AI-assisted research summary: Mamlaka husika zimeandaa na kuhifadhi mipango ya jumla na ya kina kwa eneo lililoainishwa kwenye Jedwali.
3. Mipango ya jumla na kina ya eneo lililoainishwa katika Jedwali imeandaliwa na kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipangomiji na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Muheza. _______ JEDWALI _______ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) Eneo la upangaji lipo ndani ya mipaka ifuatavyo- “Mpaka unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P1 yenye majira - nukta 471977.50MS, 9413359.20KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki katika uelekeo wa 96°11'12" kwa umbali wa kilomita 0.54 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P2 yenye majira - nukta 472510.42MS, 9413301.38KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki katika uelekeo wa 101°13'21" kwa umbali wa kilomita 0.64 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P3 yenye majira - nukta 473134.32MS, 9413177.59KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa 81°16'4" kwa umbali wa kilomita 0.22 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P4 1 Amri ya Kupanga Eneo la Kwabada Tangazo la Serikali Na. 280 (linaendelea) yenye majira - nukta 473351.88MS, 9413211.01KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa 75°41'59" kwa umbali wa kilomita 0.25 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P5 yenye majira - nukta 473589.87MS, 9413271.67KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa 65°53'52" kwa umbali wa kilomita 0.14 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P6 yenye majira - nukta 473713.74MS, 9413327.08KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki katika uelekeo wa 68°46'2" kwa umbali wa kilomita 1.32 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P7 yenye majira - nukta 473971.74MS, 9412027.99KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa 201°32'12" kwa umbali wa kilomita 1.43 hadi kwenye alama ya mpaka wa upimaji namba P8 yenye majira - nukta 473446.27MS, 9410696.51KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki katika uelekeo wa 135°59'49" kwa umbali wa kilomita 2.75 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P9 yenye majira - nukta 475359.77MS, 9408718.31KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa 266°17'7" kwa umbali wa kilomita 3.48 hadi kwenye alama ya mpaka wa upimaji namba P10 yenye majira - nukta 471890.37MS, 9408493.05KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa 283°34'14" kwa umbali wa kilomita 0.30 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P11 yenye majira - nukta 471602.64MS, 9408562.51KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa 307°8'48" kwa umbali wa kilomita 0.41 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P12 yenye majira - nukta 471275.22MS, 9408810.55KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa 312°32'45" kwa umbali wa kilomita 0.33 hadi kwenye alama ya mpaka wa upimaji namba P13 yenye majira - nukta 471033.78MS, 9409032.14KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa 325°13'20" kwa umbali wa kilomita 0.43 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P14 yenye majira - nukta 470785.74MS, 9409389.33KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa 342°34'55" kwa umbali wa kilomita 0.53 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P15 yenye majira - nukta 470626.99MS, 9409895.35KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa 77°3'9" kwa umbali wa kilomita 0.54 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P16 yenye majira - nukta 471156.72MS, 9410017.14KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa 39°41'29" kwa umbali wa kilomita 0.68 hadi kwenye alama ya mpaka wa upimaji namba P17 yenye majira - nukta 471590.64MS, 9410539.95KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa 215°41'29" kwa umbali wa kilomita 0.35 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P18 yenye majira - nukta 471459.40MS, 9410863.80KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa 356°21'3" kwa umbali wa kilomita