Hati ya Uanzishaji wa Bodi ya Mfuko wa Elimu ya Halmashauri ya Geita ya mwaka 2020
This section gives the official short title and says the instrument starts to apply after publication in the Government Gazette.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Act or statute
- Citation
- Hati ya Uanzishaji wa Bodi ya Mfuko wa Elimu ya Halmashauri ya Geita ya mwaka 2020
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Publicly available, excluded from search-engine indexing
This page remains available for direct access and API use, but this release emits
noindex,follow for the following reason:
- The record does not meet this release's canonical indexing criteria.
(market-indexing-disabled)
Statute overview
About this statute
This section gives the official short title and says the instrument starts to apply after publication in the Government Gazette. This section defines key terms used in the Hati, including the Board, Halmashauri, Executive Committee, Education Fund, member, Director, Coordinator, and Chairperson. The Education Fund Board for the Council is established, and its membership is set out here. Bodi ya Mfuko wa Elimu ina wajibu wa kusimamia, kupanga, kuidhinisha, kushauri, kushirikiana, na kufuatilia matumizi na utekelezaji wa Mfuko wa Elimu katika Halmashauri. Bodi inaweza kuunda kamati yenye baadhi ya wajumbe ikiwa itaona ni muhimu kwa utekelezaji wa majukumu yake.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Hati ya Uanzishaji wa Bodi ya Mfuko wa Elimu ya Halmashauri ya Geita ya mwaka 2020
Showing 35 of 35
- 1 Verify source ↗
Hati hii itajulikana kama Hati ya Uanzishaji wa
AI-assisted research summary: This section gives the official short title and says the instrument starts to apply after publication in the Government Gazette.
1. Hati hii itajulikana kama Hati ya Uanzishaji wa Bodi ya Mfuko wa Elimu ya Halmashauri ya Geita ya mwaka 2020 na itaanza kutumika baada ya kutangazwa katika Gazeti la Serikali. Tafsiri - 2 Verify source ↗
Katika Hati hii isipokuwa pale itakapoelezwa
AI-assisted research summary: This section defines key terms used in the Hati, including the Board, Halmashauri, Executive Committee, Education Fund, member, Director, Coordinator, and Chairperson.
2. Katika Hati hii isipokuwa pale itakapoelezwa vinginevyo: “Bodi “ maana yake ni Bodi ya Mfuko wa Elimu ya Halmashauri; “Halmashauri” maana …………………….; yake ni Halmashauri ya “Kamati ya Utendaji” maana yake ni Kamati ya Utendaji iliyoanzishwa chini ya Hati hii; “Mfuko wa Elimu” maana yake ni Mfuko wa Elimu wa Halmashauri ulioanzishwa kwa mujibu wa Hati hii”; “Mjumbe” maana yake ni Mjumbe wa Bodi na ni pamoja na Mwenyekiti; 1 Hati ya Uanzishaji Wa Bodi ya Mfuko Wa Elimu ya Halmashauri Tangazo la Serikali Na.1047 (Linaendelea.) “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi wa Halmashauri ………………………. na ni pamoja na mtu ye yote anayekaimu nafasi ya Mkurugenzi; “Mratibu” maana yake ni Mratibu wa Mfuko wa Elimu aliyeteuliwa kwa mujibu wa Hati hii; “Mwenyekiti” maana yake ni Mwenyekiti wa Bodi. SEHEMU YA PILI BODI YA MFUKO WA ELIMU Bodi ya Mfuko wa Elimu
Part
SEHEMU YA PILI
- 3 Verify source ↗
(1) Kutakuwa na Bodi ya Mfuko wa Elimu ya
AI-assisted research summary: The Education Fund Board for the Council is established, and its membership is set out here.
3.-(1) Kutakuwa na Bodi ya Mfuko wa Elimu ya Halmashauri ambayo katika Hati hii itajulikana kama Bodi. (2) Bodi itakuwa na wajumbe wafuatao: (a) Mwenyekiti; (b) wawakilishi wawili wa jamii ambapo mmoja kati yao atakuwa mwanamke; (c) mwakilishi mmoja kutoka miongoni mwa wakuu wa shule za sekondari zilizopo katika eneo la Halmashauri; (d) mwakilishi mmoja kutoka miongoni mwa walimu wakuu wa shule za msingi la Halmashauri; zilizopo katika eneo (e) mwakilishi mmoja kutoka miongoni mwa wamiliki wa shule zisizo za Serikali; na (f) Diwani mmoja kutoka Kamati ya Huduma za Jamii ya Halmashauri. (3) Masharti kuhusu utaratibu wa kuwapata wajumbe wa Bodi, muda wa kuwa madarakani kwa wajumbe wa Bodi, uendeshaji wa shughuli za Bodi yatakuwa kama yalivyoainishwa katika Jedwali la Hati hii. Majukumu ya Bodi - 4 Verify source ↗
(1) Bodi itakuwa na majukumu yafuatayo
AI-assisted research summary: Bodi ya Mfuko wa Elimu ina wajibu wa kusimamia, kupanga, kuidhinisha, kushauri, kushirikiana, na kufuatilia matumizi na utekelezaji wa Mfuko wa Elimu katika Halmashauri.
