AI-assisted research summary: Mamlaka must follow the listed service conditions, including submitting port tariff books and a plan to Shirika on time, providing user information, and observing several fee and non-fee rules.
5. Wakati wa kutoa huduma, Mamlaka itazingatia masharti yafuatayo: (a) (b) (c) (d) (e) (f) ya kuhusu mawanda inandaa na kuwasilisha kwa Shirika vitabu vya tozo za bandari za bahari na maziwa kwa kuzingatia viwango vilivyoainishwa katika aya ya 4 ndani ya kipindi cha siku kumi na nne tangu kuchapishwa kwa Amri hii; inatoa taarifa za kutosha kwa watumiaji wa bandari huduma inayotolewa; haitoi leseni kwa mtoa huduma anayedhibitiwa; inatoza tozo ya ufunguaji na ufungaji wa mifuniko ya gamla kwa bandari za maziwa endapo wafanyakazi au mitambo ya Mamlaka imetumika utoahi huduma hiyo; inatoza nzito inayotembea kwa kutumia matairi yake yenyewe endapo shehena hiyo inahitaji uangalizi wa kipekee wa Mamlaka wa kuwezesha upakiaji au ushushaji wa shehena hiyo melini ikijumuisha ukokotaji; inafanya kuandaa mpango na utakaoonesha usimikaji wa vifaa vya kuhudumia shehena pamoja na miundombinu ya kupakia na kushusha wanyama melini katika bandari za maziwa na kuuwasilisha kwa Shirika ndani ya tathmini shehena kuinua tozo ya 2 Amri ya Tozo za Bandari za Bahari Na Maziwa Tangazo La Serikali Na. 758 (Linaendelea) (g) (h) (i) (j) (k) (l) miezi sita tangu kuchapishwa kwa Amri hii; inazingatia maelekezo ya Benki Kuu ya Tanzania kuhusu matumizi ya fedha za kigeni Nchini kwa lengo la kuwezesha malipo ya huduma za bandari kufanyika kwa fedha ya kitanzania; inaimarisha mikakati ya kimasoko ili kuvutia shehena zaidi kupita katika bandari za bahari na maziwa Nchini; inatoa uelewa kwa watumiaji wa huduma za bandari kuhusu tozo za bandari zilizoidhinishwa; inaruhusu abiria katika bandari za maziwa kusafiri na mzigo wa samaki usiozidi kilogramu ishirini bila tozo; kutowatoza wateja watumiao miundombinu ya kupitisha mafuta ya Kigamboni; na inazingatia maagizo ya Amri ya Tozo za Bandari Kavu za Wakala wa Meli za Mwaka 2022. ________________ JEDWALI LA KWANZA _________________ (Limetengenezwa chini ya aya 4(a)) TOZO ZA KIKOMO ZA BANDARI ZA BAHARI TS Na. 459 la mwaka 2022 Tozo Kipimo cha Tozo Kukodi boti ya muingiza meli bandarini Kemikali/mapovu ya kuzimia moto Ukaguzi wa forodha saa moja au sehemu yake lita moja Nchini linaloishia kasha lisilozidi futi 20 kasha linalozidi futi 20 kasha linalopita kwenda nchi linaloishia Nchini 3 Kiwango cha Tozo (Bila VAT) USD 500 USD 15 USD 90 USD 140 USD 80 Amri ya Tozo za Bandari za Bahari Na Maziwa Tangazo La Serikali Na. 758 (Linaendelea) Tozo Kipimo cha Tozo Tozo ya matumizi ya gati la bandari kwa kasha linalopita kwenda nchi jirani Tozo ya matumizi ya gati la bandari kwa shehena isiyotoka bandarini kwa bandari za Tanga na Mtwara Tozo ya matumizi ya gati la shehena bandari kwa mchanganyiko isiyotoka bandarini) kwa bandari za Tanga na Mtwara Upimaji wa uzito wa kasha katika bandari za Tanga na Mtwara Malipo ya ziada kwa shehena hatarishi jirani lisilozidi futi 20 kasha linalopita kwenda nchi jirani linalozidi futi 20 kasha linalopita kwenda nchi jirani lisilozidi futi 20 kasha linalopita kwenda nchi jirani linalozidi futi 20 kasha linalopita kutoka nchi jirani lisilozidi futi 20 kasha linalopita kutoka nchi jirani linalozidi futi 20 kasha lisilozidi futi 20 kasha linalozidi futi 20 Kiwango cha Tozo (Bila VAT) USD 140 USD 90 USD 180 USD 