AI-assisted research summary: Mipango ya jumla na ya kina ya eneo lililo kwenye Jedwali lazima iandaliwe na kuhifadhiwa na viongozi waliotajwa.
3. Mipango ya jumla na kina katika eneo la kwenye Jedwali itaandaliwa na kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipango miji na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi. 1 Amri ya Mipango Miji ya Kupanga Eneo la Kibao, Posta, Bwawani, Kigongo, Mgeluka Na Tumaini Tangazo la Serikali na. 144 (linaendelea) _______ JEDWALI _______ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) Eneo la upangaji lipo ndani ya mipaka ifuatayo:- “Unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba KB01 yenye majira - nukta 751258MS, 9050172KZ; baada ya hapo mpaka unaelekeaa kwenye alama ya mpaka ya upiamji namba KB02 yenye majira - nukta 751699MS, 9050150KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Mashariki kwa umbali wa kilomita 0.9 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba KB 03 yenye majira - nukta 752028MS, 9049977KZ, baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki kwa umabli wa kilomita 0.8 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba KB 04 yenye majira - nukta 752991MS, 9049438KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki kwa umbali wa kilomita 0.50 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba KB05 yenye majira - nukta 753226MS, 9049885N, baada ya hapo mpaka unaelekea kaskazini Mashariki kwa umabali wa kilomita 0.52 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba KB 06 yenye majira - nukta 753590MS, 9050263KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi kwa umbali wa kilomita 0.59 hadi kwenye alama ya mpaka upimaji namba KB07 yenye majira - nukta 753334MS, 9050793KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi kwa umbali wa kilomita 0.15 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba KB08 yenye majira - nukta 753196MS, 9050745KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi kwa umbali wa kilomita 0.08 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba KB 09 yenye majira - nukta 753041MS, 9050864KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Magharibi kwa umbali wa kilomita 0.085 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba KB 10 yenye majira - nukta 752956MS, 9050864KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi kwa umabli wa kilomita 0.08 hadi kwenye alama ya mpaka upimji nmba KB11 yenye majira - nukta 752879MS, 9050832KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi kwa umbali wa kilomita 0.11 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba KB 12 yenye majira - nukta 752794MS, 9050896KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi kwa umbali wa kilomita 0.46 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba KB13 yenye majira - nukta 752416MS, 9050638KZ; baada ya hapo mpaka uanaelekea Kusini - Magaharibi kwa umbali wa kilomita 0.38 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba KB 14 yenye majira - nukta 752234MS, 9050304KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki kwa umbali wa kilomita 0.25 hadi kwenye alama ya upimaji ya upimaji namba KB 15 yenye majira – nukta 752096MS, 9050113KZ, baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi kwa umbali wa kilomita 0.19 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba KB16 yenye majira - nukta 75202MS, 9049977K; baada ya hapo mpaka unaeleakea Kaskazini - Magharibi kwa umbali wa kilomita 0.37 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba KB17 yenye majira - nukta 751699MS, 9050150KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Magharibi kwa umbali wa kilomita