4.-(1) Bodi itakuwa na majukumu yafuatayo: (a) kusimamia uendeshaji wa Mfuko wa Elimu; (b) kujadili na kurekebisha mipango na bajeti ya Mfuko wa Elimu na 2 Hati ya Uanzishaji Wa Bodi ya Mfuko Wa Elimu ya Halmashauri Tangazo la Serikali Na.1047 (Linaendelea.) kuiwasilisha kwenye Baraza la Madiwani; (c) kupokea, kuchambua na kuidhinisha taarifa za utekelezaji wa malengo ya Mfuko wa Elimu; (d) kushauri kuhusu utekelezaji wa mipango na mikakati kwa ajili ya maendeleo katika Halmashauri; elimu ya (e) kusimamia mgawanyo wa misaada taasisi za elimu vya vipaumbele kwa shule na kufuatana na Halmashauri; (f) kusaidia shughuli za maendeleo ya elimu katika Halmashauri kulingana na mipango ya kitaifa; (g) kusimamia ujenzi na ukarabati wa miundombinu ya shule na taasisi za elimu za Halmashauri unaofadhiliwa na Mfuko; (h) kufadhili shughuli za ujenzi na ukarabati wa miundombinu ya elimu; (i) kupitisha kanuni za utengaji na utumiaji wa fedha kutoka kwenye Mfuko wa Elimu; (j) kuisimamia Kamati ya Utendaji ya Mfuko wa Elimu katika utekelezaji wa majukumu yake; na (k) kufanya jambo lote litakalofanikisha maendeleo ya elimu katika Halmashauri. lo (2) Katika utekelezaji wa majukumu yake, Bodi itashirikiana na Halmashauri kwa madhumuni ya kuhakikisha kuwa fedha na rasilimali za Mfuko wa Elimu zinasimamiwa kwa mujibu wa sheria, kanuni na taratibu zinazosimamia fedha na rasilimali za umma. Kamati za Bodi - 5 Verify source ↗
Bodi inaweza kuunda kamati itakayokuwa na
AI-assisted research summary: Bodi inaweza kuunda kamati yenye baadhi ya wajumbe ikiwa itaona ni muhimu kwa utekelezaji wa majukumu yake.
5. Bodi inaweza kuunda kamati itakayokuwa na baadhi ya wajumbe endapo itaona kuna umuhimu wa kuwa na kamati kwa ajili ya utekelezaji wa majukumu yake. 3 Hati ya Uanzishaji Wa Bodi ya Mfuko Wa Elimu ya Halmashauri Tangazo la Serikali Na.1047 (Linaendelea.) Kukasimu majukumu - 6 Verify source ↗
(1) Bodi, kupitia azimio,
AI-assisted research summary: The Board may, by resolution, delegate its duties to a committee, Coordinator, or any Board member, and may set conditions for how delegated duties are carried out. It cannot delegate certain listed duties.
6.-(1) Bodi, kupitia azimio, inaweza kukasimu majukumu yake yaliyoainishwa katika Hati hii kwa kamati, Mratibu au Mjumbe yeyote wa Bodi. (2) Kwa kuzingatia masharti ya kifungu kidogo cha (1), Bodi inaweza kuweka masharti mbalimbali kuhusu utekelezaji wa majukumu yaliyokasimiwa. (3) Bila kujali masharti ya kifungu kidogo cha (1), Bodi haitakuwa na uwezo wa kukasimu majukumu yafuatayo: (a) kusimamia uendeshaji wa Mfuko wa Elimu; (b) kujadili na kurekebisha mipango na bajeti ya Mfuko wa Elimu na kuiwasilisha kwenye Baraza la Madiwani; (c) kupokea, kuchambua na kuidhinisha taarifa za utekelezaji wa malengo ya Mfuko wa Elimu; (d) kushauri kuhusu utekelezaji wa mipango na mikakati kwa ajili ya maendeleo katika Halmashauri; elimu ya (e) kupitisha kanuni za utengaji na utumiaji wa fedha kutoka kwenye Mfuko wa Elimu; na (f) kuisimamia Kamati ya Utendaji ya Mfuko wa Elimu katika utekelezaji wa majukumu yake. Ushirikishaji wa jamii - 7 Verify source ↗
Katika utekelezaji wa majukumu yake, Bodi
AI-assisted research summary: The Board must ensure community participation, transparency, and accountability in carrying out its duties.
