AI-assisted research summary: Mipango ya jumla na ya kina ya eneo lililotajwa inapaswa kuandaliwa na kuhifadhiwa na viongozi wa mipango na halmashauri ya wilaya waliotajwa.
3. Mipango ya jumla na kina ya eneo lililoainishwa katika Jedwali itaandaliwa na kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipango Miji na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Chemba. 1 Tangazo la serikali na (linaendelea) Amri ya Kupanga Eneo la Sanzawa ______ JEDWALI _______ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) Eneo la upangaji lipo ndani ya mipaka ifuatavyo: “Unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SA1 yenye majira - nukta 746696.034MS, 9409903.590KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa KZ89017’39.17’’MS kwa umbali wa kilomita 4.88 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namab SA2 yenye majira - nukta 751575.952MS, 9409963.705KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki kwa kukatiza barabara ya Gungi – Manyoni katika uelekeo wa KZ70019’05.57’’MS kwa umbali wa kilomita 7.46 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SA3 yenye majira - nukta 758608.588MS, 9407448.178KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa KZ54009’18.12’’MS kwa umbali wa kilomita 8.66 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SA4 yenye majira - nukta 755630.218MS, 9402375.637KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa KZ64043’28.31’’MS kwa umbali wa kilomita 3.78 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SA5 yenye majira - nukta 769053.4000MS, 9400759.330KZ; - Mashariki katika uelekeo wa baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini KS55045’14.66’’MS kwa umbali wa kilomita 13.21 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SA6 yenye majira - nukta 758126.746MS, 9393320.742KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi katika uelekeo wa KZ77034’01.81’’MG kwa umbali wa kilomita 9.59 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SA7 yenye majira - nukta 748754.346MS, 9395387.029KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa KS33034’12.39’’MG kwa umbali wa kilomita 1.79 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SA8 yenye majira - nukta 747762.021MS, 9393891.768KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa KS26043’07.56’’MG kwa umbali wa kilomita 5.36 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SA9 yenye majira - nukta 745350.638MS, 9389101.176KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa KS43005’14.31’’MG kwa umbali wa kilomita 2.58 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SA10 yenye majira - nukta 743586.128MS, 9390987.609KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini katika uelekeo wa KZ2006’40.79’’KZ kwa umbali wa kilomita 2.94 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SA11 yenye majira - nukta 743477.551MS, 9393927.329KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi katika uelekeo wa KZ37023’49.72’’MS kwa umbali wa kilomita 4.41 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SA12 yenye majira - nukta 740795.426MS, 9397436.027KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa KZ20008’10.69’’MS kwa umbali wa Kilomita 3.03 hadi 2 Tangazo la serikali na (linaendelea) Amri ya Kupanga Eneo la Sanzawa kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SA13 yenye majira - nukta 741838.553MS, 9400280.918KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini katika uelekeo wa KZ2049’13.97’’KZ kwa umbali wa kilomita 5.09 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SA14 yenye majira - nukta 741587.931MS, 9405367.852KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa KZ48023’47.54’’ kwa umbali wa kilomita 6.83 hadi ulipoanzia.” Dodoma, ANGELINE S. MABULA, 6 Februari, 2023 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi 3