Amri ya Mgawanyo wa Mali na Madeni ya Iliyokuwa Halmashauri ya Jiji La Dar es Salaam ya Mwaka, 2024
This section states the name of the order.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Order
- Citation
- Amri ya Mgawanyo wa Mali na Madeni ya Iliyokuwa Halmashauri ya Jiji La Dar es Salaam ya Mwaka, 2024
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Publicly available, excluded from search-engine indexing
This page remains available for direct access and API use, but this release emits
noindex,follow for the following reason:
- The record does not meet this release's canonical indexing criteria.
(market-indexing-disabled)
Statute overview
About this statute
This section states the name of the order. This section defines key terms used in the Order, including local councils, property and debts, town authorities, and the responsible Minister. Assets and liabilities from the former Dar es Salaam City Council are to be transferred to the relevant town authority, with any remaining undivided items handled as the Minister directs. Madeni, mali, na kesi zinazohamishwa chini ya Amri hii husogezwa kwa mamlaka ya mji husika; mamlaka hiyo pia inaweza kuendelea na kesi zinazohusiana. Deeds tied to the former Dar es Salaam City Council and transferred property or debts continue to apply, and the related rights and debts are transferred to the city authority.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Amri ya Mgawanyo wa Mali na Madeni ya Iliyokuwa Halmashauri ya Jiji La Dar es Salaam ya Mwaka, 2024
Showing 12 of 12
- 1 Verify source ↗
Amri hii itajulikana kama Amri ya Mgawanyo wa
AI-assisted research summary: This section states the name of the order.
1. Amri hii itajulikana kama Amri ya Mgawanyo wa Mali na Madeni ya iliyokuwa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam ya Mwaka 2024. Tafsiri - 2 Verify source ↗
Katika Amri hii, isipokuwa kama muktadha utahitaji
AI-assisted research summary: This section defines key terms used in the Order, including local councils, property and debts, town authorities, and the responsible Minister.
2. Katika Amri hii, isipokuwa kama muktadha utahitaji vinginevyo- “Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam” maana yake ni iliyokuwa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala; “iliyokuwa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam” maana yake ni Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam iliyovunjwa kupitia Tangazo la Serikali Na. 212B la mwaka 2021; "mali na madeni" inajumuisha mali zinazohamishika na zisizohamishika, haki katika makampuni, mapato, gharama na haki zote, maslahi, wajibu na madeni yanayotokana na mikataba; “mamlaka ya mji” maana yake ni Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni, Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo, Halmashauri ya Manispaa ya Temeke au Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, vyovyote itakavyokuwa; na “Waziri” maana yake ni Waziri mwenye dhamana ya Serikali za Mitaa. Mgawanyo wa mali - 3 Verify source ↗
(1) Mali zote zilizokuwa chini ya
AI-assisted research summary: Assets and liabilities from the former Dar es Salaam City Council are to be transferred to the relevant town authority, with any remaining undivided items handled as the Minister directs.
3.-(1) Mali zote zilizokuwa chini ya iliyokuwa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, ambazo maelezo yake ni kama yalivyoainishwa katika Jedwali, zinahamishwa na kukabidhiwa kwa mamlaka ya mji kwa kuzingatia mgawanyo 1 Amri ya Mgawanyo wa Mali Na Madeni ya Iliyokuwa Halmashauri ya Jiji la Dar Es Salaam Tangazo La Serikali Na. 88 (Linaendelea) ulioainishwa katika Jedwali kuanzia tarehe ya kuanza kutumika kwa Amri hii. (2) Mali au madeni yaliyoainishwa katika aya ndogo ya (1) ambayo yatabaki bila kugawanywa hadi tarehe ya kuanza kutumika kwa Amri hii yatagawanywa na kukabidhiwa kwa mamlaka ya mji husika kwa namna ambayo Waziri ataelekeza. (3) Majengo yote ya umma na mali nyingine zisizohamishika ambazo zilikuwa chini ya iliyokuwa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam ambazo hazijatajwa mahususi katika Jedwali la Amri hii zitakuwa chini ya mamlaka ya mji zilipo. Mgawanyo wa madeni yote yanayohusiana - 4 Verify source ↗
(1) Madeni
AI-assisted research summary: Madeni, mali, na kesi zinazohamishwa chini ya Amri hii husogezwa kwa mamlaka ya mji husika; mamlaka hiyo pia inaweza kuendelea na kesi zinazohusiana.