7. Katika utekelezaji wa majukumu yake, Bodi itahakikisha kuwa: (a) jamii inashirikishwa katika: (i) wa utambuzi wa changamoto za elimu na utatuzi changamoto hizo; uwekaji wa vipaumbele; ufuatiliaji na ufanyikaji wa tathmini kuhusu utoaji wa huduma za elimu; (b) kunakuwepo na uwazi na uwajibikaji. (ii) (iii) 4 Hati ya Uanzishaji Wa Bodi ya Mfuko Wa Elimu ya Halmashauri Tangazo la Serikali Na.1047 (Linaendelea.) Uwajibikaji wa Bodi - 8 Verify source ↗
Katika utekelezaji wa majukumu yake, Bodi
AI-assisted research summary: Bodi lazima iwajibike kwa Halmashauri wakati wa kutekeleza majukumu yake, kwa kufuata utaratibu uliowekwa katika Hati hii.
8. Katika utekelezaji wa majukumu yake, Bodi itawajibika kwa Halmashauri kwa kuzingatia utaratibu ulioainishwa katika Hati hii. SEHEMU YA TATU MFUKO WA ELIMU Mfuko wa Elimu
Part
SEHEMU YA TATU
- 9 Verify source ↗
Kutakuwa na Mfuko wa Elimu wa Halmashauri
AI-assisted research summary: This section establishes a District Education Fund and says it must be used for specified education-related purposes.
9. Kutakuwa na Mfuko wa Elimu wa Halmashauri ambao utatumika kwa madhumuni yafuatayo: (a) kuboresha, kuendeleza na kukuza utoaji wa elimu bora kulingana na vipaumbele vya Halmashauri; (b) kugharamia miradi na programu za Mfuko wa Elimu; (c) kudhamini wanafunzi wasio na uwezo wa kumudu gharama za huduma za elimu; (d) kujenga au kukarabati miundombinu ya shule zilizopo katika eneo la Halmashauri; (e) kununua vifaa vya kufundishia na kujifunzia; (f) kugharamia shughuli nyingine yoyote ina ambayo kwa maoni ya Bodi manufaa kulingana na malengo na madhumuni ya Mfuko wa Elimu; na (g) kugharamia uendeshaji wa Mfuko wa Elimu na Bodi. Kamati ya Utendaji ya Mfuko wa Elimu - 10 Verify source ↗
Kutakuwa na Kamati ya Utendaji ya Mfuko wa
AI-assisted research summary: This provision creates the Education Fund’s Executive Committee and lists its members.
10. Kutakuwa na Kamati ya Utendaji ya Mfuko wa Elimu ambayo itakuwa na wajumbe wafuatao: (a) Mkurugenzi Mwenyekiti; ambaye atakuwa (b) Mkuu wa Idara ya Elimu Msingi; (c) Mkuu wa Idara ya Elimu Sekondari; (d) Mkuu wa Idara ya Uchumi na 5 Hati ya Uanzishaji Wa Bodi ya Mfuko Wa Elimu ya Halmashauri Tangazo la Serikali Na.1047 (Linaendelea.) Mipango; (e) Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii; (f) Mkuu wa Idara ya Ujenzi; (g) Mkuu wa Kitengo cha Sheria. Majukumu ya Kamati ya Utendaji - 11 Verify source ↗
Kamati ya Utendaji itakuwa na majukumu
AI-assisted research summary: Kamati ya Utendaji must carry out duties for the Education Fund and council education matters.
11. Kamati ya Utendaji itakuwa na majukumu yafuatayo: (a) kuratibu na kuhamasisha uchangiaji wa hiari wa Mfuko wa Elimu; (b) kuandaa mipango kabambe ya Halmashauri katika sekta ya elimu ambayo itatilia mkazo mahitaji yote ya elimu kwa katika Halmashauri kuzingatia Mwongozo wa Kitaifa wa Maendeleo ya Elimu; (c) kubaini, kuanzisha na kuratibu vyanzo vya mapato ya Mfuko wa Elimu; (d) kuwezesha na kuratibu vikao vya Bodi; (e) kuchambua na kubainisha vipaumbele katika elimu ya vya masuala Halmashauri; (f) kuweka taratibu na vigezo vya ufadhili wa wanafunzi na utoaji ruzuku kwa miradi ya elimu katika Halmashuri; na (g) kuandaa taarifa za utekelezaji kuhusu Mfuko wa Elimu na maendeleo ya elimu katika Halmashauri. Mratibu wa Mfuko wa Elimu - 12 Verify source ↗
(1) Kutakuwa na Mratibu wa Mfuko wa Elimu
AI-assisted research summary: Halmashauri lazima iwe na Mratibu wa Mfuko wa Elimu anayetuliwa na Mkurugenzi kutoka kwa watumishi waandamizi wenye uzoefu unaofaa.
