Amri ya Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Arusha (Arusha WSSA) ya Kurekebisha
This provision names the order as the Arusha WSSA amendment to water and sanitation service prices for 2023.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Order
- Citation
- Amri ya Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Arusha (Arusha WSSA) ya Kurekebisha
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Publicly available, excluded from search-engine indexing
This page remains available for direct access and API use, but this release emits
noindex,follow for the following reason:
- The record does not meet this release's canonical indexing criteria.
(market-indexing-disabled)
Statute overview
About this statute
This provision names the order as the Arusha WSSA amendment to water and sanitation service prices for 2023. The Arusha water and sanitation entities in WSSA are amended as set out in the First Schedule. Arusha WSSA must meet several conditions, including submitting revised documents and evidence to EWURA by 30 June 2023 and then continuing regular reporting and compliance actions. This section repeals the 2018 Arusha WSSA water and sanitation tariff order. The text refers to a water infrastructure project, including distances between locations and a new tank expected by June 2025.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Amri ya Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Arusha (Arusha WSSA) ya Kurekebisha
Showing 7 of 7
- 1 Verify source ↗
Amri hii itajulikana kama Amri ya Mamlaka ya
AI-assisted research summary: This provision names the order as the Arusha WSSA amendment to water and sanitation service prices for 2023.
1. Amri hii itajulikana kama Amri ya Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Arusha (Arusha WSSA) ya Kurekebisha Bei za Huduma za Maji Safi na Usafi wa Mazingira ya Mwaka 2023. Marekebisho ya bei - 2 Verify source ↗
Bei za maji safi na usafi wa mazingira za Arusha
AI-assisted research summary: The Arusha water and sanitation entities in WSSA are amended as set out in the First Schedule.
2. Bei za maji safi na usafi wa mazingira za Arusha katika WSSA zinarekebishwa kama zilivyoainishwa Jedwali la Kwanza. Masharti
Part
Jedwali la Kwanza.
- 3 Verify source ↗
Bei zilizoidhinishwa zitakuwa na masharti
AI-assisted research summary: Arusha WSSA must meet several conditions, including submitting revised documents and evidence to EWURA by 30 June 2023 and then continuing regular reporting and compliance actions.
3. Bei zilizoidhinishwa zitakuwa na masharti yafuatayo: (a) mnamo au kabla ya tarehe 30 Juni 2023 Arusha WSSA itawasilisha EWURA mpango wake wa biashara uliopitiwa upya kwa kuzingatia bei zilizoidhinishwa na mpango wa utekelezaji wa masharti ya Amri hii; (b) mnamo au kabla ya tarehe 30 Juni 2023 Arusha WSSA itawasilisha EWURA mkataba wa huduma kwa mteja uliopitiwa upya kwa kuzingatia bei zilizoidhinishwa na viwango vya huduma vilivyooneshwa kwenye Mpango wa 1 Amri ya Mamlaka ya Maji Safi Na Usafi wa Mazingira Arusha (Arusha Wssa) ya Kurekebisha Bei za Huduma za Maji Safi Na Usafi wa Mazingira Tangazo La Serikali Na.338 (Linaendelea) Biashara. (c) mnamo au kabla ya tarehe 30 Juni 2023 Arusha WSSA itawasilisha ushahidi kwa EWURA kuwa imewajulisha wateja wake na kutoa elimu ya kutosha kwa wadau wake kama vile wateja, viongozi wa serikali, viongozi wa vyama vya siasa, wawakilishi wa taasisi za dini kuhusu mabadiliko ya bei za huduma; (d) Arusha WSSA itatekeleza matakwa ya tozo ya udhibiti kwa kuwasilisha tozo zilizokusanywa kwa wakati; (e) Arusha WSSA, kwa kutumia mapato yatokanayo itatekeleza miradi na bei zilizoidhinishwa, iliyoainishwa katika Jedwali la Pili. (f) Arusha WSSA itafikia viashiria vya utendaji kama vilivyoainishwa katika Jedwali la Tatu; (g) Arusha WSSA, kila mwaka na kama sehemu ya taarifa yake ya utendaji ya mwaka, itawasilisha taarifa ya utekelezaji wa masharti yaliyopo kwenye Amri ya Bei; na (h) Arusha WSSA itaendelea kuwasilisha EWURA taarifa zake za fedha na utendaji kwa mujibu wa matakwa ya EWURA. Taarifa hizi zitatumiwa na EWURA katika kufanya tathmini ya utendaji wa Arusha WSSA ikilinganishwa na mamlaka nyingine za maji safi na usafi wa mazingira na uboreshaji wa huduma zake. Kufutwa kwa Amri T.S. Na. 799 la 2018 - 4 Verify source ↗
Amri ya Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa
AI-assisted research summary: This section repeals the 2018 Arusha WSSA water and sanitation tariff order.