4.-(1) Madeni na mali zilizohamishwa na kukabidhiwa kwa Amri hii ambayo, kabla ya tarehe ya kuanza kutumika kwa Amri hii yaliyokuwa ya iliyokuwa Halmashauri ya la Dar es Salaam, yanahamishiwa kwa mamlaka ya mji husika kuanzia tarehe ya kuanza kutumika kwa amri hii kwa kuzingatia mgawanyo ulioainishwa katika Jedwali. Jiji (2) Kuanzia tarehe ya kuanza kutumika kwa Amri hii, madeni yote yanayohusika katika aya hii yatachukuliwa kuwa ni madeni ya mamlaka ya mji husika na iliyokuwa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam itaondolewa wajibu kuhusiana na madeni hayo. (3) Kesi au lililofunguliwa na au dhidi ya iliyokuwa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kuhusiana na mali au madeni yoyote yanayohamishiwa kwa mamlaka ya mji kupitia Amri hii, linaweza kufunguliwa, kuendelezwa au kukamilishwa na mamlaka ya mji husika. linaloendelea shauri lolote au Hati - 5 Verify source ↗
Hati zote zinazoihusisha iliyokuwa Halmashauri ya
AI-assisted research summary: Deeds tied to the former Dar es Salaam City Council and transferred property or debts continue to apply, and the related rights and debts are transferred to the city authority.
5. Hati zote zinazoihusisha iliyokuwa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam na zinazohusiana na mali au madeni yaliyohamishiwa kwa mamlaka ya mji kwa Amri hii, zitaendelea kutumika na haki na madeni yote ya iliyokuwa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam chini ya hati hizo yatahamishiwa na kukabidhiwa kwa mamlaka ya mji iliyohamishiwa mali na madeni husika. Mamlaka ya - 6 Verify source ↗
Bila kuathiri masharti yoyote ya Amri hii
AI-assisted research summary: Mamlaka ya mji ina nguvu ya kuchukua hatua za kumiliki na kurejesha mali yoyote, na ya kuhakiki na kutekeleza haki pamoja na kulipa madeni au wajibu uliotolewa chini ya Amri hii.
6. Bila kuathiri masharti yoyote ya Amri hii 2 Amri ya Mgawanyo wa Mali Na Madeni ya Iliyokuwa Halmashauri ya Jiji la Dar Es Salaam Tangazo La Serikali Na. 88 (Linaendelea) mamlaka ya mji yaliyotangulia, inatamkwa kwamba, mamlaka ya mji itakuwa na inaweza kutumia mamlaka yote muhimu au ya lazima- (a) kuchukua hatua stahiki kumiliki na kurejesha mali Mipaka kuhusiana na Amri hii kuwa- yoyote; na (a) kuhakiki na kutekeleza haki yoyote na kulipa madeni au wajibu wowote uliotolewa kwa mamlaka ya mji kwa mujibu wa Amri hii. - 7 Verify source ↗
Hakuna chochote katika Amri hii kitatafsiriwa
AI-assisted research summary: This section says the Order must not be read to validate or change documents, create rights or duties not already provided, revive an ended duty, or remove the Minister’s power to issue guidance.
7. Hakuna chochote katika Amri hii kitatafsiriwa (a) kinahalalisha au kurekebisha au kuhesabiwa kuwa kuhalalisha au kurekebisha hati, masharti au makubaliano yoyote au sharti lolote katika hati inayohusika katika Amri hii; (b) kinatoa kwa au dhidi ya mamlaka ya mji au mhusika mwingine yeyote, haki au wajibu ambao haujatolewa na hati yoyote; (c) kinafufua wajibu wa iliyokuwa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam unaohusika katika Amri hii ambao umekoma kutekelezwa kisheria kabla ya tarehe ya kuanza kutumika kwa Amri hii; (d) kinaondoa mamlaka ya Waziri kutoa miongozo kuhusu usimamizi, ugawaji au ukabidhiwaji wa miradi au kitu chochote ambacho hakijaainishwa mahususi katika Amri hili. JEDWALI ___________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 3(1) na 