12.-(1) Kutakuwa na Mratibu wa Mfuko wa Elimu atakayeteuliwa na Mkurugenzi kutoka miongoni mwa watumishi waandamizi wa Halmashauri mwenye uzoefu na ujuzi katika masuala ya ualimu, sheria, utawala au uchumi. (2) Mratibu atakayeteuliwa kwa mujibu wa kifungu kidogo cha (1) atashikilia nafasi hiyo kwa muda wa miaka minne na katika kipindi hicho ataendelea kutekeleza majukumu yake ya kawaida ya kiutumishi. (3) Mratibu atakuwa Katibu wa Bodi na Katibu wa Kamati ya Utendaji. 6 Hati ya Uanzishaji Wa Bodi ya Mfuko Wa Elimu ya Halmashauri Tangazo la Serikali Na.1047 (Linaendelea.) Majukumu ya Mratibu - 13 Verify source ↗
Bila kuathiri masharti mengine ya Hati hii,
AI-assisted research summary: Mratibu ana majukumu ya kuongoza Mfuko na shughuli za Bodi, kuandaa na kutekeleza mipango, kuandaa bajeti ya Mfuko wa Elimu, kutunza kumbukumbu na mali, na kusimamia hesabu za mapato na matumizi.
13. Bila kuathiri masharti mengine ya Hati hii, Mratibu atakuwa na majukumu yafuatayo: (a) kuwa Mtendaji Mkuu wa Mfuko na shughuli za Bodi; (b) kuandaa na kutekeleza mipango na (c) kuandaa bajeti ya Mfuko wa Elimu; na taarifa kwenye vikao vya Bodi na mamlaka zinazohusika; kuwasilisha (d) kutunza kumbukumbu, nyaraka na mali zote za Mfuko wa Elimu wa Halmashauri kwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu; na (e) kusimamia na kutunza hesabu zote za mapato na matumizi ya Mfuko wa Elimu. SEHEMU YA NNE MASHARTI MENGINEYO Akaunti ya Mfuko wa Elimu
Part
SEHEMU YA NNE
- 14 Verify source ↗
(1) Kutakuwa na akaunti ya benki ya Mfuko wa
AI-assisted research summary: A bank account is to be used for the Education Fund, and its signatories must be one of the listed combinations.
14.-(1) Kutakuwa na akaunti ya benki ya Mfuko wa zote Elimu zitakazopokelewa kwa madhumuni ya Mfuko wa Elimu. kuhifadhi itatumika ambayo fedha (2) Katika kuendesha akaunti hiyo, wawekaji saini watakuwa: (a) Mkurugenzi na Mjumbe atakayeidhinishwa na Bodi; au (b) Mratibu na Mjumbe atakayeidhinishwa na Bodi. Usimamizi wa rasilimali - 15 Verify source ↗
Rasilimali au misaada yoyote tofauti na fedha
AI-assisted research summary: Rasilimali au misaada isiyo ya fedha kwa ajili ya Mfuko wa Elimu inapokelewa na kuingizwa kwenye rejista maalum ya Mfuko huo.
15. Rasilimali au misaada yoyote tofauti na fedha itakayotolewa kwa ajili ya Mfuko wa Elimu itapokelewa na kuingizwa kwenye rejista maalum ya Mfuko wa Elimu. Vyanzo vya mapato vya Mfuko wa Elimu - 16 Verify source ↗
Mfuko wa Elimu utakuwa na vyanzo vya mapato
AI-assisted research summary: The Education Fund must be financed from the revenue sources listed in this section.
16. Mfuko wa Elimu utakuwa na vyanzo vya mapato vifuatavyo: (a) michango ya hiari ya watu binafsi, 7 Hati ya Uanzishaji Wa Bodi ya Mfuko Wa Elimu ya Halmashauri Tangazo la Serikali Na.1047 (Linaendelea.) wadau wa elimu na washirika wa maendeleo; (b) michango ya hiari ya wananchi kwa kuzingatia taratibu zilizowekwa na Halmashauri; (c) misaada kutoka kwa wadau mbalimbali; na (d) rasilimali au fedha kutoka kwenye mapato ya ndani ya Halmashauri. Ukaguzi - 17 Verify source ↗
Hesabu za mwaka za Mfuko wa Elimu
AI-assisted research summary: The Education Fund’s annual accounts are to be audited according to the law and public finance procedures.
17. Hesabu za mwaka za Mfuko wa Elimu zitakaguliwa kwa mujibu wa Sheria na taratibu za fedha za Umma. Taarifa ya Kamati ya Utendaji ya miezi mitatu - 18 Verify source ↗
(1) Kamati ya Utendaji itakuwa na wajibu wa
AI-assisted research summary: Kamati ya Utendaji lazima itoe taarifa ya miezi mitatu kwenye kikao cha Bodi.
