AI-assisted research summary: Mipango ya jumla na kina katika eneo la lazima iandaliwe na kuhifadhiwa kwenye Jedwali na Mkurugenzi wa Mipango miji pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe.
3. Mipango ya jumla na kina katika eneo la itaandaliwa na kuhifadhiwa kwa kwenye Jedwali Mkurugenzi wa Mipango miji na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe. 1 Amri ya Mipango Miji ya Kurasimisha Makazi Yasiyopangwa Katika Eneo la Bulega Tangazo la Serikali Na. 228 (Linaendelea.) _______ JEDWALI _______ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) Eneo la upangaji lipo ndani ya mipaka ifuatayo: “Unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba C1 yenye majira – nukta 364600MS, 9635750KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Magharibi katika uelekeo wa 910 kwa umbali wa kilomita 0.1 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba C2 yenye majira – nukta 364438MS, 9635777KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini katika uelekeo wa 920 kwa umbali wa kilomita 0.1 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba C3 yenye majira nukta 364426SM, 9635956KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Magharibi katika uelekeo wa 1010 kwa umbali wa kilomita 0.04 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba C4 yenye majira – nukta 364378MS, 9635963KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Magharibi katika uelekeo wa 1670 kwa umbali wa kilomita 0.1 ukikatiza barabara kuu kutokea Bulega hadi alama ya mpaka ya upimaji namba C5 yenye majira nukta 364268MS, 9635981KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini- Magharibi katika uelekeo wa 1600 kwa umbali wa kilomita 0.1 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba C6 yenye majira - nukta 364170MS, 9635981KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Magharibi katika uelekeo wa 1590 kwa umbali wa kilomita 0.1 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba C7 yenye majira – nukta 364027SM, 9635966KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini katika uelekeo wa 870 kwa umbali wa kilomita 0.07 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba C8 yenye majira - nukta 364037MS, 9635899KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Magharibi katika uelekeo wa 830 kwa umbali wa kilomita 0.2 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba C9 yenye majira - nukta 363851MS, 9635894KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini katika uelekeo wa 920 kwa umbali wa kilomita 0.2 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba C10 yenye majira - nukta 363851MS, 9635705KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Mashariki katika uelekeo wa 1640 kwa umbali wa kilomita 0.07 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba C11 yenye majira - nukta 363867MS, 9635647KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Magharibi katika uelekeo wa 1450 kwa umbali wa kilometa 0.07 hadi alama ya mpaka ya upimaj namba C12 yenye majira - nukta 363844MS, 9635346KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Mashariki katika uelekeo wa 1440 kwa umbali wa kilomita 0.2 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba C13 yenye majira - nukta 363912MS, 9635579KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Mashariki katika uelekeo wa 950 kwa umbali wa kilomita 0.2 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba C14 yenye majira - nukta 364069MS, 9635376KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki katika uelekeo wa 910 kwa umbali wa kilomita 0.07 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba C15 yenye majira - nukta 364085MS, 9635300KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini katika uelekeo wa 1640 kwa umbali wa kilomita 0.2 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba C16 yenye majira - nukta 364085MS, 9635062KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Mashariki katika uelekeo wa 780 kwa umbali wa kilomita 0.3 ukikatiza barabara itokayo Ushirombo kutoka Bulega hadi alama ya mpaka ya upimaji namba C17 yenye majira - nukta 364392MS, 9635129KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Magharibi katika uelekeo wa 810 kwa umbali wa kilomita 0.3 kwa kufuata barabara ya kutoka Ushirombo kuelekea Bulega hadi alama ya mpaka ya upimaji namba C18 yenye majira - nukta 364287MS, 9635418KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini katika uelekeo wa 1690 kwa umbali wa kilomita 0.2 kwa kufuata barabara ya Ushirombo kuelekea Bulega hadi 2 Amri ya Mipango Miji ya Kurasimisha Makazi Yasiyopangwa Katika Eneo la Bulega Tangazo la Serikali Na. 228 (Linaendelea.) alama ya mpaka ya upimaji namba C19 yenye majira - nukta 364267MS, 9635574KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Mashariki katika uelekeo wa 150 kwa umbali wa kilomita 0.1 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba C20 yenye majira - nukta 364394MS, 9635571KZ baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Mashariki katika uelekeo wa 1630 kwa umbali wa kilomita 0.2 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba C21 yenye majira - nukta 364623MS, 9635636KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini katika uelekeo wa 1010 kwa umbali wa kilomita 0.1 hadi ulipoanzia” Dodoma, 6 Februari, 2023 BANGELINE S. MABULA, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi 3