4(1)) SEHEMU YA KWANZA: MALI NA MADENI YA HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI MALI MAGARI NA MITAMBO 1 2 3 4 5 Suzuki Grand Vitara yenye namba za usajili SM 10539 Ford Ranger yenye namba za usajili SM 10587 Toyota Hilux yenye namba za usajili DFP 8964 Ford Ranger yenye namba za usajili SM 6009f BAJAJ yenye namba za usajili SM12627 3 Amri ya Mgawanyo wa Mali Na Madeni ya Iliyokuwa Halmashauri ya Jiji la Dar Es Salaam Tangazo La Serikali Na. 88 (Linaendelea) VIFAA VYA OFISI Jina: Kompyuta UPS Printa PoS Viti vya Ofisi Meza za Ofisi Makabati ya chuma Makabati ya mbao Makabati ya Vitabu Majokofu Vigoda/Stuli Idadi 4 4 2 5 25 20 08 2 5 2 2 1 2 1 2 1 2 MAJENGO NA VIWANJA Kiwanja ambacho hakijapimwa chenye ukubwa wa ekari 30 kilichopo mtaa wa Gulubwida na Buyuni Kata ya Pembamnazi Wilaya ya Kigamboni; na Kiwanja ambacho hakijapimwa kilichopo Mtaa wa Chekeni Mwasonga kata ya Kisarawe II. FEDHA ZILIZO BENKI Fedha kwenye akaunti ya Benki yenye jina WOMEN YOUTH DISABILITY yenye namba 0001732800002/1 katika benki ya DCB tawi la Uhuru, kiasi cha shillingi za kitanzania 209,368,356.56 Fedha katika Akaunti ya Benki yenye jina LGAs - WOMEN YOUTH DISABILITY yenye namba 9921211101 katika Benki Kuu ya Tanzania yenye kiasi cha shilingi za kitanzania 1,200,000.00 HISA NA GAWIO Hisa 94 889.35 zenye jumla ya shilingi 60,391,263.00/= katika Mfuko wa Uwekezaji (UTT ) Hisa 2,045,699.60 zenye jumla ya kiasi cha shilingi 593,244,184.00/= katika Benki ya Biashara ya Dar es Salaam (DCB) MRADI Mkopo wa uwezeshaji wa Wanawake, Vijana na Watu wenye ulemavu, asilimia 10 Mwaka Aina Mkopo uliotolewa kwa Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni kuanzia mwaka 2016 hadi 2021 2016/17 2017/18 2018/19 2019/20 2020/21 Jumla Mkopo Uliotolewa (shilingi) 38,303,420.00 34,000,000.00 141,000,000.00 122,000,000.00 58,000,000.00 367,300,000.00 Mkopo Uliorejeshwa (shilingi) 9,610,000.00 18,480,000.00 85,790,000.00 40,316,000.00 - 154,196,000.00 Deni lililobaki (shilingi) 28,693,420.00 15,820,000.00 55,210,000.00 81,684,000.00 58,000,000.00 239,407,420.0 0 4 Amri ya Mgawanyo wa Mali Na Madeni ya Iliyokuwa Halmashauri ya Jiji la Dar Es Salaam Tangazo La Serikali Na. 88 (Linaendelea) MADENI
Part
SEHEMU YA KWANZA: MALI NA MADENI YA HALMASHAURI YA MANISPAA YA
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaorodhesha mali, madeni, fedha za benki, hisa, na mikopo/deni za Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni.
1. Deni linalolipwa kwa Chuo Kikuu cha Ardhi - Kitengo cha Ushauri kiasi cha shilingi 22,000,000.00 SEHEMU YA PILI: MALI NA MADENI YA HALMASHAURI YA MANISPAA YA KINONDONI MALI MAGARI NA MITAMBO Toyota Hilux SM yenye namba ya usajili 11746 Suzuki Grand Vitara yenye namba ya usajili SM 6795 Suzuki Grand Vitara yenye namba ya usajili SM 10540 Land Rover yenye namba ya usajili SM 4019 Gari la kubebea wagonjwa aina ya Tata Tempo SM 4478 Nissan Double cabin yenye namba ya usajili DFP 121 Ford Ranger yenye namba ya usajili SM 10578 Ford Ranger yenye namba ya usajili SM 10346 Caterpillar yenye namba ya usajili TZ 60182 Kontena Moja lenye urefu wa futi 20 Pajero Mitsubishi yenye namba ya usajili TZ 88925 Inveco Boza Lifan (Honda) yenye namba ya usajili SM 8046 Lifan (Honda) yenye namba ya usajili SM 7078 Lifan (Honda) yenye namba ya usajili SM 8031 Lifan (Honda) yenye namba ya usajili SM 8063 Mercedece Benz Compressor SM 6037 Jenereta mbili Nissan Double Cabin yenye namba ya usajili DFP 121 