AI-assisted research summary: Kwa eneo lililoainishwa kwenye Jedwali, mipango ya jumla na ya kina huhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipango Miji na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga.
3. Mipango ya jumla na kina kwa eneo lililoainishwa na Jedwali kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipango Miji na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga. itaandaliwa katika _______ JEDWALI _______ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) Eneo la urasimishaji lipo ndani ya mipaka ifuatavyo:- 0 Amri Ya Kurasimisha Makazi Yasiyopangwa Eneo La Didia Tangazo la Seriakali na. 71 (linaendelea) “Unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba A yenye majira - nukta 507459.080MS, 9579882.347KZ; baada ya hapo mpaka ukikatiza barabara ya Didia - Ilola katika uelekeo wa KZ88º02’19’’MG kwa umbali wa kilomita 1.909 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba B yenye majira - nukta 509367.670MS, 9579816.839KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini katika uelekeo wa KZ12º53’52.36’’MG kwa umbali wa kilomita 0.86 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba C yenye majira - nukta 509560.654MS, 9578974.085KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki katika uelekeo wa KZ29º51’23.49’’MG kwa umbali wa kilomita 1.63 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba D yenye majira - nukta 510374.195MS, 9577556.807KZ, baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini katika uelekeo wa KZ04º45’08.56’’MG kwa umbali wa kilomita 1.49 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba E yenye majira - nukta 510498.129MS, 9576066.053KZ, baada ya hapo mpaka unaelekea Magharibi katika uelekeo wa KS82º45’17.52’’MS kwa umbali wa kilomita 1.36 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba F yenye majira - nukta 509147.244MS, 9576237.790 KZ, baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini katika uelekeo wa KS01º07’23.89’’MS kwa umbali wa kilomita 1.08 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba G yenye majira - nukta 509125.998MS, 9577321.336 KZ, baada ya hapo mpaka unaelekea Magharibi katika uelekeo wa KS73º16’53.41’’MS kwa umbali wa kilomita 0.50 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba H yenye majira - nukta 508642.654MS, 9577466.511 KZ, baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini katika uelekeo wa KS29º26’16.16’’MG kwa umbali wa kilomita 1.65 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba J yenye majira - nukta 508964.883MS, 9578037.495 KZ, baada ya hapo mpaka unaelekea Magharibi katika uelekeo wa KS74º22’14.45’’MS kwa umbali wa kilomita 0.65 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namab I yenye majira - nukta 507395.342MS, 9578441.1676 KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Mashariki katika uelekeo wa KS02º31’56.34’’MG kwa umbali wa kilomita 0.602 hadi ulipoanzia.” Dodoma, 6 February, 2023 ANGELINE S. MABULA, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi 1