AI-assisted research summary: This provision repeals two earlier Lindi WSSA orders and sets approved water, connection, reconnection, wastewater removal, and sewage-emptying charges in the attached tables.
4. Amri ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Lindi (Lindi WSSA), (ya Kurekebisha Bei za Huduma za Maji safi na Usafi wa Mazingira), ya Mwaka 2019 na Amri ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Lindi (Lindi WSSA), ya uondoshwaji na umwagaji wa majitaka (Amri ya Muda) zimefutwa. 3 Amri ya Mamlaka ya Maji Safi Na Usafi wa Mazingira Lindi (Lindi Wssa), ya Kurekebisha Bei Za Huduma Za Maji Safi Na Usafi wa Mazingira Tangazo la Serikali Na. 798 (Linaendelea.) ___________ MAJEDWALI ____________ ____________ JEDWALI LA KWANZA ___________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) BEI, ADA NA TOZO ZILIZOIDHINISHWA 1(a): Bei za Maji za Sasa na Zilizoidhinishwa Kundi la Wateja Kipimo Matumizi (m3) 0-5 >5-6 >10 Majumbani Taasisi Biashara Viwanda Magati Wateja wa Jumla Wastani Bei ya Sasa Bei Zilizoidhinishwa Sh./m3 Sh./m3 Sh./m3 Sh./m3 Sh./m3 Sh./m3 Sh./m3 Sh./m3 Sh./m3 2022/23 1,600 1,700 1,800 2,100 2,200 2,200 1,500 2,300 1,797 2023/24 2,146 2024/25 2,191 2025/26 2,229 2,575 2,698 2,698 2,000 2,820 2,203 2,629 2,754 2,754 2,000 2,879 2,249 2,675 2,802 2,802 2,000 2,930 2,289 1(b): Ada za Sasa na Zilizoidhinishwa kwa Maunganisho Mapya ya Maji (Shilingi kwa Maunganisho) Kundi la Wateja Ada ya Sasa Ada Iliyoidhinishwa Majumbani Taasisi Biashara Viwanda 2022/23 Asilimia 20 ya Gharama za Maunganisho kama Ilivyoelekezwa kwenye Kanuni ya 26 ya Kanuni za Maji za Mwaka 2019 2023/24 2024/25 26,000 2025/26 1(c): Ada za Sasa na Zilizoidhinishwa za Kurejeshewa Huduma ya Maji Kundi la Wateja Majumbani Taasisi Biashara Viwanda Ada ya Sasa 2022/23 10,000 40,000 40,000 40,000 2023/24 15,000 15,000 15,000 15,000 Ada Zilizoidhinishwa 2024/25 15,000 15,000 15,000 15,000 2025/26 15,000 15,000 15,000 15,000 4 Amri ya Mamlaka ya Maji Safi Na Usafi wa Mazingira Lindi (Lindi Wssa), ya Kurekebisha Bei Za Huduma Za Maji Safi Na Usafi wa Mazingira Tangazo la Serikali Na. 798 (Linaendelea.) 1(d): Bei Zilizoidhinishwa za Uondoshwaji Majitaka (Shilingi/Mita ya Ujazo) Kundi la Wateja Ada za Sasa Ada Zilizopendekezwa Majumbani Taasisi Biashara Viwanda 2022/23 30,000 30,000 30,000 32,000 2023/24 – 2025/26 30,000 30,000 30,000 32,000 Ada Zinazopendekezwa 2023/24 – 2025/26 30,000 30,000 30,000 32,000 Aina ya Mteja 1 (e): Bei Zilizoidhinishwa za Kumwaga Majitaka (Shilingi/Tripu) Tozo za Sasa 2022/23 9,000 2023/24-2025/26 9,000 Gari aina zote Tozo Zilizopendekezwa Tozo Zinazopendekezwa 2023/24 – 2025/26 9,000 _________ JEDWALI LA PILI _________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 3(c)) Maelezo ya Mradi Gharama (Shilingi) MIRADI ITAKAYOTEKELEZWA Kununua na kufunga dira za maji 6,000 kwa wateja wapya Kununua na kubadilisha dira za maji 4,191 Kununua Dira 300 za Malipo ya Kabla kwa ajili ya wateja wa Taasisi na Majumbani Kununua vali 138 za milimita 200 kwa ajili ya maeneo 12 Kununua dira za maji kubwa 100 Kukarabati jengo la pampu la Liwayawaya Kununua pampu mbili kwa ajili ya kituo cha Liwayawaya Kununua kompyuta za mezani 12 na komputa mpakato 8 Kununua pikipiki 10 Kununua gari moja Kujenga maabara ndogo ya maji Kununua simu za kiganjani kwa ajili ya matumizi ya ofisi 2023/24 2024/25 2025/26 200,000,000 200,000,000 200,000,000 281,100,000 105,000,000 33,000,000 22,800,000 33,900,000 33,300,000 25,300,000 28,000,000 28,000,000 25,000,000 12,500,000 12,500,000 25,000,000 25,000,000 50,000,000 50,000,000 31,152,000 6,372,000 18,172,000 10,400,000 10,400,000 5,400,000 90,000,000 2,800,000 178,000,000 1,400,000 900,000 5 Amri ya Mamlaka ya Maji Safi Na Usafi wa Mazingira Lindi (Lindi Wssa), ya Kurekebisha Bei Za Huduma Za Maji Safi Na Usafi wa Mazingira Tangazo la Serikali Na. 798 (Linaendelea.) Kuongeza mtandao wa maji kwa kilometa 3 eneo na Ngongo 88,997,513 Kutanua mtandao wa maji kwa kilometa 7.9 eneo la Kikwetu Kutanua mtandao wa maji kwa kilometa 5.3 eneo la Mradi wa Gesi Asilia JUMLA 230,363,625 287,692,950 685,649,513 794,335,625 872,464,950 ________ JEDWALI LA TATU ________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 3(g)) VIASHIRIA VYA UTENDAJI Maelezo Kizio Idadi ya Watu Iliyofikiwa na Huduma ya Maji Idadi ya Wateja Wapya Uzalishaji wa Maji Kiwango cha Upotevu wa Maji Ufungaji wa Dira Maji Ufanisi wa Ukusanyaji wa Mapato % Na. M3 % % % Lengo la Utendaji 2024/25 90 2023/24 80 2025/26 98 2,000 1,524,240 25 100 95 2,000 1,576,800 20 100 97 1,000 1,646,880 20 100 99 _______ JEDWALI LA NNE ______ (Limetengenezwa chini ya aya ya 3(h)) MAHITAJI WA FEDHA YALIYOIDHINISHWA Maelezo Gharaza za Uzalishaji wa Maji Gharama za Usambazaji wa Maji Gharama za Huduma ya Majitaka Gharama za Matengenezo Gharama za Wafanyakazi Gharama za Utawala Gharama za Matangazo ya Biashara Kiasi (Shilingi Milioni) 2023/24 2024/25 2025/26