Amri ya Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Babati (Babati WSSA) ya Kurekebisha Bei za Huduma za Maji Safi na Usafi waMazingira ya Mwaka 2023
This provision names the order as the Babati WSSA amendment on prices for clean water and environmental sanitation services for 2023.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Order
- Citation
- Amri ya Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Babati (Babati WSSA) ya Kurekebisha Bei za Huduma za Maji Safi na Usafi waMazingira ya Mwaka 2023
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Publicly available, excluded from search-engine indexing
This page remains available for direct access and API use, but this release emits
noindex,follow for the following reason:
- The record does not meet this release's canonical indexing criteria.
(market-indexing-disabled)
Statute overview
About this statute
This provision names the order as the Babati WSSA amendment on prices for clean water and environmental sanitation services for 2023. Babati WSSA water and sanitation charges are amended as set out in Tables 1 to 6. Babati WSSA must submit reports and evidence to EWURA, carry out the listed conditions, and keep providing financial and performance information. The 2019 Babati WSSA water and sanitation price order is repealed, and the section includes approved water tariffs and fees for several towns and customer classes. The text lists planned water and sanitation improvement activities for Babati WSSA, including compensation, land purchase, toilets, fencing, lab upgrades, equipment, and digital systems.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Amri ya Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Babati (Babati WSSA) ya Kurekebisha Bei za Huduma za Maji Safi na Usafi waMazingira ya Mwaka 2023
Showing 7 of 7
- 1 Verify source ↗
Amri hii itajulikana kama Amri ya Mamlaka ya
AI-assisted research summary: This provision names the order as the Babati WSSA amendment on prices for clean water and environmental sanitation services for 2023.
1. Amri hii itajulikana kama Amri ya Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Babati (Babati WSSA) ya Kurekebisha Bei za Huduma za Maji Safi na Usafi wa Mazingira ya Mwaka 2023. Marekebisho ya bei - 2 Verify source ↗
Bei za maji safi na usafi wa mazingira za Babati
AI-assisted research summary: Babati WSSA water and sanitation charges are amended as set out in Tables 1 to 6.
2. Bei za maji safi na usafi wa mazingira za Babati WSSA zinarekebishwa kama zilivyoainishwa katika Jedwali la Kwanza hadi la Sita. Masharti - 3 Verify source ↗
Bei zilizoidhinishwa zitakuwa na masharti yafuatayo
AI-assisted research summary: Babati WSSA must submit reports and evidence to EWURA, carry out the listed conditions, and keep providing financial and performance information.
3. Bei zilizoidhinishwa zitakuwa na masharti yafuatayo: (a) mnamo au kabla ya tarehe 30 Juni 2023, Babati WSSA itawasilisha EWURA mpango wake wa biashara uliopitiwa upya kwa kuzingatia bei zilizoidhinishwa na mpango wa utekelezaji wa masharti ya Amri hii; (b) mnamo au kabla ya tarehe 30 Juni 2023, Babati WSSA itawasilisha ushahidi kwa EWURA kuwa imewajulisha wateja wake na kutoa elimu ya kutosha kwa wadau wake wakiwemo wateja, viongozi wa serikali, viongozi wa vyama vya 1 Amri ya Mamlaka ya Maji Safi Na Usafi wa Mazingira Babati (Babati Wssa) ya Kurekebisha Bei za Huduma za Maji Safi Na Usafi wa Mazingira Tangazo la Serikali Na. 337 (Linaendelea) siasa na wawakilishi wa taasisi za dini kuhusu mabadiliko ya bei za huduma zake; (c) Babati WSSA itatekeleza matakwa ya tozo ya udhibiti kwa kuwasilisha tozo zilizokusanywa kwa wakati; (d) Babati WSSA itatekeleza miradi iliyoainishwa katika Jedwali la Saba kwa kutumia mapato yatokanayo na bei zilizoidhinishwa; (e) Babati WSSA itafikia viashiria vya utendaji kama ilivyooneshwa katika Jedwali la Nane; (f) Babati WSSA, kila mwaka na kama sehemu ya taarifa yake ya utendaji ya mwaka, itawasilisha taarifa ya utekelezaji wa masharti yaliyomo kwenye Amri ya Bei na;. (g) Babati WSSA itaendelea kuwasilisha EWURA taarifa zake za fedha na utendaji kwa mujibu wa matakwa ya EWURA. Taarifa hizi zitatumiwa na EWURA katika kufanya tathmini ya utendaji wa Babati WSSA ikilinganishwa na mamlaka nyingine za maji safi na usafi wa mazingira na uboreshaji wa huduma zake. Kufutwa kwa Amri T.S. Na.351 la 2019 - 4 Verify source ↗
Amri ya Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa
AI-assisted research summary: The 2019 Babati WSSA water and sanitation price order is repealed, and the section includes approved water tariffs and fees for several towns and customer classes.
