AI-assisted research summary: Mipango ya jumla na ya kina kwa eneo lililo kwenye Jedwali inapaswa kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipango Miji na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe.
3. Mipango ya jumla na kina katika eneo lililoainishwa na Jedwali kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipango Miji na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe. itaandaliwa 1 Amri ya Kurasimisha Makazi Yasiyopangwa Eneo la Musonga Tangazo la Serikali Na. 217 (Linaendelea.) _______ JEDWALI _______ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) Eneo la upangaji lipo ndani ya mipaka ifuatayo: “Mpaka unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba M1 yenye majira – nukta 347951MS, 9625715KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Magharibi katika uelekeo wa 830 kwa umbali wa kilomita 0.2 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba M2 yenye majira - nukta 347746MS, 9625733KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Mashariki hadi alama ya mpaka ya upimaji namba M3 yenye majira – nukta 347657MS, 9625927KZ baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Mashariki katika uelekeo wa 1690 kwa umbali wa kilomita 0.3 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba M4 yenye majira – nukta 347495MS, 9626154KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Magharibi katika uelekeo wa 1210 kwa umbali wa kilomita 0.2 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba M5 yenye majira – nukta 347293MS, 9626138KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini- Magharibi katika uelekeo wa 1360 kwa umbali wa kilomita 0.2 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba M6 yenye majira - nukta 347157MS, 9625882KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Magharibi kwa umbali wa kilomita 0.2 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba M7 yenye majira – nukta 346927MS, 9625944KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa 1410 kwa umbali wa kilomita 0.06 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba M8 yenye majira - nukta 346890MS, 9625882KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa 1310 kwa umbali wa kilomita 0.05 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba M9 yenye majira - nukta 346869MS, 9625832KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa 1720 kwa umbali wa kilomita 0.3 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba M10 yenye majira - nukta 346886MS, 9625539KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Magharibi katika uelekeo wa 1540 kwa umbali wa kilomita 0.3 ukikatiza barabara kuu ya Runzewe - Ushirombo hadi alama ya mpaka ya upimaji namba M11 yenye majira - nukta 346870MS, 9625078KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini –Mashariki kwa umbali wa kilometa 0.4 hadi alama ya mpaka ya upimaj namba M12 yenye majira - nukta 346288MS, 9625010KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini katika uelekeo wa 1630 kwa umbali wa kilomita 0.7 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba M13 yenye majira - nukta 348090MS, 9625218KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini umbali wa kilomita 0.2 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba M14 yenye majira - nukta 348090MS, 9625218KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi katika uelekeo wa 1260 kwa umbali wa kilomita 0.2 ukikatiza barabara kuu ya Runzewe - Ushirombo hadi alama ya mpaka ya upimaji namba M15 yenye majira - nukta 347909MS, 9625375KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Mashariki katika uelekeo wa 1240 kwa umbali wa kilomita 0.3 hadi ulopoanzia’’ Dodoma, 6 Februari, 2023 ANGELINE S. MABULA, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi 2