4. Amri ya Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira (Arusha WSSA) ya Bei za Huduma za Maji Safi na Usafi wa Mazingira ya mwaka 2018 inafutwa. _______ MAJEDWALI _______ 2 Amri ya Mamlaka ya Maji Safi Na Usafi wa Mazingira Arusha (Arusha Wssa) ya Kurekebisha Bei za Huduma za Maji Safi Na Usafi wa Mazingira Tangazo La Serikali Na.338 (Linaendelea) _______ JEDWALI LA KWANZA _______ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) ___________ BEI, ADA NA TOZO ZILIZOIDHINISHWA Bei za Maji za Sasa na Zilizoidhinishwa (Shilingi kwa Mita ya Ujazo) Kundi la Wateja Bei ya Sasa Bei Zilizoidhinishwa 2022/23 na 2023/24 2024/25 Majumbani 0 to 5 >5 <15 >15 Wastani wa bei ya Majumbani Taasisi Biashara Viwanda Viwanda vya vinywaji Wastani wa bei ya Viwanda Magati Wastani wa bei 1,330 1,550 1,810 1,528 1,510 1,930 2,560 15,300 4,104 1,000 1,759 1,840 1,850 1,820 2,300 3,080 1,000 2,122 1,830 2,340 3,100 1,000 2,126 Bei za Majitaka za Sasa na Zilizoidhinishwa (Shilingi kwa Mita ya Ujazo wa Majisafi) Kundi la Wateja Bei ya Sasa Bei Zilizoidhinishwa 2022/23 na 2023/24 2024/25 Majumbani Taasisi Biashara Viwanda 375 510 750 870 490 765 860 1,070 3 500 780 860 1,070 Amri ya Mamlaka ya Maji Safi Na Usafi wa Mazingira Arusha (Arusha Wssa) ya Kurekebisha Bei za Huduma za Maji Safi Na Usafi wa Mazingira Tangazo La Serikali Na.338 (Linaendelea) Bei za Maunganisho Mapya za Sasa na Zilizoidhinishwa (Shilingi kwa Maunganisho Mapya) Kundi la Wateja Majumbani Taasisi Biashara Viwanda Bei ya Sasa 15,000 19,000 20,000 26,000 Bei Zilizoidhinishwa 2022/23 na 2023/24 2024/25 15,000 19,000 20,000 26,000 15,000 19,000 20,000 26,000 Bei za Boza za Sasa na Zilizoidhinishwa (Shilingi kwa Maunganisho Mapya) Kundi la Wateja Bei ya Sasa Bei Zilizoidhinishwa 2022/23 na 2023/24 2024/25 TZS/Tripu Arusha City & Ngaramtoni Ujazo wa Maji (10M3) 112,360 112,360 Ujazo wa Maji (5M3) 89,900 89,900 Longido Town Ujazo wa Maji (10M3) Ujazo wa Maji (5M3) Usa River Town Ujazo wa Maji (10M3) Ujazo wa Maji (5M3) Monduli Town Ujazo wa Maji (10M3) Ujazo wa Maji (5M3) 112,360 89,900 112,360 89,900 112,360 89,900 112,360 89,900 112,360 89,900 112,360 89,900 112,360 89,900 Bei za Kuondoa Majitaka za Sasa na Zilizoidhinishwa (Shilingi kwa kila tripu) Kundi la Wateja Bei ya Sasa Bei Zilizoidhinishwa 2022/23 na 2023/24 2024/25 4 Amri ya Mamlaka ya Maji Safi Na Usafi wa Mazingira Arusha (Arusha Wssa) ya Kurekebisha Bei za Huduma za Maji Safi Na Usafi wa Mazingira Tangazo La Serikali Na.338 (Linaendelea) Arusha City & Ngaramtoni 89,900 73,000 Ujazo wa Gari (10M3) Ujazo wa Gari (5M3) Longido Town Ujazo wa Gari (10M3) Ujazo wa Gari (5M3) Usa River Town Ujazo wa Gari (10M3) Ujazo wa Gari (5M3) Monduli Town Ujazo wa Gari (10M3) Ujazo wa Gari (5M3) 89,900 73,000 89,900 73,000 89,900 73,000 89,900 73,000 89,900 73,000 89,900 73,000 89,900 73,000 89,900 73,000 Bei za Sasa na Zilizoidhinishwa (Shilingi kwa kila tripu) za Kutupa Majitaka katika Mabwawa Maalumu ya Kutibu majitaka Kundi la Wateja Bei ya Sasa Bei (TZS) 9,186 Bei Zilizoidhinishwa 2022/23 na 2023/24 9,186 2024/25 9,186 Ada za Sasa na Zilizoidhinishwa kwa Maunganisho Mapya ya Maji (Shilingi kwa Maunganisho) Kundi la Wateja Bei ya Sasa Maunganisho Mapya ya Majitaka Maunganisho Mapya ya Majitaka Asilimia 20 ya Gharama za Maunganisho Asilimia 20 ya Gharama za Maunganisho _________ Bei Zilizoidhinishwa 2022/23 na 2023/24 2024/25 26,000 26,000 26,000 26,000 JEDWALI LA PILI _________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 3(e)) 5 Amri ya Mamlaka ya Maji Safi Na Usafi wa Mazingira Arusha (Arusha Wssa) ya Kurekebisha Bei za Huduma za Maji Safi Na Usafi wa Mazingira Tangazo La Serikali Na.338 (Linaendelea) _________MIRADI ITAKAYOTEKELEZWA (KIASI SHILINGI MILIONI) 2024/2 Na. Maelezo ya Miladi itakayofanyika 5 - 2023/24 2022/23 107 1 - 2 3 4 5 6 7 8 9 vya (Tenki (2022/23), (2023/24), Ngaramtoni lenye mita Ujenzi wa vyanzo viwili vya maji maeneo ya Benett na Lengine Juu-Monduli katika Mlima Longido ifikapo Juni 2023 Kukarabati vyanzo vya maji (chanzo cha Lolomsikio kilichopo Monduli (2024/25), Ngaresero (2023/24), Nurangima-Usa River Saiteru (2024/25), Kiranyi (2024/25), Sekei -Ngaramtoni (2023/24), na visima (2022/23) vinavyohudumia Monduli) ifikapo Juni 2025 Kukarabati matenki ya maji la Hospitali la ukubwa wa mita za ujazo 90m lililopo Mlima Meru (2022/23), DikDik2- 100m3 Magadirisho-90m3 (2024/25), engikareti 45m3 (2023/24) na ujenzi wa uzio kwa matenki mawili (45m3,50m3) yaliyopo Longido Mlimani (2023/24-2024/25)) ifikapo Juni 2025 Ujenzi wa uzio (katika chanzo cha maji cha Kiranyi (2023/2024), ujenzi wa uzio katika chanzo cha maji cha Sekei (2022/2023), Ngaramton, ujenzi wa uzio katika tenki la Engikareti 45 (2022/2023), ujenzi wa uzio Mto Simba (2923/2024) na ujenzi wa uzio kwenye tenki la Mlima Longido (2023/24) ) ifikapo Juni 2025 Kuamisha mabomba ya maji yaliopita katika makazi ( inchi 3 kwa 1.7km kutoka katika chanzo cha maji cha Kiranyi (2023/24) na inchi 8 mabomba ya UPvC kwa 700m eneo la Longido (2022/23) ifikapo mwezi Juni 2023 Kufunga dira kubwa 33 kwenye vyanzo vyote vya maji na matanki ya kuhifadhia maji (dira 5 maeneo ya