61 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba LTLW 03 yenye majira - nukta 745904MS,
Verify source ↗ AI-assisted research summary: Kifungu hiki kinafafanua mipaka ya eneo kwa kufuata alama za upimaji, mto Mgali, na barabara kuu ya TANZAM hadi kurudi kwenye sehemu ya kuanzia.
2.61 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba LTLW 03 yenye majira - nukta 745904MS, 9078794KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi kwa umbali wa kilomita 0.28 hadi unapokutana na mkondo wa maji wa mto Mgali hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba LTLW 04 yenye majira - nukta 745716MS, 9079006KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini kwa kufuata mkondo wa maji wa mto Mgali kwa umbali wa kilomita 2.16 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba CHG 04 yenye majira - nukta 745455MS, 9081168KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba CHG 05 yenye majira - nukta 745497MS, 9081195KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki kwa umbali wa kilomita 0.22 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba CHG 06 yenye majira – nukta 755675MS, 9081059KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini kwa umbali wa kilomita 0.12 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba CHG 07 yenye majira - nukta 745701MS, 9080941KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki kwa umbali wa kilomita 0.68 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba CHG 08 yenye majira - nukta 746321MS, 9080674KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba CHG 09 yenye majira - nukta 746425MS, 9080579KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki kwa umbali wa kilomita 0.35 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba CHG 10 yenye majira - nukta 746683MS, 9080816KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba CHG 11 yenye majira - nukta 746807MS, 9080754KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba CHG 12 yenye majira - nukta 746884MS, 9080843KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba CHG 01 yenye majira - nukta 747511MS, 9080736KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki kwa umbali wa kilomita 1.67 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba CHG 02 yenye majira - nukta 748728MS, 9081867KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki kwa umbali wa kilomita 0.5 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba CHG 03 yenye majira - nukta 749248MS, 9081971KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini kwa kufuata mkondo wa maji wa mto Mgali kwa umbali wa kilomita 4.37 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba IGW 01 yenye majira - nukta 749588MS, 9079836KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba IGW 02 yenye majira - nukta 749668MS, 9079885KZ; baada ya hapo mpaka unelekea Kusini - Mashariki kwa umbali wa kilomita 0.26 hadi unapokutana na barabara kuu ya TANZAM kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba IGW 03 yenye majira - nukta 749869MS, 9079721KZ; 2 Amri ya Kurasimisha Makazi Yasiyopangwa Eneo la Chogo, Lutalawe Na Igawa Tangazo la Serikali Na. 222 (Linaendelea.) baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi kwa kufuata barabara kuu ya TANZAM kwa umbali wa kilomita 0.96 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba IGW 04 yenye majira - nukta 749165MS, 9079063KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi kwa kufuata barabara ya kuu ya TANZAM kwa umbali wa kilomita 0.26 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba LTLW 01 hadi ulipoanzia’’ Dodoma, 6 Februari, 2023 ANGELINE S. MABULA, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi 3