Amri ya Kurekebisha Bei za Huduma za Majisafi ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Bariadi ya Mwaka, 2023
This section states the name of the order: the Order to Amend the Water Services Prices of Bariadi Urban Water Supply and Sanitation Authority, 2023.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Order
- Citation
- Amri ya Kurekebisha Bei za Huduma za Majisafi ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Bariadi ya Mwaka, 2023
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Publicly available, excluded from search-engine indexing
This page remains available for direct access and API use, but this release emits
noindex,follow for the following reason:
- The record does not meet this release's canonical indexing criteria.
(market-indexing-disabled)
Statute overview
About this statute
This section states the name of the order: the Order to Amend the Water Services Prices of Bariadi Urban Water Supply and Sanitation Authority, 2023. The water prices for the Bariadi Water and Sanitation Authority are changed as set out in the First Schedule of this Order. Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Bariadi lazima itimize masharti kadhaa ya Amri hii, ikiwemo kutoa uthibitisho wa taarifa kwa wateja, kuwasilisha mpango wa biashara uliopitiwa upya, kutekeleza miradi, kutoa huduma ya maji kwa vikundi vilivyotajwa kwa tarehe maalum, na kuwasilisha ripoti na taarifa za fedha kwa mdhibiti. This section says this order repeals Order No. 11-014 of 2011. Hii sehemu inaonyesha bei za maji kwa kaya na bei zilizoidhinishwa kwa miaka ya 2023/24, 2024/25 na 2025/26, zikiwa kwa shilingi kwa mita ya ujazo.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Amri ya Kurekebisha Bei za Huduma za Majisafi ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Bariadi ya Mwaka, 2023
Showing 6 of 6
- 1 Verify source ↗
Amri hii itajulikana kama Amri ya Kurekebisha Bei
AI-assisted research summary: This section states the name of the order: the Order to Amend the Water Services Prices of Bariadi Urban Water Supply and Sanitation Authority, 2023.
1. Amri hii itajulikana kama Amri ya Kurekebisha Bei za Huduma za Majisafi ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Bariadi ya Mwaka, 2023. Marekebis ho ya bei - 2 Verify source ↗
Bei za majisafi za Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa
AI-assisted research summary: The water prices for the Bariadi Water and Sanitation Authority are changed as set out in the First Schedule of this Order.
2. Bei za majisafi za Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa ilivyoainishwa Mazingira Bariadi zinarekebishwa kama katika Jedwali la Kwanza la Amri hili. Masharti - 3 Verify source ↗
Bei zilizoidhinishwa zitaambatana na masharti
AI-assisted research summary: Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Bariadi lazima itimize masharti kadhaa ya Amri hii, ikiwemo kutoa uthibitisho wa taarifa kwa wateja, kuwasilisha mpango wa biashara uliopitiwa upya, kutekeleza miradi, kutoa huduma ya maji kwa vikundi vilivyotajwa kwa tarehe maalum, na kuwasilisha ripoti na taarifa za fedha kwa mdhibiti.
3. Bei zilizoidhinishwa zitaambatana na masharti yafuatayo: (a) kabla ya kutoa ankara kwa mara ya kwanza kwa ajili ya matumizi ya bei na ada zilizoainishwa kwenye Amri hii, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Bariadi itapaswa kuwasilisha uthibitisho kwa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji kwamba iliwataarifu wateja wake kuhusu Amri mpya ya bei na kwamba iliwafahamisha ipasavyo wadau wake ikiwa ni pamoja na viongozi wa serikali, viongozi wa kisiasa, viongozi wa dini, na wateja wake, kuhusu mabadiliko ya bei; (b) ifikapo tarehe 30 Septemba, 2023 au kabla, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Bariadi itawasilisha kwa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji mpango wake wa biashara uliopitiwa upya kwa kuzingatia bei zilizoidhinishwa na mpango