4. Amri ya Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira (Babati WSSA) ya Bei za Huuma za Maji Safi na Usafi wa Mazingira Babati ya mwaka 2019 inafutwa. ____________ MAJEDWALI ____________ ________ JEDWALI LA KWANZA _______ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) _________ BEI NA ADA ZILIZOIDHINISHWA KWA MJI WA BABATI 2 Amri ya Mamlaka ya Maji Safi Na Usafi wa Mazingira Babati (Babati Wssa) ya Kurekebisha Bei za Huduma za Maji Safi Na Usafi wa Mazingira Tangazo la Serikali Na. 337 (Linaendelea) Bei za Maji za Sasa na Zilizoidhinishwa Kundi la Wateja Matumizi (m3) 0-5 6-10 >10 - - - - Majumbani Taasisi Biashara Viwanda Magati Shule za Msingi na Sekondari Bei ya Sasa 2021/22 1,560 Bei Zilizoidhinishwa 2022/23 1,800 2023/24 1,820 2024/25 1,850 1,650 1,770 2,300 2,400 2,500 865 2,300 2,370 2,470 2,520 1,500 1,500 2,370 2,470 2,520 1,500 1,500 2,400 2,500 2,550 1,500 1,500 Ada za Sasa na Zilizoidhinishwa kwa Maunganisho Mapya ya Maji Kundi la Wateja Majumbani Taasisi Biashara Viwanda Ada ya Sasa 2021/22 Asilimia 20 ya Gharama za Maunganisho kama ilivyoainishwa kwenye kanuni ya 26 ya Kanuni za Maji za Mwaka 2019 Ada Iliyoidhinshwa 2023/24 26,000 2024/25 26,000 2022/23 26,000 26,000 26,000 26,000 26,000 26,000 26,000 26,000 26,000 26,000 Ada za Sasa na Zilizoidhinishwa za Kurejeshewa Huduma ya Maji Kundi la Wateja Majumbani Taasisi Biashara Viwanda Ada ya Sasa 2021/22 15,000 15,000 15,000 15,000 2022/23 15,000 25,000 25,000 25,000 _______ Ada Iliyoidhinshwa 2023/24 15,000 25,000 25,000 25,000 2024/25 15,000 25,000 25,000 25,000 JEDWALI LA PILI ________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) ________ BEI NA ADA ZILIZOIDHINISHWA KWA MJI WA DAREDA Bei za Maji za Sasa na Zilizoidhinishwa Kundi la Wateja Bei ya Sasa Majumbani 2021/22 1,200 2022/23 1,350 Bei Zilizoidhinishwa 2023/24 1,370 2024/25 1,400 3 Amri ya Mamlaka ya Maji Safi Na Usafi wa Mazingira Babati (Babati Wssa) ya Kurekebisha Bei za Huduma za Maji Safi Na Usafi wa Mazingira Tangazo la Serikali Na. 337 (Linaendelea) Taasisi Biashara Viwanda Magati Shule za Msingi na Sekondari 1,200 1,200 - 1,200 1,200 1,420 1,470 1,520 1,250 1,250 1,420 1,470 1,520 1,250 1,250 1,450 1,500 1,550 1,250 1,250 Kundi la Wateja Ada za Sasa na Zilizoidhinishwa kwa Maunganisho Mapya ya Maji Ada Iliyoidhinshwa 2023/24 26,000 26,000 26,000 26,000 Ada ya Sasa 2021/22 Asilimia 20 ya Gharama za Maunganisho kama ilivyoainishwa kwenye kanuni ya 26 ya Kanuni za Maji za Mwaka 2019 2022/23 26,000 26,000 26,000 26,000 2024/25 26,000 26,000 26,000 26,000 Majumbani Taasisi Biashara Viwanda Ada za Sasa na Zilizoidhinishwa za Kurejeshewa Huduma ya Maji Kundi la Wateja Majumbani Taasisi Biashara Viwanda Ada ya Sasa 2021/22 15,000 15,000 15,000 15,000 2022/23 15,000 25,000 25,000 25,000 Ada Iliyoidhinshwa 2023/24 15,000 25,000 25,000 25,000 2024/25 15,000 25,000 25,000 25,000 _______ JEDWALI LA TATU _______ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) ________ BEI NA ADA ZILIZOIDHINISHWA KWA MJI WA BASHNET Bei za Maji za Sasa na Zilizoidhinishwa Kundi la Wateja Majumbani Taasisi Biashara Viwanda Magati Shule