AI-assisted research summary: Sehemu hii inaweka kwamba mipango ya jumla na ya kina ya eneo lililoainishwa ihifadhiwe kwa Mkurugenzi wa Mipango Mijini na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bahi, na inaeleza mipaka ya eneo la urasimishaji la Mwitikira.
3. Mipango ya jumla na kina ya eneo na lililoainishwa Jedwali kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipango MIJI na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bahi. itaandaliwa katika 1 Amri ya Kurasimisha Makazi Yasiyopangwa Eneo la Mwitikira Tangazo la Serikali na. 90 (linaendelea) _______ JEDWALI _______ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) Eneo la urasimishaji lipo ndani ya mipaka ifuatavyo:- “Unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MT1 yenye majira - nukta 794197.05MS, 9282525.15KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa KZ127036MS kwa umbali wa kilomita 1,17 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MT2 yenye majira - nukta 795634.90MS ,9281449.60KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa KZ1590MS kwa kukatiza barabara ya Ngwhenda - Nagulo kwa umbali wa kilomita 0.66 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MT3 yenye majira - nukta 795994.35MS, 9280890.80KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa KS1030MG kwa umbali wa kilomita 0.90 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MT4 yenye majira - nukta 795365.68MS, 9280234.22KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki katika uelekeo wa KS1290MS kwa umbali wa kilomita 1.97 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MT5 yenye majira - nukta 795623.02MS, 9278272.96KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa KS1580MG kwa umbali wa kilomita 1.16 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MT6 yenye majira - nukta 795325.23MS, 9277145.24KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Masharikii katika uelekeo wa KS1520MS kwa umbali wa kilomita 1.71 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MT7 yenye majira - nukta 795737.85MS, 9275477.53KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini katika uelekeo wa KS1150 kwa umbali wa kilomita 2.08 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MT8 yenye majira - nukta 794121.59MS, 9274166.92KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa KS1180MG kwa kukatiza barabara ya Nagulo – Ngwhwenda kwa umbali wa kilomita 1.60 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MT9 yenye majira - nukta 792645.54, 9274787.73MS; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa KS1230MG kwa umbali wa kilomita 0.96 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MT10 yenye majira - nukta 792480.94MS, 9275735.18KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini katika uelekeo wa KZ1660 kwa umbali wa kilomita 3.65 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MT11 yenye majira - nukta 792733.55MS, 9279371.76KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi katika uelekeo wa KZ1670MG kwa umbali wa kilomita 2.07 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MT12 yenye majira - nukta 792400.19MS, 9281424.90KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Magharibi katika uelekeo wa KZ1220MG kwa umbali wa kilomita 2.10 hadi ulipoanzia.” ANGELINE S. MABULA, Dodoma 6 Februari, 2023 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi 2