2 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba M yenye majira - nukta 327771MS, 9623785KZ; baada
Verify source ↗ AI-assisted research summary: This provision describes the boundary of the Lyobahika unplanned settlement area by listing survey points, directions, distances, and coordinates.
0.2 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba M yenye majira - nukta 327771MS, 9623785KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Mashariki katika uelekeo wa 1480 kwa umbali wa kilomita 0.2 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba N yenye majira - nukta 336743MS, 9630710KZ baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Magharibi katika uelekeo wa 1340 kwa umbali wa kilomita 0.2 2 Amri ya Kurasimisha Makazi Yasiyopangwa Eneo la Lyobahika Tangazo la Serikali Na. 246 (Linaendelea.) hadi alama ya mpaka ya upimaji namba O yenye majira - nukta 336596MS, 9630877KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Magharibi katika uelekeo wa 1430 kwa umbali wa kilomita 0.2 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba P yenye majira - nukta 336601MS, 9631095KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Magharibi katika uelekeo wa 1390 kwa umbali wa kilomita 0.08 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba Q yenye majira - nukta 336554MS, 9631160KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Magharibi katika uelekeo wa 1710 kwa umbali wa kilomita 0.3 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba R yenye majira - nukta 336289MS, 9631198KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Magharibi kwa umbali wa kilomita 0.1 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba S yenye majira - nukta 336204MS, 9631306KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Mashariki katika uelekeo wa 1220 kwa umbali wa kilomita 0.1 ukikatiza barabara ya Runzewe - Bwanga hadi alama ya mpaka ya upimaji namba T yenye majira - nukta 336313MS, 96314103KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Mashariki katika uelekeo wa 1160 kwa umbali wa kilomita 0.07 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba U yenye majira - nukta 336313MS, 9631412KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa 1220 kwa umbali wa kilomita 0.1 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba V yenye majira - nukta 336434MS, 9631344KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Mashariki katika uelekeo wa 1160 kwa umbali wa kilomita 0.1 hadi alama ya mpaka ya upimaji W yenye majira - nukta 336534MS, 9631398KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Mashariki katika uelekeo wa 1490 kwa umbali wa kilomita 0.1 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba X yenye majira - nukta 336606MS, 9631330KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Mashariki katika uelekeo wa 1620 kwa umbali wa kilomita 0.2 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba Y yenye majira - nukta 336784KZ, 9631397KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Mashariki katika uelekeo wa 1610 kwa umbali wa kilomita 0.08 hadi alama ya mpaka ya upimaji Z yenye majira - nukta 336835MS, 9631461KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini –Mashariki katika uelekeo wa 1590 kwa umbali wakilomita 0.06 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba A1 yenye majira - nukta 336894MS, 9631501KZ; baada ya hapo mpaka ulielekea Kaskazini-Mashariki katika uelekeo wa 1640 kwa umbali wa kilomita 0.08 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba B1 yenye majira - nukta 336963MS, 9631547KZ; baada ya mpaka unaelekea Kaskazini-Mashariki katika uelekeo wa 1610 kwa umbali wa kilomita 0.08 hadi alama ya mpaka ya upimaji C1 yenye majira - nukta 337030MS, 9631785KZ; baada ya hapo mpaka ulielekea Kaskazini-Mashariki katika uelekeo wa 1590 kwa umbali wa kilomita 0.1 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba D1 yenye majira - nukta 337037,9631838; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini –Magharibi katika uelekeo wa 1290 kwa umbali wa kilomita 0.08 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba E1 yenye majira - nukta 337037MS, 9631838KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Magharibi katika uelekeo wa 920 kwa umbali wa kilomita 0.08 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba F1 yenye majira - nukta 336962MS, 9631895KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Magharibi katika uelekeo wa 3 Amri ya Kurasimisha Makazi Yasiyopangwa Eneo la Lyobahika Tangazo la Serikali Na. 246 (Linaendelea.) 910 kwa umbali wa kilomita 0.1 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba G1 yenye majira - nukta (336893MS, 9631895KZ); baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Magharibi katika uelekeo wa 870 kwa umbali wa kilomita 1.2 ukikatiza barabara ya Runzewe - Bwanga hadi alama ya mpaka ya upimaji namba H1 yenye majira - nukta 335877MS, 9631115KZ baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Mashariki katika uelekeo wa 940 kwa umbali wa kilomita 2.7 hadi ulipoanzia’’ Dodoma, 6 Februari, 2023 BANGELINE S. MABULA, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi 4