za Msingi na Bei ya Sasa 2021/22 1,000 1,000 1,000 - 1,000 1,000 Bei Zilizoidhinishwa 2023/24 1,370 1,420 1,470 1,520 1,250 1,250 2022/23 1,350 1,420 1,470 1,520 1,250 1,250 4 2024/25 1,400 1,450 1,500 1,550 1,250 1,250 Amri ya Mamlaka ya Maji Safi Na Usafi wa Mazingira Babati (Babati Wssa) ya Kurekebisha Bei za Huduma za Maji Safi Na Usafi wa Mazingira Tangazo la Serikali Na. 337 (Linaendelea) Sekondari Kundi la Wateja Ada za Sasa na Zilizoidhinishwa kwa Maunganisho Mapya ya Maji Ada Iliyoidhinshwa 2023/24 26,000 26,000 26,000 26,000 Ada ya Sasa 2021/22 Asilimia 20 ya Gharama za Maunganisho kama ilivyoainishwa kwenye kanuni ya 26 ya Kanuni za Maji za Mwaka 2019 2022/23 26,000 26,000 26,000 26,000 2024/25 26,000 26,000 26,000 26,000 Majumbani Taasisi Biashara Viwanda Ada za Sasa na Zilizoidhinishwa za Kurejeshewa Huduma ya Maji Kundi la Wateja Majumbani Taasisi Biashara Viwanda Ada ya Sasa 2021/22 15,000 15,000 15,000 15,000 2022/23 15,000 25,000 25,000 25,000 Ada Iliyoidhinshwa 2023/24 15,000 25,000 25,000 25,000 2024/25 15,000 25,000 25,000 25,000 ________ JEDWALI LA NNE ________ (Limetengenezwa chini ya aya ya2) ________ BEI NA ADA ZILIZOIDHINISHWA KWA MJI WA KATESH Bei za Maji za Sasa na Zilizoidhinishwa Kundi la Wateja Bei ya Sasa Majumbani Taasisi Biashara Viwanda Magati Shule za Msingi na Sekondari 2021/22 800 1,000 1,200 1,400 1,000 1,000 2022/23 1,350 1,420 1,470 1,520 1,250 1,250 Bei Zilizoidhinishwa 2023/24 1,370 1,420 1,470 1,520 1,250 1,250 2024/25 1,400 1,450 1,500 1,550 1,250 1,250 Kundi la Wateja Ada za Sasa na Zilizoidhinishwa kwa Maunganisho Mapya ya Maji Ada Iliyoidhinshwa 2023/24 26,000 26,000 Ada ya Sasa 2021/22 Asilimia 20 ya Gharama za Maunganisho kama 2022/23 26,000 26,000 2024/25 26,000 26,000 Majumbani Taasisi 5 Amri ya Mamlaka ya Maji Safi Na Usafi wa Mazingira Babati (Babati Wssa) ya Kurekebisha Bei za Huduma za Maji Safi Na Usafi wa Mazingira Tangazo la Serikali Na. 337 (Linaendelea) Kundi la Wateja Biashara Viwanda Ada ya Sasa 2021/22 ilivyoainishwa kwenye kanuni ya 26 ya Kanuni za Maji za Mwaka 2019 Ada Iliyoidhinshwa 2023/24 26,000 26,000 2024/25 26,000 26,000 2022/23 26,000 26,000 Ada za Sasa na Zilizoidhinishwa za Kurejeshewa Huduma ya Maji Kundi la Wateja Majumbani Taasisi Biashara Viwanda Ada ya Sasa 2021/22 15,000 15,000 15,000 15,000 2022/23 15,000 25,000 25,000 25,000 Ada Iliyoidhinshwa 2023/24 15,000 25,000 25,000 25,000 2024/25 15,000 25,000 25,000 25,000 ___________ JEDWALI LA TANO ___________ (limetengenezwa chini ya aya ya 2) ___________ BEI NA ADA ZILIZOIDHINISHWA KWA MJI WA MAGUGU Bei za Maji za Sasa na Zilizoidhinishwa Kundi la Wateja Bei ya Sasa Majumbani Taasisi Biashara Viwanda Magati Shule za Msingi na Sekondari 2021/22 540 550 560 570 500 550 2022/23 1,350 1,420 1,470 1,520 1,250 1,250 Bei Zilizoidhinishwa 2023/24 1,370 1,420 1,470 1,520 1,250 1,250 2024/25 1,400 1,450 1,500 1,550 1,250 1,250 Kundi la Wateja Ada za Sasa na Zilizoidhinishwa kwa Maunganisho Mapya ya Maji Ada Iliyoidhinshwa 2023/24 26,000 26,000 26,000 26,000 Ada ya Sasa 2021/22 Asilimia 20 ya Gharama za Maunganisho kama ilivyoainishwa kwenye kanuni