wa utekelezaji wa 1 Amri ya Kurekebisha Bei Za Huduma Za Majisafi ya Mamlaka ya Majisafi Na Usafi wa Mazingira Bariadi Tangazo la Serikali Na. 633 (Linaendelea.) masharti ya Amri hii; (c) Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Bariadi , kwa kutumia mapato yatokanayo na bei zilizoidhinishwa, itatekeleza miradi iliyoainishwa katika Jedwali la Pili la Amri hii; (d) Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Bariadi inafikisha na itahakikisha kuwa kuziunganisha na huduma ya maji taasisi zote za umma ikiwemo zahanati za Sanungu na Nyangaka, shule za msingi za Yoma, Sanungu, Izunya, Ngashanda, Nyangaka na Sima A na shule ya sekondari ya Chenge ifikapo tarehe 30 Juni, 2024; (e) Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Bariadi itatoa huduma ya maji kwa wakazi wote waishio kandokando ya vyanzo vya maji vya visima vya Isanzu, Izunya, Mahaha Na.1, Mahaha Na.2, Mahaha Na.3, Mahaha Na.4, , Mahina, Malinoni Na.2 na Malinoni Na.3 ifikapo tarehe 30 Juni, 2025; (f) Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Bariadi itaandaa na kutekeleza mpango wa kuwafikia wateja wote na kuwasilisha kwa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji taarifa ya utekelezaji wa mpango huo kila mwaka; (g) Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Bariadi itafikia viashiria vya utendaji kama ilivyooneshwa kwenye Jedwali la Tatu la Amri hii; (h) Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Bariadi kwa kila mwaka kama sehemu ya taarifa yake ya utendaji ya mwaka, itawasilisha taarifa ya utekelezaji wa masharti yaliyopo kwenye Amri hii ya Bei na kila kifungu cha gharama katika mahitaji ya fedha yaliyoidhinishwa kama yalivyoainishwa katika Jedwali la Nne la Amri hii; (i) Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Bariadi itaendelea kuwasilisha kwa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji taarifa zake za fedha kama ilivyoidhinishwa katika Jedwali la Nne la Amri hii, na utendaji kwa mujibu 2 Amri ya Kurekebisha Bei Za Huduma Za Majisafi ya Mamlaka ya Majisafi Na Usafi wa Mazingira Bariadi Tangazo la Serikali Na. 633 (Linaendelea.) wa matakwa ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji. Taarifa hizi zitatumiwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji katika kufanya tathmini ya utendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Bariadi ikilinganishwa na mamlaka nyingine za majisafi na usafi wa mazingira na uboreshaji wa huduma zake; na (j) katika kuhakikisha kunakuwepo na huduma endelevu ya maji hususan kipindi cha kiangazi, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Bariadi inaelekezwa kuandaa na kutekeleza mpango wa kuvuna maji ya mvua.
Part
Jedwali la Nne la Amri hii, na utendaji kwa mujibu
- 4 Verify source ↗
[Amri hii inafuta Amri Na. 11-014 ya mwaka 2011]
AI-assisted research summary: This section says this order repeals Order No. 11-014 of 2011.
4. [Amri hii inafuta Amri Na. 11-014 ya mwaka 2011]. Kufuta Amri Na. - 11 Verify source ↗
014
AI-assisted research summary: Hii sehemu inaonyesha bei za maji kwa kaya na bei zilizoidhinishwa kwa miaka ya 2023/24, 2024/25 na 2025/26, zikiwa kwa shilingi kwa mita ya ujazo.
11 – 014 ya 2011 _________ MAJEDWALI _________ 3 Amri ya Kurekebisha Bei Za Huduma Za Majisafi ya Mamlaka ya Majisafi Na Usafi wa Mazingira Bariadi Tangazo la Serikali Na. 633 (Linaendelea.) _____ JEDWALI LA KWANZA. ______ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) Jedwali Namba 1(a): Bei za Maji za Sasa na Zilizoidhinishwa (Shilingi kwa Mita ya Ujazo) Kundi la Wateja Majumbani Bei ya Sasa 2022/23 660 Bei Zilizoidhinishwa 2023/24 1,118 2024/25 1,206 2025/26 1,229 Taasisi Biashara Viwanda Magati WASTANI 780 900 1,100 1,000
Part
Jedwali Namba 1(a): Bei za Maji za Sasa na Zilizoidhinishwa (Shilingi kwa Mita ya Ujazo)
- 756
AI-assisted research summary: This provision sets approved water service fees, revenue requirements, and related project and performance targets.