18.-(1) Kamati ya Utendaji itakuwa na wajibu wa kuandaa na kuwasilisha katika kikao cha Bodi taarifa ya miezi mitatu ya utekelezaji wa majukumu ya Bodi, Kamati ya Utendaji na Mfuko wa Elimu katika kikao cha Bodi. (2) Bila kuathiri masharti ya kifungu kidogo cha (1), taarifa itakayowasilishwa itaainisha yafuatayo: (a) mapato na matumizi kwa kipindi husika; (b) kazi zilizofanyika yaliyopatikana na changamoto; (c) viashiria vya utendaji na mafanikio taarifa nyingine zinazohusiana navyo; na (d) masuala mengine kwa kadri Bodi itakavyoelekeza. Taarifa ya mwaka ya Kamati ya Utendaji - 19 Verify source ↗
(1) Kamati ya Utendaji itakuwa na wajibu wa
AI-assisted research summary: Kamati ya Utendaji lazima itayarishe na kuwasilisha taarifa ya mwaka kwa Bodi kuhusu utekelezaji wa majukumu ya Bodi, Kamati ya Utendaji na Mfuko wa Elimu.
19.-(1) Kamati ya Utendaji itakuwa na wajibu wa kuandaa na kuwasilisha katika kikao cha Bodi taarifa ya mwaka ya utekelezaji wa majukumu ya Bodi, Kamati ya Utendaji na Mfuko wa Elimu. (2) Bila kuathiri masharti ya kifungu kidogo cha (1), taarifa itakayowasilishwa itaainisha yafuatayo: (a) mipango na bajeti ya Mfuko kwa mwaka wa fedha unaofuata; (b) utekelezaji wa majukumu katika kipindi cha mwaka mmoja; (c) mapato na matumizi katika kipindi 8 Hati ya Uanzishaji Wa Bodi ya Mfuko Wa Elimu ya Halmashauri Tangazo la Serikali Na.1047 (Linaendelea.) cha mwaka mmoja; (d) mipango ya kimkakati ya kuimarisha Mfuko wa Elimu; na (e) Mpango Kazi wa Bodi na Kamati ya Utendaji kwa mwaka unaofuata. Taarifa ya Bodi ya miezi mitatu - 20 Verify source ↗
(1) Bodi itakuwa na wajibu wa kuandaa na
AI-assisted research summary: Bodi must prepare and submit a quarterly report to the Standing Committee of the Social Services Council.
20.-(1) Bodi itakuwa na wajibu wa kuandaa na kuwasilisha katika kikao cha Kamati ya Kudumu ya Halmashauri ya Huduma za Jamii taarifa ya miezi mitatu ya utekelezaji wa majukumu ya Bodi, Kamati ya Utendaji na Mfuko wa Elimu. (2) Bila kuathiri masharti ya kifungu kidogo cha (1), taarifa itakayowasilishwa itaainisha yafuatayo: (a) mapato na matumizi kwa kipindi husika; (b) kazi zilizofanyika yaliyopatikana na changamoto; (c) viashiria vya utendaji na mafanikio taarifa nyingine zinazohusiana navyo; na (d) masuala mengine kwa kadri Kamati ya Kudumu ya Halmashauri ya Huduma za Jamii itakavyoelekeza. Taarifa ya Bodi ya mwaka - 21 Verify source ↗
(1) Bodi itakuwa na wajibu wa kuandaa na
AI-assisted research summary: Bodi lazima iandae na iwasilishe taarifa ya mwaka ya utekelezaji katika kikao cha Kamati ya Kudumu ya Halmashauri ya Huduma za Jamii.
21.-(1) Bodi itakuwa na wajibu wa kuandaa na kuwasilisha katika kikao cha Kamati ya Kudumu ya Halmashauri ya Huduma za Jamii taarifa ya mwaka ya utekelezaji wa majukumu ya Bodi, Kamati ya Utendaji na Mfuko wa Elimu. (2) Bila kuathiri masharti ya kifungu kidogo cha (1), taarifa itakayowasilishwa itaainisha yafuatayo: (a) mipango na bajeti ya Mfuko kwa mwaka wa fedha unaofuata; (b) utekelezaji wa majukumu katika kipindi cha mwaka mmoja; (c) mapato na matumizi katika kipindi cha mwaka mmoja; (d) mipango ya kimkakati ya kuimarisha Mfuko wa Elimu; na (e) Mpango Kazi wa Bodi na Kamati ya Utendaji kwa mwaka unaofuata. 9 Hati ya Uanzishaji Wa Bodi ya Mfuko Wa Elimu ya Halmashauri Tangazo la Serikali Na.1047 (Linaendelea.) Wajibu wa Kamati ya Kudumu ya Huduma za Jamii - 22 Verify source ↗
Kamati ya Kudumu ya Halmashauri ya Huduma
AI-assisted research summary: Kamati ya Kudumu ya Halmashauri ya Huduma za Jamii lazima ichunguze taarifa kutoka Bodi na kuwasilisha mapendekezo yake kwa Halmashauri kwa uamuzi.