arusha (2024/25)), dira 3 maeneo ya Usa River (2022/23), dira 15 maeneo ya Ngaramtoni (2023/24-5& 2024/25 na dira 10 eneo la Monduli ifikapo Juni 2025 Kujenga matenki mapya 5 kwenye vituo vya kusukuma maji na vituo vya kusukuma mjai katika maeneo ya Kmandolu, Kiranyi, Kijenge, Moivo na Sanawari ifikapo Juni 2025 Kufanya utafiti wa ujenzi wa bwawa maeneo ya Weruweru ifikapo Juni 2025 Kubadilisha pampu 5 za kutibia maji kila mwaka, tatu (3) maeneo ya Oligilai, mbili (2) maeneo ya Sekei na bomba kumi (10) za ujazo za 6 121 121 121 15 15 9 10 25 - 41 120 - 10 10 10 - - 1,152 - 27 - 1,000 27 27 Amri ya Mamlaka ya Maji Safi Na Usafi wa Mazingira Arusha (Arusha Wssa) ya Kurekebisha Bei za Huduma za Maji Safi Na Usafi wa Mazingira Tangazo La Serikali Na.338 (Linaendelea) Na. Maelezo ya Miladi itakayofanyika 2022/23 2023/24 2024/2 5 kutibia maji katika maeneo ya Midawe, Moshono, Loruvani, Ngarendolu, Kilimani, Tembo club, Burka na kwenye maeneo ya Olosiva ifikapo Juni 2025 10 Kuendesha zoezi la usafishaji wa visima, kamera na kubadilisha pampu 10 maeneo ya Oltulelei, Iikiurei, Loruvani No 4, Old Sanawari, Kiranyi 1, Kata ya Loruvan, Sombetini, LongIdo, Ngusero na visima vya Misouri ifikapo Juni 2025 kwenye 11 Ujenzi wa miundombinu ya maji 10.69km ya bomba kuu (3.5km kutoka chanzo cha la Kolomonike mpaka Mashariki Mlimani - Monduli, kilomita 3.5 kutoka Kolomonike2 mpaka tanki la Lengine juu na kilomita 2.5 kutoka chanzo cha Olarash mpaka tanki la kijiji cha Olarash. Kilomita la
Part
JEDWALI LA PILI
- 1 Verify source ↗
054 kutoka Ngaresero mpaka
AI-assisted research summary: The text refers to a water infrastructure project, including distances between locations and a new tank expected by June 2025.
1.054 kutoka Ngaresero mpaka Dikdik, mita 136 kutoka Nurangina mpaka tanki jipya la USA-River) ifikapo Juni 2025 tenki tanki 12 Ujenzi wa miundombinu ya maji kilomita - 453 Verify source ↗
829 kwa ukubwa wa inchi moja na nusu
AI-assisted research summary: Hii ni dondoo ya maandishi yenye takwimu na maeneo, lakini haionyeshi kanuni au wajibu ulio wazi.
453.829 kwa ukubwa wa inchi moja na nusu hadi 6 (kilomita 200 maeneo ya Arusha, kilomita 30.561 maeneo ya Ngaramtoni, kilomita 73.268 maeneo ya Usa-River, kilomita 55 maeneo ya Longido, kilomita 95 maeneo ya Monduli) (wastani wa kilomita - 90 Verify source ↗
7658 kwa kila mwaka) ifikapo Juni 2025
AI-assisted research summary: Hii ni orodha ya miradi na viashiria vya utendaji vya AUWSA, ikijumuisha miundombinu ya maji safi na maji taka, maunganisho mapya, na malengo ya huduma hadi Juni 2025.