ya 26 ya Kanuni za Maji za Mwaka 2019 2022/23 26,000 26,000 26,000 26,000 2024/25 26,000 26,000 26,000 26,000 Majumbani Taasisi Biashara Viwanda Ada za Sasa na Zilizoidhinishwa za Kurejeshewa Huduma ya Maji 6 Amri ya Mamlaka ya Maji Safi Na Usafi wa Mazingira Babati (Babati Wssa) ya Kurekebisha Bei za Huduma za Maji Safi Na Usafi wa Mazingira Tangazo la Serikali Na. 337 (Linaendelea) Kundi la Wateja Majumbani Taasisi Biashara Viwanda Ada ya Sasa 2021/22 15,000 15,000 15,000 15,000 2022/23 15,000 25,000 25,000 25,000 Ada Iliyoidhinshwa 2023/24 15,000 25,000 25,000 25,000 2024/25 15,000 25,000 25,000 25,000 _______ JEDWALI LA SITA _______ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) BEI NA ADA ZILIZOIDHINISHWA KWA MJI WA GALLAPO Bei za Maji za Sasa na Zilizoidhinishwa Kundi la Wateja Majumbani Taasisi Biashara Viwanda Magati Shule za Msingi na Sekondari Bei ya Sasa 2021/22 300 335 390 - 500 335 2022/23 1,000 1,200 1,200 1,200 1,000 1,000 Bei Zilizoidhinishwa 2023/24 1,020 1,220 1,220 1,220 1,000 1,000 2024/25 1,250 1,300 1,300 1,300 1,250 1,250 Ada za Sasa na Zilizoidhinishwa kwa Maunganisho Mapya ya Maji Ada ya Sasa 2021/22 Asilimia 20 ya Gharama za Maunganisho kama ilivyoainishwa kwenye kanuni ya 26 ya Kanuni za Maji za Mwaka 2019 Kundi la Wateja Majumbani Taasisi Biashara Viwanda Ada Iliyoidhinshwa 2023/24 26,000 2024/25 26,000 2022/23 26,000 26,000 26,000 26,000 26,000 26,000 26,000 26,000 26,000 26,000 Ada za Sasa na Zilizoidhinishwa za Kurejeshewa Huduma ya Maji Kundi la Wateja Majumbani Ada ya Sasa 2021/22 15,000 2022/23 15,000 Ada Iliyoidhinshwa 2023/24 15,000 2024/25 15,000 7 Amri ya Mamlaka ya Maji Safi Na Usafi wa Mazingira Babati (Babati Wssa) ya Kurekebisha Bei za Huduma za Maji Safi Na Usafi wa Mazingira Tangazo la Serikali Na. 337 (Linaendelea) Kundi la Wateja Taasisi Biashara Viwanda Ada ya Sasa 2021/22 15,000 15,000 15,000 2022/23 25,000 25,000 25,000 Ada Iliyoidhinshwa 2023/24 25,000 25,000 25,000 2024/25 25,000 25,000 25,000 _______ JEDWALI LA SABA _______ (Limetengenezwa chini ya aya ya 3(d)) MIRADI ITAKAYOTEKELEZWA Shuguli Zitakazofanyika Kununua pampu mbili za maji kila mwaka Kukarabati mambomba makubwa kwa kilometa 10 na mabomba madogo kwa kilometa 35 ifikapo Juni 2025 Kununua na kufunga dira za maji 3,500 kwa ajili ya wateja wapya. (Dira 1,750 kila mwaka) Kununua samani za ofisi Kufanya uhakiki uhakiki wa wateja wa huduma za maji kila mwaka Kuimarisha mfumo wa upokeaji wa taarifa ikiwa ni Pamoja na kuanzisha kituo cha miito Kununua dira kubwa za maji 20 kwa ajili ya vyanzo vya maji visivyo na dira kwa sasa Kununua dira kubwa 12 kwa ajili ya kubadilisha zile zilizokwisha muda wake Kununua pikipiki 18 kwa ajili ya mafundi Kukarabati mabomba ya wateja 3000 ifikapo Juni 2025 Kukarabati Matangi matatu (moja kila mwaka) Kununua pikipiki 18 kwa ajili ya Kiasi (Shilingi Milioni) 2022/23 2023/24 2024/25
Part
JEDWALI LA SABA
- 20
AI-assisted research summary: The text lists planned water and sanitation improvement activities for Babati WSSA, including compensation, land purchase, toilets, fencing, lab upgrades, equipment, and digital systems.
