AI-assisted research summary: The listed area must be prepared and kept by the Director of Urban Planning and the Masasi Town Director.
3. Mipangokina katika eneo la kwenye Jedwali itaandaliwa na kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipango Miji na Mkurugenzi wa Mji wa Masasi 1 Amri ya Kurasimishaji Makazi Yasiyopangwa Eneo la Silabu Tangazo la Serikali Na. 226 (Linaendelea.) _____ JEDWALI _____ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) Eneo la upangaji lipo ndani ya mipaka ifuatayo:- “Mpaka unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SLB1 yenye majira nukta 480818MS , 8813330KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Magharibi katika uelekeo wa 890 28’03’’ kwa umbali wa kilomita 0.16 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SLB2 yenye majira - nukta 480691MS, 8813331KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa 560 35’08’’ kwa umbali wa kilomita 0.08 hadi kwenya alama ya mpaka ya upimaji namba KDF503 yenye majira - nukta 480624MS, 8813287KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini katika uelekeo wa 090 59’20’’ kwa umbali wa kilomita 0.13 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji SLB4 yenye majira - nukta 480647MS, 8813155KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Mashariki katika uelekeo wa 830 51’29’’ kwa umbali wa kilomita 0.058 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SLB5 yenye majira - nukta 480705MS , 8813149KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Mashariki katika uelekeo wa 310 06’30’’ kwa umbali wa kilomita 0.06 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji SLB6 yenye majira - nukta 480736MS, 8813097KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa 550 07’16’’ kwa umbali wa kilomita 38.09 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SLB7 yenye majira - nukta 480767MS, 8813119KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini- Mashariki katika uelekeo wa 490 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SLB8 yenye majira - nukta 481043MS, 8812881KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa 600 07’32’’ kwa umbali wa kilomita 0.073 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SLB9 yenye majira - nukta 481107MS, 8812917KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa 710 33’52’’ kwa umbali wa kilomita 0.096 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SLB10 yenye majira - nukta 481198MS, 8812887KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa 460 56’24’’ kwa umbali wa kilomita 0.6 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SLB11 yenye majira - nukta 480770MS, 8812487KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi kwa kufuata barabara ya Newala - Masasi kwa umbali wa kilomita 1.1 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SLB12 yenye majira - nukta 479791MS, 8813062KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa 420 40’08’’ kwa umbali wa kilomita 0.16 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SLB13 yenye majira - nukta 479916MS, 8813197KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi katika uelekeo wa 510 40’10’’ kwa umbali wa kilomita 0.11 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba SLB14 yenye majira - nukta 479830MS, 8813265KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini katika uelekeo wa 070 42’27’’ kwa umbali wa kilomita 0.13 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SLB15 yenye majira - nukta 479848MS, 8813398KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi katika uelekeo wa 370 29’11’’ kwa umbali wa kilomita 0.13 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SLB16 yenye majira - nukta 479769MS , 8813500KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa 440 30’01’’ kwa umbali wa kilomita 0.16 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SLB17 yenye majira - nukta 479879MS, 8813612KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi katika uelekeo wa 490 20’26’’ kwa umbali wa kilomita 0.11 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SLB18 yenye majira nukta 479794MS, 8813685KZ; baada ya hapo 2 Amri ya Kurasimishaji Makazi Yasiyopangwa Eneo la Silabu Tangazo la Serikali Na. 226 (Linaendelea.) mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa 360 31’27’’ kwa umbali wa kilomita