90.7658 kwa kila mwaka) ifikapo Juni 2025 13 Ujenzi wa bomba kubwa la maji lenye urefu wa kilomita 30 kutoka kwenye tenki la Ngorubob mpaka Monduli ifikapo Juni 2024 14 Kujenga matanki ya maji na miundombinu ya kutibia maji. Matenki matatu maeneo ya Monduli, ujenzi wa tenki la maji lenye ujazo wa mita 500 maeneo ya mashariki mlimani, ujenzi wa tenki lenye ujazo wa mita 500 Mlimani magharibi na ujenzi wa tenki la maji lenye ujazo mita 300 eneo la Lengine juu. Ujenzi wa tank la maji lenye ujazo wa mita 1000 na 500 maeneo ya Nurangima 1000 na Sekei ifikapo Juni 2025 117 117 117 - 37 75 1,652 665 614 - - 478 795 - - 15 Kuunganisha wateja wapya 41,978 ( wateja 1,539 1,539 1,539 13,933 kwa kila mwaka) ifikapo Juni 2025 16 Kufanya uchunguzi na usanifu kwa ajili ya ujenzi wa mtandao wa majitaka katika eneo la Kisongo ifikapo Juni 2025 17 Ununuzi wa ardhi kwa ajili ya kujenga miundombinu ya maji taka katika maeneo ya Monduli, Longido na Usa-River ( ekari moja 7 - - - - 103 900 Amri ya Mamlaka ya Maji Safi Na Usafi wa Mazingira Arusha (Arusha Wssa) ya Kurekebisha Bei za Huduma za Maji Safi Na Usafi wa Mazingira Tangazo La Serikali Na.338 (Linaendelea) Na. Maelezo ya Miladi itakayofanyika 2022/23 2023/24 2024/2 5 kwa kila eneo) ifikapo Juni 2025 18 Kufanya uchunguzi na usanifu kwa ajili ya ujenzi wa mtandao wa maji taka katika maeneo ya Monduli, Longido na Usa-River ifikapo mwezi wa sita 2025 19 Kujenga mtandao mpya wa maji taka wenye urefu wa kilomita 30 ( 10km kwa kila mwaka) ifikapo Juni 2025 20 Ukarabati mfumo wa maji taka wenye urefu wa kilomita 100 ( ukubwa wa inchi 8 na 6 maeneo ya Unga Ltd, Daraja II na Mjini kati) kila mwaka 21 Kufanya utafiti wa majaribio juu ya mfumo wa kielotroniki kwenye miundombinu ya maji taka ifikapo Juni 2023 22 Kufunga mfumo wa kidigitali wa kuongoza magri ya kubebea maji ( boza) ifikapo Juni 2024 23 Kujenga chemba 17 za valvu na kubalisha chemba 12 kila mwaka 24 Kubadilisha mita 60,000 za wateja. 25 Kukarabati mabomba ya maji yaliyochakaa yenye urefu wa kilomita 160 katika maeneo ya Ngarenaro, Sakina, Engutoto, Daraja II, Lemara, Engosharaton, Sinoni, Unga Ltd, Osunyai na Sombetini. mtando mabomba yaliyoingiliana yenye urefu wa kilomita 30 katika maeneo ya Ungalimited, Olmatejoo, Uswahilini, Baraa na Moshono kila mwaka. 26 Kuondoa wa 27 Kubadilisha mabomba ya kuwaunganisha wateja yenye kipenyo cha inchi 3/4 hadi 1 zenye urefu wa kilomita 70.14 kila mwaka (Arusha 54km, 6km Ngaramtoni, 2.14 Longido, 6km Monduli, 2km Usa-River) ifikapo Juni , 2025 28 Kuanzisha na kusimamia uendeshaji wa kanda za mfumo wa maji (DMAs) katika jiji la Arusha kwa kufunga mita kubwa 5 kila mwaka 29 Kuanzisha mifumo ya kikanda ya maji (DMAs) kwenye kanda ( 8 maeneo ya Monduli, 4 maeneo ya Longido, 13 Maeneo ya Ngaramton na 4 maeneo ya Usa River) ifikapo Juni 2023 30 Kuanzisha mfumo wa usimamizi uhusiano wa wateja ifikapo Juni 2023 31 Kufanya utafiti wa majaribio ( utoaji wa 8 - - 158 1,023 1,023 1,023 46 46 46 15 - - 4 - - 10 11 11 1,100 605 2,750 1,816 2,750 2,421 - 516 258 204 204 204 - 9 12 - 10 - 7 4 6 - 7 - Amri ya Mamlaka ya Maji Safi Na Usafi wa Mazingira Arusha (Arusha Wssa) ya Kurekebisha Bei za Huduma za Maji Safi Na Usafi wa Mazingira Tangazo La Serikali Na.338 (Linaendelea) Na. Maelezo ya Miladi itakayofanyika 