9 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba CHN5 yenye majira-nukta 816614.5693MS,
Verify source ↗ AI-assisted research summary: This provision describes the boundary of the Chenene planning area using survey marks, directions, and distances.
0.9 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba CHN5 yenye majira-nukta 816614.5693MS, 9377625.6010KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi katika uelekeo wa KZ219046’47.82’’MG kwa umbali wa kilomita 1.2 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba CHN6 yenye majira-nukta 815505.9228MS, 9378068.5780; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Magharibi katika uelekeo wa KS249002’45.84’’MG kwa umbali wa kilomita 1.2 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba CHN7 yenye majira-nukta 814391.8282MS, 9377641.9445KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Magharibi katika uelekeo wa KS251003’30.09’’MG kwa umbali wa kilomita 0.8 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba CHN8 yenye majira-nukta 813669.7789MS, 9377394.1453KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Mashariki katika uelekeo wa KZ23000’52.41’’MS kwa umbali wa kilomita 1.4 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba CHN9 yenye majira-nukta 814229.3003MS, 9378711.3646KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Magharibi katika uelekeo wa KZ310029’52.14’’MG kwa umbali wa kilomita 0.6 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba CHN10 yenye majira-nukta 8137444.9184MS, 9379125.0339KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Mashariki katika uelekeo wa KZ69040’53.32’’MS kwa umbali wa kilomita 0.3 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba CHN11 yenye majira-nukta 814034.7792MS, 9379232.3632KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Mashariki katika uelekeo wa KZ5053’20.41’’MS kwa umbali wa kilomita 0.7 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba CHN12 yenye majira-nukta 814105.2908MS, 9379915.9732KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Magharibi katika uelekeo wa KZ291023’19.45’’MG kwa umbali wa kilomita 0.6 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba CHN13 yenye majira-nukta 813524.3407MS, 9380143.5133KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Mashariki katika uelekeo wa KZ38022’11.43’’MS kwa umbali wa kilomita 1.01 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba CHN14 yenye majira-nukta 814150.0744MS, 93809333.85KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Mashariki katika uelekeo wa KZ9042’28.18’’MS kwa umbali wa kilomita 0.4 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba CHN15 yenye majira-nukta 814220.5759MS, 9381345.9586KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Magharibi katika uelekeo wa KZ32609’23.37’’MG kwa umbali wa kilomita 1.4 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba CHN16 yenye majira-nukta 813453.2392MS, 9382490.3117KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Magharibi katika uelekeo wa KZ304003’14.32’’MG kwa umbali wa kilomita 1.3 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba CHN17 yenye majira-nukta 812358.2093MS, 9383230.4206KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Mashariki katika uelekeo wa KZ11012’30.89”MS kwa umbali wa kilomita 0.6 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba CHN18 yenye majira-nukta 812481.9651MS, 9383854.9422KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Magharibi katika uelekeo wa KZ310047’54.69’’MG kwa umbali wa kilomita 0.9 hadi 2 Tangazo la Serikali Na.59 (Linaendelea Amri ya Kupanga Eneo la Chenene kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba CHN19 yenye majira-nukta 811832.0277MS, 9384415.9239KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Mashariki katika uelekeo wa KZ20029’25.77’’MS kwa umbali wa kilomita 0.7 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba CHN20 yenye majira-nukta 812091.6413MS, 9385110.6435KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Mashariki katika uelekeo wa KZ42006’54.28’’MS kwa umbali wa kilomita 1.7 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba CHN21 yenye majira-nukta 813234.7850MS, 9386375.1166KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Mashariki katika uelekeo wa KZ75021’19.25’’MS kwa umbali wa kilomita 3.2 hadi ulipoanzia.” Dodoma, 29 Disemba, 2023 JERRY WILLIAM SILAA, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi 3