AI-assisted research summary: Mpango wa jumla na wa kina wa eneo lililoainishwa kwenye Jedwali unatakiwa kuandaliwa na kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipangomiji na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika.
3. Mpango wa jumla na wa kina wa eneo lililoainishwa katika Jedwali unaandaliwa na kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipangomiji na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika. ________ JEDWALI _________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) Eneo la Upangaji lipo ndani ya mipaka ifuatayo: “Unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba NP 5 yenye majira - nukta 223510E, 9235875N iliyopo Itinilo; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Mashariki katika uelekeo wa S88°39'33''E kwa umbali wa kilomita 4.47 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P1 yenye majira - nukta 227981.44E, 9235770.95N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Mashariki katika uelekeo wa N61°23'22''E kwa umbali wa kilomita 1.46 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P2 yenye majira - nukta 229267.29E, 9236471.69N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Mashariki katika uelekeo wa N16°42'34''E kwa umbali wa kilomita 2.6 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P3 yenye majira - nukta 230040.90E, 9239048.77N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Magharibi katika uelekeo wa N38°10'53''W kwa umbali wa kilomita 4.03 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P4 yenye Tangazo la seriakli na. 714 (linaendelea) mri ya Kupanga Eneo la Karema majira - nukta 227548.23E, 9242217.53N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Mashariki katika uelekeo wa N49°15'41''E kwa umbali wa kilomita 1.17 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba NP yenye majira - nukta 228441E, 9242986N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa N59°11'32''E kwa umbali wa kilomita 6.18 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba WL 510 yenye majira - nukta 233750E, 9246152N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Magharibi katika uelekeo wa N60°16'19''W kwa umbali wa kilomita 12.6 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P5 yenye majira - nukta 222796.79E, 9252406.71N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Magharibi katika uelekeo wa N47°32'41''W kwa umbali wa kilomita 6.23 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P6 yenye majira - nukta 218194.37E, 9256617.45N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Mashariki katika uelekeo wa N14°26'39''E kwa umbali wa kilomita 6.67 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P7 yenye majira - nukta 2219859.08E, 9263080.43N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Mashariki katika uelekeo wa N34°17'12''E kwa umbali wa kilomita 2.6 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P8 yenye majira - nukta 221327.93, 9265234.76; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Magaharibi katika uelekeo wa N73°41'10''W kwa umbali wa kilomita 8.36 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P9 yenye majira - nukta 213298.17E, 9267584.93N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Magharibi katika uelekeo wa N56°24'12''W kwa umbali wa kilomita 7.6 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P10 yenye majira - nukta 206955.49E, 9271798.46N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Magharibi katika uelekeo wa S35°34'01''W kwa umbali wa kilomita 1.17 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba VF 8 yenye majira - nukta 206273E, 9270844N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Magharibi katika uelekeo wa S53°41'56''W kwa umbali wa kilomita 2.2 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba VF 9 yenye majira - nukta 204487E, 9269532N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Magharibi katika uelekeo wa S66°54'23''W kwa umbali wa kilomita 3.87 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba VF1 yenye majira - nukta 200927E, 9268014N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini Mashariki kuambaa na mwambao wa ziwa Tanganyika hadi unapoanzia”. Dodoma, ANGELINE S. MABULA 8 Novemba, 2022 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi 2