756.05 1,322 1,525 1,864 1,500 1,281 1,426 1,645 2,011 1,500 1,392 1,452 1,676 2,048 1,500 1,417 Jedwali Namba 1(b): Ada za Sasa na Zilizoidhinishwa kwa Maunganisho Mapya ya Maji (Shilingi kwa Unganisho) Ada ya Sasa 2022/23 33,000 Ada Zilizoidhinishwa 2024/25 2023/24 2025/26 26,000 Kundi la Wateja Majumbani Taasisi Biashara Viwanda Jedwali Namba 1(c): Ada za Sasa na Zilizoidhinishwa za Kurejeshewa Huduma ya Maji (Shilingi kwa Rejesho) Kundi la Wateja Majumbani Taasisi Biashara Viwanda Ada ya Sasa 2022/23 10,000 16,000 21,000 - 2023/24 15,000 15,000 15,000 15,000 Ada Zilizoidhinishwa 2024/25 15,000 15,000 15,000 15,000 2025/26 15,000 15,000 15,000 15,000 4 Amri ya Kurekebisha Bei Za Huduma Za Majisafi ya Mamlaka ya Majisafi Na Usafi wa Mazingira Bariadi Tangazo la Serikali Na. 633 (Linaendelea.) ______ JEDWALI LA PILI ______ (Limetengenezwa chini ya aya ya 3(c)) MIRADI ITAKAYOTEKELEZWA Miradi Itakayotekelezwa 2023/24 2024/25 2025/26 Gharama (TZS) Uwekezaji Mpya mzunguko Kuongeza urefu wa mtandao wa mabomba kwa kilomita 10 yenye kipenyo cha milimita 32 mpaka 75 kwenye maeneo ambayo hayafikiwa na huduma (Sesele, Nyaumata, Nyangaka, Isanzu, and Majahida). Kilomita 2 mwaka 2023/24, kilomita 3.2 mwaka 2024/25 na mwaka 2025/26 kilomita 4.8 Kufunga viungio mbalimbali na vifaa vya kurekebisha/kusaidia na mgandamizo wa maji ifikapo Juni, 2025. Valvu 10 mwaka 2023/24, 50 mwaka 2024/25 na 50 kwa mwaka 2025/26 Kununua dira za maji kwa ajili ya wateja wapya 1,200 kwa mwaka 2023/24, 1600 kwa mwaka 2024/25 na 2000 kwa mwaka 2025/26 Kupanua mtandao wa maji kwa kulaza kilomita 40 za mabomba yenye kipenyo cha kati ya milimita 32 na 100 kwenda kwenye maeneo yasiyokuwa na huduma (Nyangaka, Nyakabindi, Bunamhala, Kisiwani, Isanga, Nyangokorwa, Mhango and Guduwi) na kwenye taasisi muhimu. Kilomita 6 kwa 2023/24; kilomita 12 kwa mwaka (2024/25) na kilomita 16 kwa 2025/26. Kununua dira kubwa za maji 10 na kuzifunga kwenye mabomba ya kuchukua maji kutoka kwenye vyanzo vya maji, matanki ya maji na kanda za mtandao wa maji Kujenga vituo 16 vya kutibu maji kwa kutumia chlorini kwenye matanki. Vituo vitatu(3) mwaka 2023/24, vitano (5) mwaka 2024/25 na nane (8) mwaka 2025/26 Kutunza vyanzo vya maji kwa kuotesha miti Kununua vitendea kazi vya ofisini ikiwemo kompyuta ya mezani (8) na mpakato (7). Kompyuta nne (4) mwaka 2024/25 na nne (4) mwaka 2025/26 Kununua vifaa vya ikiwemo viti, meza na makabati thamani vya ofisini 12,000,000 20,000,000 30,000,000 3,000,000 18,000,000 20,000,000 149,760,00 0 207,667,200 269,967,360 35,680,726 215,725,379 337,090,886 - 5,000,000 5,000,000 1,000,000 5,000,000 8,000,000 1,800,000 6,500,000 5,000,000 - 16,000,000 18,000,000 - 5,000,000 7,000,000 5 Amri ya Kurekebisha Bei Za Huduma Za Majisafi ya Mamlaka ya Majisafi Na Usafi wa Mazingira Bariadi Tangazo la Serikali Na. 633 (Linaendelea.) Miradi Itakayotekelezwa 2023/24 2024/25 2025/26 Gharama (TZS) Kununua pikipiki 6 kwa ajili ya wasoma mita. Moja mwaka 2023/24, mbili mwaka 2024/25 na tatu mwaka 2025/26 Jumla Uwekezaji Mpya 3,000,000 206,240,72 6 6,000,000 9,000,000 504,892,579 709,058,246 Miradi ya Ukarabati Kubadilisha mota moja ya pampu kila mwaka kwenye kisima cha Majahida 1 Kubadilisha mota moja ya pampu kila mwaka kwenye kisima cha