AMRI YA KUANDAA MPANGO WA JUMLA WA MANISPAA YA KAHAMA YA MWAKA 2023
This section gives the official name of the order and its alternative name for the Kahama municipal master plan.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Order
- Citation
- AMRI YA KUANDAA MPANGO WA JUMLA WA MANISPAA YA KAHAMA YA MWAKA 2023
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Citation provenance: source:tz:oag-mis · schema StatuteEnrichmentPublicV1.
Publicly available, excluded from search-engine indexing
This page remains available for direct access and API use, but this release emits
noindex,follow for the following reason:
- The record does not meet this release's canonical indexing criteria.
(market-indexing-disabled)
Statute overview
About this statute
This section gives the official name of the order and its alternative name for the Kahama municipal master plan. The area listed in the Schedule is declared a planning area for purposes of the Town Planning Act. Mipango ya jumla na ya kina katika eneo lililoainishwa kwenye Jedwali inapaswa kuandaliwa na kuhifadhiwa na Mkurugenzi wa Mipangomiji na Mkurugenzi wa Manispaa ya Kahama. This provision describes a boundary line using survey beacons, bearings, distances, and landmarks. The provision describes a boundary line by listing survey marks, directions, and distances.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of AMRI YA KUANDAA MPANGO WA JUMLA WA MANISPAA YA KAHAMA YA MWAKA 2023
Showing 7 of 7
- 1 Verify source ↗
Amri hii itajulikana kama Amri ya Kuandaa
AI-assisted research summary: This section gives the official name of the order and its alternative name for the Kahama municipal master plan.
1. Amri hii itajulikana kama Amri ya Kuandaa Mpango wa Jumla wa Manispaa ya Kahama ya mwaka 2023 (utakaoitwa Mpango Kabambe wa Manispaa ya kahama 2022–2042). Utangazaji wa eneo la upangaji Sura ya 355 - 2 Verify source ↗
Eneo lililoainishwa katika Jedwali la Amri hii
AI-assisted research summary: The area listed in the Schedule is declared a planning area for purposes of the Town Planning Act.
2. Eneo lililoainishwa katika Jedwali la Amri hii linatangazwa kuwa eneo la upangaji (Mpango Kabambe) kwa madhumuni ya Sheria ya Mipangomiji. Mpango wa jumla na kina wa eneo - 3 Verify source ↗
Mipango ya jumla na ya kina katika eneo
AI-assisted research summary: Mipango ya jumla na ya kina katika eneo lililoainishwa kwenye Jedwali inapaswa kuandaliwa na kuhifadhiwa na Mkurugenzi wa Mipangomiji na Mkurugenzi wa Manispaa ya Kahama.
3. Mipango ya jumla na ya kina katika eneo lililoainishwa katika Jedwali inaandaliwa na kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipangomiji na Mkurugenzi wa Manispaa ya Kahama. _______ JEDWALI _______ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) Eneo la Mpango Kabambe upo ndani ya mipaka ifuatayo: “Mpaka unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV 94 yenye majira – nukta 451882MS, 9590668KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Mashariki katika uelekeo wa KS 880 30' MS kwa umbali wa kilomita 1.5 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV 02 yenye majira- nukta 453507MS, 9590664KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Mashariki katika uelekeo wa KZ 840 10' MS kwa umbali wa kilomita 2.8 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV 01 yenye majira – nukta 456318MS, 9590947KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Mashariki katika uelekeo wa KZ 870 06' MS kwa 1 Amri ya Kuandaa Mpango wa Jumla wa Manispaa ya Kahama Tangazo la Serikali na.137 (linaendelea) umbali wa kilomita 1.6 hadi kwenye alama ya mpaka wa Upimaji namba SHV 05 yenye majira – nukta 457950MS, 9591036KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini kwa uelekeo wa KZ 120 35' MS kwa umbali wa kilomita 4 hadi kwenye alama ya mpaka wa upimaji namba SHV56 yenye majira – nukta 458972MS, 9595615KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi katika uelekeo wa KZ 530 14' MS kwa umbali wa kilomita 2.8 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV 06 yenye majira – nukta 460145MS, 9596215KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazin - Magharibi katika uelekeo wa KZ 490 34' MS kwa umbali wa kilomita 3.7 hadi kwenye mkondo wa mto Hindagi hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV 55 yenye majira – nukta 463330MS, 9599046KZ; baada ya hapo mpaka unaeleka Kusini - Mashariki katika uelekeo wa KS 270 16' MS kwa umbali wa kilomita 8.5 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV 58 yenye majira - nukta 467266MS, 9591661KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Mashariki katika uelekeo wa KS 440 30' MS kwa umbali wa kilomita 4.3 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SH V64 yenye majira – nukta 470290MS, 9588581KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki katika uelekeo wa KS 330 17' MS kwa umbali wa kilomita 2.1 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV 63 yenye majira - nukta 471331MS, 9586930KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa KZ 710 58' MS kupitia mto Hindagi kwa umbali wa kilomita 3.8 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji yenye majira - nukta 475473MS, 9588059KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini katika uelekeo wa KS wa 260 32' MG kwa umbali wa kilomita 6.0 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV 238 yenye majira – nukta 472489MS, 9582551KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini katika uelekeo KS 260 32' MG kwa umbali wa kilomita 6.0 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV 202 yenye majira – nukta 471876MS, 9578243KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini katika uelekeo wa KS 100 33' MG kwa umbali wa kilomita 3.9 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV 173 yenye majira – nukta 471408MS, 9575834KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Mashariki katika uelekeo wa KS 730 43' MS kwa umbali wa kilomita 3.9 hadi kwenye mpaka kati ya vijiji vya Kagongwa na Gembe kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV 120 yenye majira – nukta 475015MS, 9574792KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini katika uelekeo wa KZ 190 38' MS) kwa umbali wa kilomita
Part
JEDWALI
- 0 Verify source ↗
9 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV174 yenye majira – nukta
AI-assisted research summary: This provision describes a boundary line using survey beacons, bearings, distances, and landmarks.