2022/23 2023/24 ankara wa papo kwa hapo) kwenye ofisi mbili za kanda ifikapo Juni 2024 32 Kufanya utafiti wa majaribio ya usomaji wa dira za kidigitali kwenye ofisi mbili za kanda ifikapo Juni 2024 33 Kufanya utafit wa majaribio juu ya mfumo wa usimamizi wa usomaji wa dira za maji kidigitali katika ofisi mbili za kanda ifikapo Juni 2025 34 Kufunga mita 200 za malipo kabla ya kupata huduma ya maji kila mwaka 35 Ununuzi wa komputa 36 and vifaa vyake ( komputa 12 kila mwaka ) kwenye ofisi za kanda ifikapo Juni 2025 36 Ununuzi wa vichapishaji 9 na vifaa ( vichapishaji 3 kwa kila mwaka) kwenye ofisi za kanda ifikapo Juni 2025 37 Ununuzi wa samani za ofisi kwenye ofisi za kanda ifikapo Juni 2024 38 Kununua ardhi kwa ajili ya ujenzi wa ofisi za kanda maeneo ya Monduli na Usa-River( eka moja kwa kila eneo) ifikapo Julai 2023 39 Kujenga nyumba za makazi ya ndaji na ofisi za kanda maeneo ya Ngaramtoni, Longido, Monduli na Usa-River ifikapo Juni 2025 40 Ununuzi wa pikipiki 15 na bajaji 15 kwa ajili ya ofisi za kanda ( 10 kwa mwaka wa kwanza na 20 kwa mwaka unaofuata) ifikapo Juni 2024 41 Kuwezesha ununuzi wa zana za kiufundi za kufanyia kazi ( HDPE fusion machine 5, pampu za maji zinazobebeka 5 na kompresa zinazobebeka 5) ifikapo Juni 2024 42 Kuwezesha ujenzi wa uwanja wa michezo na sehemu ya mazoezi (GYM) ifikapo Juni 2025 43 Kuanzisha mfumo wa usimamizi wa fedha wa serikali na uhasibu ifikapo Juni 2023 44 Kufunga mfumo wa serikali wa ofisi wa kietroniki ya (mtandao-serikali, kielotroniki, vifaa vya kimtandao kama WAN Router, IPBX, IP Phones ) ifikapo Juni 2023 ofisi 45 Kufunga mfumo wa ukaguzi wa taarifa ifikapo Juni 2023 46 Kufunga mtandao wa na kuunganisha mtandao katika ofisi za kanda ifikapo Juni 2023 komputa 2024/2 5 5 - 55 23 5 7 55 23 8 8 13 - 55 23 8 132 298 132 132 - - 229 1,409 1,409 64 150 72 48 - 13 76 38 38 250 5 5 5 - - - - 5 5 5 - - 47 Kuanzisha kituo cha taarifa cha AUWSA - 12 ifikapo Juni 2023 9 Amri ya Mamlaka ya Maji Safi Na Usafi wa Mazingira Arusha (Arusha Wssa) ya Kurekebisha Bei za Huduma za Maji Safi Na Usafi wa Mazingira Tangazo La Serikali Na.338 (Linaendelea) Na. Maelezo ya Miladi itakayofanyika 2022/23 2023/24 2024/2 5 306 - 320 48 Kushirikiana na VITENS na washirika wengine ili kuboresha uendeshaji na ukuzaji uwezo wa AUWSA ( kuboresha mfumbo CIS na kuendeleza mfumo wa mgandamizo wa maji wa mtandao wa AUWSA, ubora wa maji, upotevu wa maji na uunganishaji wa maji kwa kaya masikini) ifikapo Juni 2025 49 Kununua genereta mbili kwa ajili ya uendeshaji kwenye vituo cha kusukuma maji ifikapo Juni 2023 50 Kufunga na kusimamia mfumo wa usimamizi wa taarifa za rasilimali watu ifikapo Juni 2025 51 Ununuzi wa magari matatu (aina ya Station wigon) na basi moja la wafanyakazi ifikapo Juni 2025. 52 Ujenzi wa Mradi mpya wenye umbali wa 17.3 Km kutoka kisima cha Sinya mpaka Namanga 53 Ujenzi wa miundombinu ya maji umbali wa kilomita 49 ili kusogeza huduma ya maji maeneo ya Mererani 54 Ujenzi wa miundo mbinu ya maji umbali wa kilomita 29.20 ili kusogeza huduma ya maji maeneo ya Mateves 55 Ujenzi wa miundo mbinu ya maji umbali wa kilomita 54 ili kusogeza huduma ya maji mji wa Bondeni. 56 Ujenzi wa miundombinu ya maji umbali wa kilomita 110 ili kusogeza huduma ya maji maeneo ya Muriet. 