75 USD 150 haihusiki haihusiki tani ya kibandari USD 2 kasha USD 30 asilimia ya tozo ya kupakia au kushusha shehena asilimia ya tozo ya uhamishaji wa shehena kati ya gati na maeneo ya uhifadhi au chombo cha usafirishaji katika nchi kavu asilimia ya gharama za uhifadhi asilimia kumi ya tozo ya kupakia au kushusha shehena asilimia kumi ya ya tozo uhamishaji wa shehena kutoka au katika kwenda gati asilimia ishirini ya gharama za uhifadhi Angalizo: Tozo nyingine ambazo hazijatajwa katika Jedwali hili zinaidhinishwa kama zilivyo katika Maombi yenye Kumb. Na.: JA.570/671/01-E/31 ya tarehe 22 Mei, 2023 kuhusu Tozo za Bandari za Bahari yaliyowasilishwa kwa Shirika kwa mujibu wa kanuni ya 8(1) ya Kanuni za Tozo, TS. Na. 7 la mwaka 2020. 4 Amri ya Tozo za Bandari za Bahari Na Maziwa Tangazo La Serikali Na. 758 (Linaendelea) ______________ JEDWALI LA PILI ______________ (Limetengenezwa chini ya aya 4(b)) TOZO ZA KIKOMO ZA BANDARI ZA MAZIWA Tozo Kipimo cha Tozo Tozo ya kupakia au kushusha shehena kwa kreti tupu Tozo ya matumizi ya gati la bandari kwa kreti tupu Tozo ya uhamishaji wa moja kwa moja wa shehena kati ya gati na chombo cha usafirishaji katika nchi kavu kwa shehena ya kreti tupu Tozo ya uhamishaji wa shehena kati ya gati na maeneo ya uhifadhi cha usafirishaji katika nchi kavu kwa shehena ya kreti tupu Tozo ya kufunga meli na matumizi ya vifaa vya kuongoza meli bandarini kwa meli iliyosajiliwa Tanzania chombo au ya Tozo kufunga meli iliyosajiliwa Tanzania kwa ajili ya kusubiri shehena bandarini tani ya kibandari tani ya kibandari tani ya kibandari Kiwango cha Tozo (Bila VAT) USD 1.5 USD 1 USD 2 tani ya kibandari USD 3 kwa siku kwa meli yenye urefu usiozidi mita 15 kwa siku kwa meli yenye urefu wa kati ya mita 16 na mita 50 kwa siku kwa meli yenye urefu wa kati ya mita 51 na mita 70 kwa siku kwa meli yenye urefu wa kati ya mita 71 na mita 90 kwa siku kwa meli yenye urefu wa zaidi ya mita 90 asilimia ya tozo ya kufunga meli USD 6 USD 12 USD 16 USD 20 USD 24 asilimia kumi na tano ya tozo ya kufunga meli Tozo ya kufunga meli asilimia ya tozo ya kufunga asilimia ishirini 5 Amri ya Tozo za Bandari za Bahari Na Maziwa Tangazo La Serikali Na. 758 (Linaendelea) Tozo Kipimo cha Tozo iliyosajiliwa nje ya nchi kwa ajili ya kusubiri shehena bandarini Tozo ya kufunga meli na matumizi ya vifaa vya kuongoza meli bandarini kwa meli iliyosajiliwa Tanzania katika bandari ndogo katika maziwa meli usiozidi mita usiozidi mita kwa mwezi kwa meli yenye urefu 10 iliyowasili mara moja kwa mwezi kwa meli yenye urefu 10 iliyowasili angalau mara mbili kwa mwezi kwa meli yenye urefu wa kati ya mita 11 na mita 15 iliyowasili mara moja kwa mwezi kwa meli yenye urefu wa kati ya mita 11 na mita 15 iliyowasili angalau mara mbili kwa mwezi kwa meli yenye urefu wa zaidi ya mita 15 iliyowasili mara moja kwa mwezi kwa meli yenye urefu wa zaidi ya mita 15 angalau mara iliyowasili mbili tozo ya kufunga meli kwa dharura Kiwango cha Tozo (Bila VAT) ya tozo ya kufunga meli TZS 8,000 TZS 16,000 TZS 16,000 TZS 32,000 TZS 20,000 TZS 40,000 TZS 5,000 Angalizo: Tozo nyingine ambazo hazijatajwa katika Jedwali hili zinaidhinishwa kama zilivyo katika Maombi yenye Kumb. Na.: JA.570/671/01-E/31 ya tarehe 22 Mei, 2023 kuhusu Tozo za Bandari za Maziwa yaliyowasilishwa kwa Shirika kwa mujibu wa kanuni ya 8(1) ya Kanuni za Tozo, TS. Na. 7 la Mwaka 2020. Dar es Salaam, 22 Octoba, 2023 KAIMU ABDI MKENYEGE Mkurugenzi Mkuu 6