0.9 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV174 yenye majira – nukta 475346MS, 9575718KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Mashariki katika uelekeo wa KZ 850 29' MS kwa umbali wa kilomita 2.1 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV 175 yenye majira - nukta 477444MS, 9575889KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Mashariki katika uelekeo wa KS 370 19' MS kwa umbali wa kilomita 2.4 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV 176 yenye majira – nukta 478950MS, 9573924KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini katika uelekeo wa KS 10 09' MS kwa umbali wa kilomita 1.7 hadi barabara ya Isaka - Rusumo kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV 2 Amri ya Kuandaa Mpango wa Jumla wa Manispaa ya Kahama Tangazo la Serikali na.137 (linaendelea) 171 yenye majira – nukta 478989MS, 9572182KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Mashariki katika uelekeo wa KS 340 05' MS kwa umbali wa kilomita 4.6 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV155 yenye majira - nukta 481575MS, 9568357KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini katika uelekeo wa KS 120 34' MS kwa umbali wa kilomita 1.5 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV153 yenye majira – nukta 481905MS, 9566856KM; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Mashariki katika uelekeo wa KS 610 58' MS kwa umbali wa kilomita 0.7 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV 154 yenye majira – nukta 482531MS, 9566531KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Magharibi katika uelekeo wa KS 470 24' MG kwa umbali wa kilomita 3.0 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji yenye jina Bukooba/Wela 480616MS, 9564561KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa KS 46°13' MG kwa umbali wa kilomita 1 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba NP yenye majira – nukta 473880MS, 9570726KZ, kilipo chanzo cha mto Banan’gombe; baada ya hapo mpaka unaelekea Magharibi katika uelekeo wa KS 800 47’ MG kwa umbali wa kilomita - 4 Verify source ↗
4 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV151 yenye majira – nukta
AI-assisted research summary: The provision describes a boundary line by listing survey marks, directions, and distances.
4.4 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV151 yenye majira – nukta 475067MS, 9563000KZ, ukiiacha Wilaya ya Nzega upande wa Kusini; baada ya hapo mpaka unaelekea Magharibi katika uelekeo wa KZ 78°13’ MG kwa umbali wa kilomita 3.6 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV 146 yenye majira – nukta 471475MS, 9563799KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Magharibi katika uelekeo wa 870 32’ MG kwa umbali wa kilomita 3.3 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV156 yenye majira – nukta 468701MS, 9563917KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Magharibi katika uelekeo wa KS 860 41’ MG kwa umbali wa kilomita 1.4 hadi kwenye alama ya mipaka ya upimaji namba SHV 316 yenye majira – nukta 467355MS, 9563788KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini katika uelekeo wa KS 00 01’ MG kwa umbali wa kilomita 6.2 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV317 yenye majira- nukta 467333MS, 9558993KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa KS 660 21’ MG kwa umbali wa kilomita 2.8 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV 295 yenye majira – nukta 464760MS, 9557894KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Magharibi katika uelekeo wa KZ 790 01’ MG kwa umbali wa kilomita 5.3 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV294 yenye majira – nukta 459498MS, 9558929KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Magharibi katika uelekeo wa KS 190 32’ MG kwa umbali wa kilomita 3.0 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV 273 yenye majira – nukta 458479MS, 9556123KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Magharibi katika uelekeo wa KZ 470 53’ MG kwa umbali wa kilomita 1.3 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV272 yenye majira – nukta 457506MS, 9557003KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi katika uelekeo wa KZ 310 34’ MG kwa umbali wa kilomita 1.1 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV 261 yenye majira - nukta 456903MS, 9557961KZ; baada ya hapo 3 Amri ya Kuandaa Mpango wa Jumla wa Manispaa ya Kahama Tangazo la Serikali na.137 (linaendelea) mpaka unaelekea Kaskazini – Magharibi katika uelekeo wa KZ 590 57’ MG kwa umbali wa kilomita 0.5 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba OZG 767 yenye majira - nukta 456452MS, 9558218KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Magharibi katika uelekeo wa KZ 770 19’ MG kwa umbali wa kilomita 2.8 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV259 yenye majira - nukta 453553MS, 9558864KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini –Magharibi katika uelekeo wa KS 440 46’ MG kwa umbali wa kilomita 2.6 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV270 yenye majira – nukta 451695MS, 9556987KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa KZ 380 27’ MG kwa umbali wa kilomita 3.1 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV 269 yenye majira – nukta 449833MS, 9559389KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Magharibi katika uelekeo wa KS 790 54’ MG kwa umbali wa kilomita 0.3 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV 388 yenye majira – nukta 449451MS, 9559338KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Magharibi