Majahida 2 Kubadilisha mota moja ya pampu kila mwaka kwenye kisima cha Majahida 3 Kubadilisha mota moja ya pampu kila mwaka kwenye kisima cha Ndoba Kubadilisha mota moja ya pampu kila mwaka kwenye kisima cha Kidinda 1 Kubadilisha mota moja ya pampu kila mwaka kwenye kisima cha Kidinda 2 Kubadilisha mota moja ya pampu kila mwaka kwenye kisima cha Isanzu 1 Kubadilisha mota moja ya pampu kila mwaka kwenye kisima cha Isanzu 2 Kubadilisha mota moja ya pampu kila mwaka kwenye kisima cha Isanzu 3 Kubadilisha mota moja ya pampu kila mwaka kwenye kisima cha Sanungu 1 Kubadilisha mota moja ya pampu kila mwaka kwenye kisima cha Sanungu 2 Kubadilisha mota moja ya pampu kila mwaka kwenye kisima cha Somanda 1 Kubadilisha mota moja ya pampu kila mwaka kwenye kisima cha Somanda 2 Kubadilisha mota moja ya pampu kila mwaka kwenye kisima cha Nyamhimbi Kubadilisha mota moja ya pampu kila mwaka kwenye kisima cha Izunya Kubadilisha mota moja ya pampu kila mwaka kwenye kisima cha Nyaumata Kubadilisha mota moja ya pampu kila mwaka kwenye kisima cha Mahina Kubadilisha mota moja ya pampu kila mwaka kwenye kisima cha Gitoya Kubadilisha mota moja ya pampu kila mwaka kwenye kisima cha Kigangoni 2,869,760 2,984,550 3,103,932 2,869,760 2,984,550 3,103,932 3,864,684 4,019,271 4,180,042 2,869,760 2,869,760 2,869,760 2,869,760 2,869,760 2,869,760 2,869,760 2,984,550 3,103,932 7,000,000 7,280,000 7,571,200 8,500,000 8,840,000 9,193,600 3,386,317 3,521,769 3,662,640 2,869,760 2,984,550 3,103,932 3,386,317 3,521,769 3,662,640 3,386,317 3,521,769 3,662,640 2,869,760 2,984,550 3,103,932 3,386,317 3,521,769 3,662,640 3,386,317 3,521,769 3,662,640 3,386,317 3,521,769 3,662,640 3,864,684 4,019,271 4,180,042 3,864,684 4,019,271 4,180,042 2,869,760 2,984,550 3,103,932 6 Amri ya Kurekebisha Bei Za Huduma Za Majisafi ya Mamlaka ya Majisafi Na Usafi wa Mazingira Bariadi Tangazo la Serikali Na. 633 (Linaendelea.) Miradi Itakayotekelezwa 2023/24 2024/25 2025/26 Gharama (TZS) Kubadilisha mota moja ya pampu kila mwaka kwenye kisima cha Nyangaka Kubadilisha mota moja ya pampu kila mwaka kwenye kisima cha Malinoni 1 Kubadilisha mota moja ya pampu kila mwaka kwenye kisima cha Malinoni 2 Kubadilisha mota moja ya pampu kila mwaka kwenye kisima cha Malinoni 3 Kubadilisha mota moja ya pampu kila mwaka kwenye kisima cha Nanenane Kubadilisha mota moja ya pampu kila mwaka kwenye kisima cha Nanenane Gagabali Kubadilisha mota moja ya pampu kila mwaka kwenye kisima cha Nanenane JKT Kubadilisha mota moja ya pampu kila mwaka kwenye kisima cha Nanenane Mwembeni Kubadilisha mabomba machakavu yenye urefu wa kilomita 6 na kipenyo cha milimita kati 50 na 63 Kubadilisha mabomba machakavu yenye urefu wa kilomita 6 na kipenyo kati ya milimita 32 na 50 Kubadilisha mabomba ya zamani yenye urefu wa kilomita 8 na kipenyo cha milimita 32. Kubadilisha valvu 33 zenye kipenyo kati ya milimita 100 hadi 200. Tisa (9) mwaka 2023/24, 11 kwa mwaka na 13 kwa mwaka 2025/26 Kubadilisha geti valvu 264 zenye kipenyo cha kati ya milimita 90 na 32. Sabini (70) kwa mwaka 2023/24, 88 kwa mwaka 2024/25 na 106 kwa mwaka 2025/26 Kubadilisha valvu za upepo 3 kila mwaka Kubadilisha dira za maji chakavu 600, 150 kwa mwaka 2023/24, 200 kwa mwaka 2024/25 na 250 kwa mwaka 2025/26 Kubadilisha