AI-assisted research summary: The general and detailed plans for the area in the Schedule must be prepared and kept by the Town Planning Director and the Executive Director of Chato District Council.
3. Mipango ya jumla na ya kina katika eneo lililoainishwa katika Jedwali itaandaliwa na kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipango Miji na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato. 1 Tangazo la Serikali na. 91 (linaendelea) Amri ya Kupanga Eneo la Kibehe _______ JEDWALI _______ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) Eneo la upangaji lipo ndani ya mipaka ifuatayo: “Mpaka unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba A yenye majira - nukta 356618.0592MS, 9724695.8526KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini katika uelekeo wa 880 kwa umbali wa kilomita 2.5 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba B yenye majira - nukta 356657.7468MS, 9727196.1701KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa 1090 kwa umbali wa kilomita 2.07 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba C yenye majira - nukta 358628.8965MS, 9727857.6298KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi katika uelekeo wa 890 kwa umbali wa kilomita 3.52 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba D yenye majira - nukta 357505.2393MS, 9730978.1572KZ baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa 790 kwa umbali wa kilomita 2.51 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba E yenye majira - nukta 360004.7326MS, 731376.5951KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki katika uelekeo wa 890 kwa umbali wa kilomita 3.84 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba F yenye majira - nukta 360544.1457MS, 9727570.1705KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki katika uelekeo wa 1120 kwa umbali wa kilomita 1.72 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba G yenye majira - nukta 361792.5360MS, 9727328.5271KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa 1300 kwa umbali wa kilomita 2.28 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba H yenye majira - nukta 363550.1564MS, 9728783.6733KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi katika uelekeo wa 1200 kwa umbali wa kilomita 2.97 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba I yenye majira - nukta 363065.6797MS, 9731720.5542KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Magharibi katika uelekeo wa 760 kwa umbali wa kilomita 2 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba J yenye majira - nukta 365066.1110MS, 9731575.0330KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini katika uelekeo wa 990 kwa umbali wa kilomita 3.23 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba K yenye majira - nukta 365336.0975MS, 9728347.1099KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki katika uelekeo wa 1680 kwa umbali wa kilomita 1.89 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba L yenye majira - nukta 365891.7236MS, 9726534.7105KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa 1520 kwa umbali wa kilomita 2.55 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba M yenye majira - nukta 365405.9990MS, 9724030.0304KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi katika uelekeo wa 910 kwa umbali wa kilomita 4.31 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba N yenye majira - nukta 361157.4726MS, 9724807.9661KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Magharibi katika uelekeo wa 1680 kwa umbali wa kilomita 4.54 hadi ulipoanzia.’’ Dodoma, 6 February, 2023 ANGELINE S. MABULA, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi 2