AI-assisted research summary: Ramani ya eneo lililoainishwa katika Jedwali lazima iandaliwe na kuhifadhiwa na Mkurugenzi wa Mipangomiji pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Msalala.
3. Mpangokina wa eneo lililoainishwa katika Jedwali unaandaliwa na kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipangomiji na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Msalala. ________ JEDWALI _______ (Limeandaliwa chini ya aya ya 2) Eneo la upangaji lipo ndani ya mipaka ifuatayo: “Mpaka unaanzia alama ya mpaka ya upimaji namba SHV 126 yenye majira-nukta 427830MS, 9626462KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Mashariki katika uelekeo wa KS1330MS kwa umbali wa kilomita 1.65 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV 127 yenye majira-nukta 428448MS, 9624924KZ; baada ya hapo 1 Tangazo La Serikali Na. 79 (Linaendelea) Amri ya Kupanga Eneo la Kakola mpaka unaelekea Mashariki katika uelekeo wa MS1210MS kwa umbali wa kilomita 7.37 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV 131 yenye majira-nukta 437134MS, 9623533KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini katika uelekeo wa KZ960KZ kwa umbali wa kilomita 3.88 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV 132 yenye majira-nukta 437858MS, 9627347KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Mashariki katika uelekeo wa MS2550MS kwa umbali wa kilomita 8.40 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV 136 yenye majira-nukta 446639MS, 9627784KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini katika uelekeo wa KZ1060KZ kwa kukatisha mto Bulyanhulu kwa umbali wa kilomita 8.70 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV 121 yenye majira-nukta 449043MS, 9638154KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Magharibi katika uelekeo wa KZ1520MG kwa umbali wa klomita 4.49 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV 254 yenye majira-nukta 448094MS, 9640543KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini- Magharibi katika uelekeo wa KS810MG kwa umbali wa kilomita 3.73 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV 253 yenye majira-nukta 444621MS, 9639167KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Magharibi katika uelekeo wa KZ2430MG kwa umbali wa kilomita 2.40 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV 255 yenye majira-nukta 442818MS, 9640765KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Mashariki katika uelekeo wa MS3180MS kwa umbali wa kilomita 3.00 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba AID 407 yenye majira-nukta 445993MS, 9640795KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Mashariki katika uelekeo wa KZ1190MS kwa umbali wa kilomita 3.01 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV 258 yenye majira-nukta 447436MS, 9643439KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Magharibi katika uelekeo wa MG670MG kwa umbali wa kilomita 8.60 kukatisha mto Bulyanhulu hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV 256 yenye majira-nukta 438893MS, 9644322KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Magharibi katika uelekeo wa MG1630MG kwa umbali wa kilomita kukatisha mto Bulyanhulu hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV 234 yenye majira-nukta 438064MS, 9644163KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Magharibi katika uelekeo wa MG1320MG kwa umbali wa kilomita 15.11 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV 125 yenye majira-nukta 430127MS, 9631298KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini- Magharibi katika uelekeo wa KS1740MG kwa umbali wa kilomita 5.35 hadi ulipoanzia.” Dodoma, 29 Disemba, 2023 JERRY WILLIAM SILAA Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi 2