dira kubwa za maji 36 zenye kipenyo cha milimita kati ya 75 hadi 150 kwenye mabomba ya vyanzo vya maji, 10 kwa mwaka 2023/24, 12 kwa mwaka 2024/25 na 14 kwa mwaka wa fedha 2025/26 Kubadilisha dira kubwa za maji 30 zenye kipenyo kati ya milimita 100 hadi 160 kwenye mabomba ya vyanzo vya maji. Nane (8) kwa mwaka 2024/25, 10 kwa mwaka 2024/25 na 12 kwa mwaka 2025/26 Jumla Miradi ya Ukarabati 2,869,760 2,984,550 3,103,932 3,864,684 4,019,271 4,180,042 3,864,684 4,019,271 4,180,042 3,864,684 4,019,271 4,180,042 2,869,760 2,984,550 3,103,932 2,869,760 2,984,550 3,103,932 3,386,317 3,521,769 3,662,640 3,601,662 3,745,729 3,895,558 12,050,000 12,532,000 13,033,280 9,232,000 9,601,280 9,985,331 9,702,000 10,090,080 10,493,683 7,488,000 9,301,760 11,248,640 5,896,800 8,068,736 10,404,992 600,000 624,000 648,960 20,220,000 27,958,400 36,245,920 2,700,000 3,364,800 4,077,024 4,656,000 6,048,800 7,544,102 170,106,14 188,824,064 208,735,930 7 Amri ya Kurekebisha Bei Za Huduma Za Majisafi ya Mamlaka ya Majisafi Na Usafi wa Mazingira Bariadi Tangazo la Serikali Na. 633 (Linaendelea.) Miradi Itakayotekelezwa Jumla ya Uwekezaji Wote 2023/24 5 376,346,87 1 Gharama (TZS) 2024/25 2025/26 693,716,643 917,794,176 _______ JEDWALI LA TATU _______ (Limetengenezwa chini ya aya ya 3(g)) VIASHIRIA VYA UTENDAJI (2023/24-2025/26) Maelezo Idadi ya watu inayofikiwa na huduma ya maji Maunganisho mapya ya majisafi Upotevu wa Maji Kiwango cha Kufunga Dira za Maji kwa Wateja Ufanisi katika Ukusanyaji wa Mapato Kizio % No % % % Lengo la Utendaji 2024/25 80 1,600 23 100 95 2025/26 95 2,000 20 100 97 2023/24 75 1,200 24 100 92 _____ JEDWALI LA NNE _____ (Limetengenezwa chini ya aya ya 3(h) MAPATO YANAYOHITAJIKA Marekebisho ya Mahitaji ya Mapato (TZS) Makisio 2023/24 251,846,341 2024/25 329,183,718 2025/26 380,103,838 Maelezo Gharama za Uzalishaji Ukarabati na Matengenezo 104,097,570 117,375,607 127,217,170 Gharama za Kiiutumishi 230,652,420 267,801,210 287,541,390 Gharama za Kiutawala 116,573,742 133,022,476 139,734,345 Gharama za Matangazo 11,100,000 16,200,000 Gharama za Matukio na Ufadhili 3,400,000 3,400,000 Gharama za Bodi 63,362,300 65,143,700 Gharama za Utunzaji wa Fedha 1,200,000 1,200,000 19,200,000 3,400,000 66,925,100 1,200,000 Jumla ya Gharama za Uendeshaji na Matengenezo Uwekezaji wa Miundombinu Mipya 782,232,370 933,326,710 1,025,321,840 206,240,730 504,892,580 709,058,250 8 Amri ya Kurekebisha Bei Za Huduma Za Majisafi ya Mamlaka ya Majisafi Na Usafi wa Mazingira Bariadi Tangazo la Serikali Na. 633 (Linaendelea.) Maelezo Marekebisho ya Mahitaji ya Mapato (TZS) Makisio Ukarabati na Kubadili Miundombinu Mapato Yote Yanayohitajika Ondoa: 2023/24 170,106,150 2024/25 188,824,060 2025/26 208,735,930 1,158,579,240 1,627,043,350 1,943,116,020 Ada ya Maunganisho Mapya 31,200,000 41,600,000 Ada ya Kurejesha Huduma 2,311,138 3,039,198 52,000,000 3,949,274 Mapato Kutokana na Mauzo ya Maji 1,125,068,100 1,582,404,150 1,887,166,750 Dodoma, .................., 2023 JAMES A. MWAINYEKULE, Mkurugenzi Mkuu 9
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Amri ya Kurekebisha Bei za Huduma za Majisafi ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Bariadi ya Mwaka, 2023
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in