Kubadili kifaa cha kuchanganyia dawa 10,500,000 Kukarabati control panel 4 Mtawanya 17,100,000 3,600,000 Kukarabati control panel 2 kwa ajili ya pampu za kuzamishwa Mbuo Kukarabati control panel moja kwa ajili ya pampu za kuzamishwa Rwelu Kukarabati control panel 3 kwa ajili ya pampu za kuzamishwa Nanyamba 5,400,000 11,400,000 3,600,000 6 Amri ya Mamlaka ya Maji Safi Na Usafi wa Mazingira Mtwara (“Mtwara Wssa”), ya Kurekebisha Bei Za Huduma Za Maji Safi Na Usafi wa Mazingira) Tangazo la Serikali Na. 690 (Linaendelea.) Kukarabati control panel 2 kwa ajili ya pampu za kuzamishwa Mbawala Chini. 5,400,000 Kukarabati pampu 3 Mchuchu Kubadili pampu 2 Nanyamba Kubadili pampu moja Hiari Kubadili komputa 8 Kubadili samani vipande 30 kama vile viti, meza na makabati Kubadili vifaa vya ofisi kama vile printa, skana, viyoyozi, na feni Kubadili komputa moja ya mezani Kubadili pikipiki 8 zilizoisha muda wake Jumla Ndogo JUMLA KUU 18,000,000 12,000,000 99,000,000 33,000,000 22,800,000 15,000,000 8,000,000 35,000,000 22,000,000 15,000,000 15,191,313 2,500,000 9,000,000 9,000,000 1,052,942,595 639,067,883 3,962,074,095 4,288,223,966 __________ JEDWALI LA TATU __________ VIASHIRIA VYA UTENDAJI Kiashiria cha Utendaji Maunganisho Mapya ya Maji Safi Upotevu wa Maji Ufanisi wa Ukusanyaji wa Mapato malimbikizo) Kiasi cha Watu Kilichofikiwa na Huduma Wastani wa Muda wa Kutoa Huduma (bila Uniti Idadi % % % Saa Shabaha ya Utendaji 2022/23 1100 27 2023/24 1100 25 99 92 22 100 95 24 __________ JEDWALI LA NNE __________ MAHITAJI YA FEDHA YALIYOIDHINISHWA AINA YA GHARAMA Uzalishaji wa Maji Umeme kwa Ajili ya Uzalishaji wa Maji Usambazaji wa Maji Matengenezo Watumishi Utawala Matangazo ya Biashara Matukio na Michango Gharama za Benki na Riba za Mikopo 2022/23
Part
JEDWALI LA NNE
- 12
AI-assisted research summary: This section lists cost figures used in setting water and sanitation service prices for Mtwara WSSA.
12.00 7 Amri ya Mamlaka ya Maji Safi Na Usafi wa Mazingira Mtwara (“Mtwara Wssa”), ya Kurekebisha Bei Za Huduma Za Maji Safi Na Usafi wa Mazingira) Tangazo la Serikali Na. 690 (Linaendelea.) AINA YA GHARAMA Jumla ya Gharama za Uendeshaji na Matengenezo Uchakavu Uwekezaji Mdogo Jumla ya Mahitaji ya Fedha Ondoa :Mapato Yasiyo ya Mauzo ya Maji Mahitaji ya Fedha Kutoka Kwenye Mauzo ya Maji 2022/23 6,656.52 1,655.03 2,307.04 10,711.84 - 430
AI-assisted research summary: The text lists several numeric figures, including 430.28, 10,281.57, 2023/24, 8,180.25, 1,913.52, 2,374.70, and 12,561.72.
430.28 10,281.57 2023/24 8,180.25 1,913.52 2,374.70 12,561.72 - 453
AI-assisted research summary: 453.21 12,108.52 Dodoma, 24 Novemba, 2022 MODESTUS M. LUMATO, Director General 8
453.21 12,108.52 Dodoma, 24 Novemba, 2022 MODESTUS M. LUMATO, Director General 8
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
AMRI YA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA MTWARA (“MTWARA WSSA”), YA KUREKEBISHA BEI ZA HUDUMA ZA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA), 2022
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in