22. Kamati ya Kudumu ya Halmashauri ya Huduma za Jamii itakuwa na wajibu wa kupitia na kuchambua taarifa itakayowasilishwa na Bodi na kuwasilisha mapendekezo yake kwa Halmashauri kwa uamuzi wake. Utekelezaji wa Sheria ya Mfuko wa Elimu Sura 412 - 23 Verify source ↗
Kwa madhumuni ya kuwezesha utekelezaji wa
AI-assisted research summary: Bodi kupitia kwa Mkurugenzi lazima iwasilishe orodha ya wachangiaji kwa Mamlaka ya Elimu Tanzania na ichangie shilingi 100,000 katika Mfuko wa Elimu.
23. Kwa madhumuni ya kuwezesha utekelezaji wa Sheria ya Mfuko wa Elimu kuhusu uhamasishaji wa uchangiaji katika sekta ya elimu na utoaji wa tuzo kwa wadau wanaochangia, Bodi kupitia kwa Mkurugenzi itakuwa na wajibu wa: (a) kuwasilisha kwa Mamlaka ya Elimu Tanzania orodha ya majina ya wadau waliochangia katika Mfuko wa Elimu ikionyesha kiasi au rasilimali nyingine zilizopokelewa na Mfuko wa Elimu; na fedha cha (b) kuchangia kiasi cha shilingi laki moja kwa katika Mfuko ulioanzishwa chini ya Sheria ya Mfuko wa Elimu. mwaka 10 Hati ya Uanzishaji Wa Bodi ya Mfuko Wa Elimu ya Halmashauri Tangazo la Serikali Na.1047 (Linaendelea.) ______ JEDWALI _____ (Limetengenezwa chini ya Kifungu cha 3(3) UENDESHAJI WA SHUGHULI ZA BODI Sifa ya Mjumbe
Part
JEDWALI
- 1 Verify source ↗
(1) Mtu yeyote anaweza kuwa Mjumbe wa Bodi endapo
AI-assisted research summary: A person may become a Board Member if they meet the listed qualifications, and a local authority employee or councillor cannot be appointed Chair.
1.-(1) Mtu yeyote anaweza kuwa Mjumbe wa Bodi endapo atakuwa na sifa zifuatazo: (a) awe ni raia wa Tanzania; (b) awe na umri usiopungua miaka ishirini na moja; (c) awe na akili timamu; (d) awe na elimu ya Sekondari na kuendelea; (e) asiwe na madaraka yoyote kwenye chama cha siasa; (f) asiwe amewahi kutiwa hatiani kwa kosa lolote la jinai linalohusu ukosefu wa uaminifu; na (g) awe mkazi wa Halmashauri. (2) Masharti ya: (a) aya ndogo (1)(a) hayatatumika kwa Mjumbe anayewakilisha mashirika yasiyo ya kiserikali; (b) aya ndogo (1)(e) hayatatumika kwa Mjumbe anayewakilisha Kamati ya Kudumu ya Halmashauri ya Huduma za Jamii. (3) Kwa kuzingatia masharti ya aya ndogo ya (1), mtumishi wa Halmashauri au Diwani hatakuwa na sifa ya kuteuliwa kuwa Mwenyekiti. - 2 Verify source ↗
(1) Mkurugenzi, kwa maelekezo ya Halmashauri,
AI-assisted research summary: Mkurugenzi lazima atangaze nafasi za Mwenyekiti na wajumbe wa Bodi, timu ya menejimenti ichambue maombi na kupendekeza majina 11, kisha Halmashauri iwateue.
2.-(1) Mkurugenzi, kwa maelekezo ya Halmashauri, atatangaza kuwepo kwa nafasi ya Mwenyekiti na wajumbe wa Bodi walioainishwa katika kifungu cha 3. (2) Tangazo litakalotolewa kwa mujibu wa aya ndogo ya (1) litachapishwa katika gazeti linalosambazwa katika eneo la Halmashauri na mbao za matangazo katika Ofisi za Halmashauri, Kata na Vijiji litaainisha sifa za wajumbe wa Bodi. (3) Timu ya Menejimenti ya Halmashauri itachambua maombi yatakayowasilishwa na kupendekeza kwa Kamati ya Kudumu ya Halmashauri ya Huduma za Jamii majina ya watu 11 Utaratibu wa kuwapata wajumbe Hati ya Uanzishaji Wa Bodi ya Mfuko Wa Elimu ya Halmashauri Tangazo la Serikali Na.1047 (Linaendelea.) wenye sifa kwa ajili ya kuyapendekeza kwa Halmashauri. (4) Halmashauri baada ya kupokea majina kwa mujibu wa kifungu kidogo cha (3) itateua Mwenyekiti na wajumbe wa Bodi. Muda wa kuwa madarakani - 3 Verify source ↗
(1) Mjumbe wa Bodi atashika madaraka kwa kipindi
AI-assisted research summary: A board member serves for three years and may be reappointed once. A chair or board member loses the position if specified events occur, and a vacancy does not stop the board from operating.