katika uelekeo wa KS 870 28’ MG kwa umbali wa kilomita 1 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV 353 yenye majira- nukta 448408MS, 9559270KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Magharibi katika uelekeo wa KZ 440 26’ MG kwa umbali wa kilomita 2.3 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV 327 yenye majira – nukta 447525MS, 9560184KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Magharibi katika uelekeo wa KZ 320 27’ MG kwa umbali wa kilomita 1.3 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV 389 yenye majira – nukta 446740MS, 9560985KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Magharibi katika uelekeo wa KZ 320 14’ MG kwa umbali wa kilomita 3.1 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV 328 yenye majira- nukta 444600MS, 9564285KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Magharibi katika uelekeo wa KS 710 47’ MG kwa umbali wa kilomita 2.1 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV 391 yenye majira – nukta 441824MS, 9563386KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini- Magharibi katika uelekeo wa KS 280 27’ MG kwa umbali wa kilomita 0.69 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV 277 yenye majira - nukta 441480MS, 9562763KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Magharibi katika uelekeo wa KZ 800 40’ MG kwa umbali wa kilomita 2.1 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV 280 yenye majira – nukta 437120MS, 9563817KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Magharibi katika uelekeo wa KZ 720 54’ MG kwa umbali wa kilomita 2.3 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV 393 yenye majira – nukta 439445MS, 9562907KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Mashariki katika uelekeo wa KZ 470 40’ MG kwa umbali wa kilomita 2.8 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV 290 yenye majira – nukta 437120MS, 9563817KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Magharibi katika uelekeo wa KZ 660 45’ MG kwa umbali wa kilomita 2.5 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV 367 yenye majira – nukta 436828MS, 9566724KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini katika uelekeo wa KZ 180 15’ MG kwa umbali wa kilomita 7.1 hadi kwenye alama ya 4 Amri ya Kuandaa Mpango wa Jumla wa Manispaa ya Kahama Tangazo la Serikali na.137 (linaendelea) mpaka ya upimaji namba SHV 331 yenye majira – nukta 434573MS, 9573551KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini katika uelekeo wa KZ 120 07’ MG kwa umbali wa kilomita 1.9 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV 332 yenye majira – nukta 434989MS, 9575447KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Magharibi katika uelekeo wa KZ 590 34’ MG kwa umbali wa kilomita - 1 Verify source ↗
4 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV 73 yenye majira - nukta
AI-assisted research summary: Inaeleza mpaka kwa kuunganisha alama za upimaji kwa umbali na mwelekeo mbalimbali.
1.4 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV 73 yenye majira - nukta 433751MS, 9576174KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini katika uelekeo wa KZ 180 28’ MG kwa umbali wa kilomita 5.4 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV 74 yenye majira – nukta 435483MS, 9581302KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi katika uelekeo wa KZ 450 32’ MG kwa umbali wa kilometa 7.5 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV 51 yenye majira – nukta 430124MS, 9586582KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa KZ 620 30' MS kwa umbali wa kilomita 10.4 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV 84 yenye majira – nukta 439437MS, 9591380KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Mashariki katika uelekeo wa KS 870 02' MS kwa umbali wa Kilomita - 0 Verify source ↗
9 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV 85 yenye majira- nukta
AI-assisted research summary: The text describes a boundary line by listing boundary markers, directions, and distances between points.
0.9 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV 85 yenye majira- nukta 440350MS, 9591336KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Mashariki katika uelekeo wa KS 680 23' MS kwa umbali wa kilomita 4.2 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV19 yenye majira – nukta 444319MS, 9589758KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Mashariki katika uelekeo wa KS 850 32' MS kwa umbali wa kilomita 0.39 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV 86 yenye majira - nukta 444717MS, 9589780KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Mashariki katika uelekeo wa KS 850 06' MS kwa umbali wa kilomita 4.0 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV 95 yenye majira – nukta MS 448790, KZ 9589420; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Mashariki katika uelekeo wa KS 500 06' MS kwa umbali wa kilomita 1.5 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV 20 yenye majira – nukta 449969MS, 9588436KZ; baada ya hapo mpaka unaeleka Kaskazini – Mashariki katika uelekeo wa KZ 400 21' MS kwa umbali wa kilomita 2.3 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV 94 yenye majira – nukta 451882MS, 9590668KZ, hadi ulipoanzia.” ANGELINE S. MABULA Dodoma, 6 Februari, 2023 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi 5
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
AMRI YA KUANDAA MPANGO WA JUMLA WA MANISPAA YA KAHAMA YA MWAKA 2023
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in