20.90 Amri ya Mamlaka ya Maji Safi Na Usafi wa Mazingira Babati (Babati Wssa) ya Kurekebisha Bei za Huduma za Maji Safi Na Usafi wa Mazingira Tangazo la Serikali Na. 337 (Linaendelea) Shuguli Zitakazofanyika maafisa mauzo( 6 kila mwaka) Kulipa fidia kwa watu wanauzunguka vyanzo vya maji ili kuwaondoa Kununua ardhi na kupata hati kwa ajili ya vyanzo vya maji maeneo ya matangi Kujenga vyoo nane kwenye maeneo ya pampu na machujio ya Bagara Ziwani, Maisaka, Nangara, Kiongozi Bonga, Darakuta, Mrara na Dudie Kujenga uzio maeneo ya Mutuka, Wang'waray, Balowa, Darakuta, Singu, Gallapo, Donya-Bashnet na Dareda Kuimarisha maabara ya kupima ubora wa maji kwa kukua vifaa muhimu Kujenga miundombinu ya kuwekea dawa ya klorini na kuimarisha iliyopo kwenye matangi na machujio yote Kununua kompyuta 15, printa 5 na mashine kubwa ya kuotela nakala Kununua vifaa vya kazi na usalama kwa ajili ya wafanyakazi Kununua na kufunga mfumo wa kidijitali wa mikutano (Video Conferencing System) Kununua mfumo wa Govenet Network ili kuwezesha shughuli za serikali mtandao Kununua samani kwa ajili ya ofisi katika maeneo mapya ya Magugu, Gallapo, Katesh, Bashnet na Dareda Kuimarisha mfumo wa GIS kwa kununua vifaa vya mtandao na kuchorea ramani Kiasi (Shilingi Milioni) 2022/23 2023/24 2024/25 - 31
AI-assisted research summary: Hii sehemu inaorodhesha matumizi ya kununua na kubadilisha samani za ofisi pamoja na kununua printer, fotokopi na skana kwa ofisi mbalimbali.
31.20 9 Amri ya Mamlaka ya Maji Safi Na Usafi wa Mazingira Babati (Babati Wssa) ya Kurekebisha Bei za Huduma za Maji Safi Na Usafi wa Mazingira Tangazo la Serikali Na. 337 (Linaendelea) Shuguli Zitakazofanyika Kununua samani za ofisi kwa ajili ofisi mpya na kubadilisha samani zilizokwisha muda wake kwenye ofisi ya makao makuu Kununua printa, mashine ya fotokopi na skana kwa ajili ya ofisi za Katesh, Dareda, Gallapo, Bashnet na Magugu Jumla Kiasi (Shilingi Milioni) 2022/23 2023/24 2024/25 - 9
AI-assisted research summary: The table shows performance indicators and targets for water services for 2022/23 to 2024/25.
9.49 350 1,471.53 1,484.75 ________ JEDWALI LA NANE ________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 3(e)) __________ VIASHIRIA VYA UTENDAJI Maelezo Kizio Lengo la Utendaji 2022/23 2023/24 2024/25 Maunganisho Mapya ya Majisafi No. 1,750 1,750 1,750 Upotevu wa Maji Kiwango cha Kufunga Dira za Maji kwa Wateja Ufanisi katika Ukusanyaji wa Mapato Masaa ya Wastani ya Huduma % % % No. 23 22 19 100 100 100 97 19 98 20 98 20 Dodoma, 25th April, 2023 JAMES A. MWAINYEKULE Mkurugenzi Mkuu 10
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Amri ya Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Babati (Babati WSSA) ya Kurekebisha Bei za Huduma za Maji Safi na Usafi waMazingira ya Mwaka 2023
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in