57 Ujenzi wa miundo mbinu ya maji umbali wa kilomita 40.21 ili kusogeza huduma ya maji maeneo ya Kiranyi 58 Ujenzi wa miundo mbinu ya maji umbali wa kilomita 115 ili kusogeza huduma ya maji maeneo ya Ngaramtoni juu 59 Ujenzi wa miundo mbinu ya maji umbali wa kilomita 31.58 ili kusogeza huduma ya maji maeneo ya Olmoti 60 Ujenzi wa miundo mbinu ya maji umbali wa kilomita 32.44 ili kusogeza huduma ya maji maeneo ya Olasiti 61 Ujenzi wa miundo mbinu ya maji umbali wa kilomita 113.97 ili kusogeza huduma ya maji maeneo ya Moshono 62 Ujenzi wa miundo mbinu ya maji umbali wa kilomita 20.66 ili kusogeza huduma ya maji maeneo ya Sanawari 10 - 18 15 2 - 2 410 180 180 - 8,192 - - - - - 1,600 1,350 2,509 5,100 1,859 - - - - - - 5,300 1,460 1,502 5,270 955 - - - - - - - - - - Amri ya Mamlaka ya Maji Safi Na Usafi wa Mazingira Arusha (Arusha Wssa) ya Kurekebisha Bei za Huduma za Maji Safi Na Usafi wa Mazingira Tangazo La Serikali Na.338 (Linaendelea) Na. Maelezo ya Miladi itakayofanyika 2022/23 2023/24 63 Ujenzi wa miundo mbinu ya maji umbali wa kilomita 31. 37 ili kusogeza huduma ya maji mji wa Bondeni. 64 Ujenzi wa miundo mbinu ya maji umbali wa kilomita 45.21 ili kusogeza huduma ya maji maeneo ya Muriet 65 Ujenzi wa miundo mbinu ya maji umbali wa kilomita 38.93 ili kusogeza huduma ya maji maeneo ya Kiranyi 66 Ujenzi wa miundo mbinu ya maji umbali wa kilomita 28. 33 ili kusogeza huduma ya maji maeneo ya Ngaramtoni juu 67 Ujenzi wa miundo mbinu ya maji umbali wa kilomita 22.75 ili kusogeza huduma ya maji maeneo ya Olmoti 68 Ujenzi wa miundo mbinu ya maji umbali wa kilomita 24.61 ili kusogeza huduma ya maji maeneo ya Olasiti 69 Ujenzi wa miundo mbinu ya maji umbali wa kilomita 37.85 ili kusogeza huduma ya maji maeneo ya Moshono 70 Ujenzi wa miundo mbinu ya maji umbali wa kilomita 17.29 ili kusogeza huduma ya maji maeneo ya Sanawari 71 Ujenzi wa miundo mbinu ya maji umbali wa kilomita 20.07 ili kusogeza huduma ya maji maeneo ya Mateves 72 Ujenzi wa miundo mbinu ya maji umbali wa kilomita 11.68 ili kusogeza huduma ya maji maeneo ya Monduli 74 73 Ujenzi wa miundo mbinu ya maji umbali wa kilomita 10. 60 ili kusogeza huduma ya maji maeneo ya Usa-River ujenzi wa miundombinu ya maji umbali wa kilomita 22.04 kutoka Shangarai mpaka Moshono na tanki moja la maji Jumla 2024/2 5 1,450 2,091 1,800 1,310 1,052 1,138 1,750 799 928 540 490 4,930 - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - 10,008 39,420 41,154 __________ JEDWALI LA TATU __________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 3(f)) ___________ VIASHIRIA VYA UTENDAJI 11 Amri ya Mamlaka ya Maji Safi Na Usafi wa Mazingira Arusha (Arusha Wssa) ya Kurekebisha Bei za Huduma za Maji Safi Na Usafi wa Mazingira Tangazo La Serikali Na.338 (Linaendelea) Maelezo Kizio Lengo la Utendaji 2022/23 2023/24 2024/25 Maunganisho Mapya ya Majisafi No. 13,993 13,993 13,993 Maunganisho Mapya ya Majitaka Kiwango cha Upotevu wa Maji Kiwango cha Kufunga Dira za Maji kwa Wateja Ufanisi katika Ukusanyaji wa Mapato % % % % 3,200 3,200 3,200 34 28 100 100 94 96 25 100 98 Dodoma, 25 April, 2023 JAMES A. MWAINYEKULE Mkurugenzi Mkuu 12
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Amri ya Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Arusha (Arusha WSSA) ya Kurekebisha
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in