3. –(1) Mjumbe wa Bodi atashika madaraka kwa kipindi cha miaka mitatu na anaweza kuteuliwa tena kwa kipindi kingine kimoja. (2) Bila kujali masharti ya aya ndogo ya (1), Mwenyekiti au Mjumbe atapoteza nafasi yake endapo litatokea mojawapo ya yafuatayo: (a) kufariki dunia; (b) kujiuzulu baada ya kutoa ya mwezi mmoja taarifa ya maandishi kwa ikiwa anayejiuzulu ni Mwenyekiti na Mwenyekiti, baada ya kutoa taarifa ya maandishi kwa Mwenyekiti wa Halmashauri; ya mwezi mmoja (c) ulemavu au ugonjwa unaosababisha ashindwe kutekeleza majukumu yake katika Bodi; (d) kutohudhuria vikao vitatu mfululizo bila sababu za msingi; au (e) kupoteza iliyomfanya Mwenyekiti au Mjumbe wa Bodi. sifa awe (3) Kuwepo kwa nafasi wazi hakutaathiri uendeshaji wa shughuli za Bodi. Utaratibu wa kujaza nafasi za Bodi zilizo wazi - 4 Verify source ↗
(1) Endapo itatokea nafasi wazi katika Bodi, utaratibu
AI-assisted research summary: If a Board seat becomes vacant, the procedure in paragraph 2 applies, unless the vacancy will not be filled because the Board’s remaining life is less than six months.
4.-(1) Endapo itatokea nafasi wazi katika Bodi, utaratibu ulioainishwa katika aya ya 2 utatumika isipokuwa nafasi wazi haitojazwa ikiwa muda wa uhai wa Bodi ni chini ya miezi sita. (2) Mjumbe aliyeteuliwa kwa mujibu wa aya ya 4 anaweza kuteuliwa tena kwa kipindi kimoja cha miaka mitatu. Uzinduzi wa Bodi - 5 Verify source ↗
Baada ya uteuzi wa Mwenyekiti na wajumbe wa Bodi,
AI-assisted research summary: Baada ya Mwenyekiti na wajumbe wa Bodi kuteuliwa, Mkurugenzi anaweza kuwaalika viongozi fulani wa serikali za mitaa kuizindua Bodi.
5. Baada ya uteuzi wa Mwenyekiti na wajumbe wa Bodi, Mkurugenzi anaweza kumwalika Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya au Mwenyekiti au Meya wa Halmashauri kuizindua Bodi. Kuvunjwa kwa Bodi - 6 Verify source ↗
(1) Endapo Bodi itashindwa kutekeleza majukumu yake
AI-assisted research summary: If the Board fails to carry out its duties, the Council may dissolve it and start forming a new Board within three months.
6.-(1) Endapo Bodi itashindwa kutekeleza majukumu yake kwa sababu yoyote ile, Halmashauri inaweza kuivunja Bodi na kuanzisha taratibu za kuundwa kwa Bodi mpya ndani ya muda wa miezi mitatu. 12 Hati ya Uanzishaji Wa Bodi ya Mfuko Wa Elimu ya Halmashauri Tangazo la Serikali Na.1047 (Linaendelea.) Vikao vya kawaida vya Bodi Vikao vya dharura (2) Endapo Bodi itavunjwa, Mwenyekiti na wajumbe wote watapoteza nafasi zao na hawatachaguliwa tena kuwa wajumbe wa Bodi ya Mfuko wa Elimu. (3) Endapo Bodi itavunjwa, majukumu yake yatatekelezwa na Kamati ya Utendaji. - 7 Verify source ↗
(1) Vikao vya kawaida vya Bodi vitaitishwa na
AI-assisted research summary: The Chairperson must convene the Board’s regular meetings every three months.
7.-(1) Vikao vya kawaida vya Bodi vitaitishwa na Mwenyekiti kila baada ya miezi mitatu. (2) Vikao vya kawaida vya Bodi vitaitishwa kwa taarifa ya maandishi ya siku saba itakayotolewa kwa wajumbe wote. - 8 Verify source ↗
(1) Bila kujali masharti ya aya ya 7, endapo litajitokeza
AI-assisted research summary: Mwenyekiti anaweza kuitisha kikao cha dharura cha Bodi ikiwa suala haliwezi kusubiri kikao cha kawaida; ikiwa Mwenyekiti anakataa baada ya kuombwa, theluthi mbili ya wajumbe wa Bodi wanaweza kuitisha kikao kwa taarifa ya maandishi ya siku tatu.
8.-(1) Bila kujali masharti ya aya ya 7, endapo litajitokeza suala ambalo haliwezi kusubiri kikao cha kawaida cha Bodi, Mwenyekiti anaweza kuitisha kikao cha dharura cha Bodi kwa ajili ya kujadili suala lililojitokeza. (2) Bila kujali masharti aya ndogo ya (1), theluthi mbili ya wajumbe wa Bodi inaweza kuitisha kikao cha Bodi kwa kutoa taarifa ya maandishi ya siku tatu kwa wajumbe wote endapo; (a) kwa maoni ya wajumbe hao kuna suala ambalo haliwezi kusubiri kikao cha kawaida cha Bodi; na (b) kuwa Mwenyekiti amekataa kuitisha kikao cha dharura baada ya kuombwa na wajumbe hao. Uendeshaji wa vikao vya Bodi - 9 Verify source ↗
Vikao vya Bodi vitaongozwa na Mwenyekiti na endapo
AI-assisted research summary: Bodi meetings are chaired by the Chairperson, and if the Chairperson cannot preside for any reason, the members must choose one of their number to chair the meeting.
9. Vikao vya Bodi vitaongozwa na Mwenyekiti na endapo Mwenyekiti, kwa sababu yoyote ile, atashindwa kuendesha kikao, wajumbe watamchagua Mjumbe kutoka miongoni mwao kuongoza kikao. Akidi ya kikao - 10 Verify source ↗
(1) Akidi ya kikao cha kawaida cha Bodi itakuwa ni
AI-assisted research summary: This provision sets the quorum for ordinary and emergency Board meetings and says certain attendees have no voting rights.
10.-(1) Akidi ya kikao cha kawaida cha Bodi itakuwa ni nusu ya wajumbe wote. (2) Akidi ya kikao cha dharura cha Bodi itakuwa ni theluthi mbili ya wajumbe wote. (3) Bila kuathiri aya ndogo ya (1), vikao vya Bodi vitahudhuriwa na: (a) Katibu Tawala wa Wilaya au mwakilishi wake; (b) wajumbe wa Kamati ya Utendaji au wawakilishi wao; na (c) mtu yeyote ambaye kwa maoni ya Mwenyekiti ni muhimu akahudhuria kikao cha Bodi. 13 Hati ya Uanzishaji Wa Bodi ya Mfuko Wa Elimu ya Halmashauri Tangazo la Serikali Na.1047 (Linaendelea.) Uamuzi katika vikao Muhtasari na nyaraka za Bodi (4) Mtu ye yote aliyetajwa katika aya ndogo ya (3) hatakuwa na haki ya kupiga au kupigiwa kura katika vikao vya Bodi. - 11 Verify source ↗
Uamuzi wa suala lolote katika vikao vya Bodi
AI-assisted research summary: Board decisions are made by vote; each member has one vote, and in a tie the chairperson or presiding member gets an extra vote.
11. Uamuzi wa suala lolote katika vikao vya Bodi utafanywa kwa kura na kila Mjumbe atakuwa na kura moja na endapo itatokea kura kufungana, Mwenyekiti au Mjumbe yeyote atakayekuwa anaongoza kikao atakuwa na kura ya ziada. - 12 Verify source ↗
(1) Katibu wa Bodi atakuwa na wajibu wa kuandika
AI-assisted research summary: Katibu wa Bodi lazima aandae muhtasari wa vikao na atunze kumbukumbu na nyaraka za Bodi. Pia, muhtasari na nyaraka fulani za Bodi lazima zisainiwe.
12.-(1) Katibu wa Bodi atakuwa na wajibu wa kuandika muhtasari wa vikao vya Bodi na kutunza kumbukumbu za vikao na nyaraka nyingine za Bodi. (2) Muhtasari wa kikao cha Bodi utathibitishwa katika kikao kinachofuata cha Bodi na utasainiwa na Mwenyekiti na Katibu wa Bodi. (3) Nyaraka za Bodi zitakazotolewa kwa madhumuni yo yote zitasainiwa na Mwenyekiti au Katibu wa Bodi. NAKUBALI, L.S Dodoma SELEMANI S. JAFO 4 Novemba, 2020 WN-OR-TAMISEMI 14
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Hati ya Uanzishaji wa Bodi ya Mfuko wa Elimu ya Halmashauri ya Geita ya mwaka 2020
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in