Pampu nne za mafuta Honda yenye namba ya usajili SM7082 VIFAA VYA OFISI 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 Kompyuta UPS Printa PoS Viti vya ofisi Meza za ofisi Makabati ya chuma Makabati ya mbao Makabati ya vitabu Majokofu Kigoda/stuli 4 4 2 20 25 20 08 2 5 2 2 5 Amri ya Mgawanyo wa Mali Na Madeni ya Iliyokuwa Halmashauri ya Jiji la Dar Es Salaam Tangazo La Serikali Na. 88 (Linaendelea) Hp Laserjet 42a Hp Laserjet 12a Hp Laserjet 15a Canon Npg 15 Nyeusi Canon Npg 33 Nyeusi Canon Npg 35 Nyeusi Hp Laserjet 49a Office Jet 920xl Margenta Office jet 920xl Njano Office jet 920xl Nyeusi Office jet 920xl Cyan Office jet 920xl Tricolor Hp 45 Nyeusi Canon Npg 15 Nyeusi Emulsion Rangi Nyeupe Wire Marsh (BRC 6mm) Vigae vya sakafu Bodi ya Gypsum Bamba la Chuma Stendi za Turubai Kemikali ya Fit bodi Sbr Fender kwajili ya madirisha ya gari Kofia za Magurudumu Viti vya gari vya kupumzisha kichwa Taa na vifaa mbalimbal vya gari Kava za usukani Redio za gari Loki (vifungio) vya usukani Feni za Mezani. Kava za viti vya gari Rangi aina ya enable kiasi cha lita 20 Sinki za vyoo Mabomba ya PVC urefu wa sentimita mbili na nusu PVC ½ Vigae vya ukutani vyenye ukubwa wa sentimita 30 kwa 30 Mabati (Vipande) Vizima moto vikubwa Mabomba 1 ½ Toroli/mkokoteni 02 04 02 01 01 01 03 03 03 03 01 01 02 02 9 6 1 7 1 1 20 166 7 9 15 7 21 5 1 4 5 4 12 15 32 10 04 45 03 VIFAA VINGINE 6 Amri ya Mgawanyo wa Mali Na Madeni ya Iliyokuwa Halmashauri ya Jiji la Dar Es Salaam Tangazo La Serikali Na. 88 (Linaendelea) Reki Mashine ya kurekebisha gurudumu Swichi ya ubadilisho wa umeme Kiotomatiki 3 X 100 Abb Mashine ya Maji moto na Maji baridi Madirisha Viyoyozi Dirisha la Kioo Printa Pampu za maji Mashine ya kubana karatasi CPU Kioo cha Kompyuta Meza za ofisi Viti vya ofisi vya mbao Viti vya ofisi vya chuma Makabati ya ofisi ya mbao Mashine ya maji moto na maji baridi Vifunika dirisha Printa Cherehani Makabati ya Chuma ya Ukutani Mashine ya horse pipe Mashine ya kutoboa Makabati ya chuma Viti vya Plastiki Milango ya Vioo Meza ya mbao yenye miguu ya chuma Fremu za Aluminiamu Vipande mbalimbali vya Aluminiamu Fremu kubwa za madirisha ya Aluminiamu Bomba za hema Kontena Mabati ya Aluminiamu - G 32 Milango Nguzo za taa za barabarani Mabati ya kujengea Kasiki aina ya Lecco Rada 20 1 1 1 09 06 1 1 2 1 1 1 6 2 6 3 1 2 1 10 08 1 1 7 10 6 1 5 60 6 1 4 38 30 4 50 1 1 7 Amri ya Mgawanyo wa Mali Na Madeni ya Iliyokuwa Halmashauri ya Jiji la Dar Es Salaam Tangazo La Serikali Na. 88 (Linaendelea) – iliyo (Ynma Jenereta Ymg3000x) Hamad Cable Taa za barabarani aina ya Tronic Matangi ya kuhifadhia maji yenye ujazo wa lita 5000 Tangi la kuhifadhia maji yenye ujazo wa lita 2000 Swichi kuu Sanduku la bati Kompyuta zenye kioo bapa CPU Kipaza sauti (Pa) na Amplifaya Kiti cha Aluminiamu chenye nafasi tatu za kukaa. Geti dogo Simu na Vichapishi Mashine ya Pos kamilika. Vichapishi Bila Simu Fagio gumu Fagio la Mkono Brashi za Chooni Chombo cha kuwekea taka Barakoa ya usoni Mabati ya chuma yenye urefu wa futi 20 Makabati ya mbao Madirisha ya Aluminiamu Pampu za kupulizia dawa za kuua wadudu Vitambaa vya Sinema Matangi mekundu ya chuma ya kuhifadhia maji Geti kubwa Taa za barabarani za kuongozea magari Ndoo/diaba la plastiki la maji lenye ujazo wa lita 200 cha Chombo kuwekea taka Kabati la majalada Benchi la mbao Meza ya ofisi Kasiki kuhifadhia kikubwa 1 1 5 3 1 1 1 2 1 2 48 1 430 242 339 10 32 08 06 01 131 35 13 3 24 02 01 02 03 03 01 09 01 01 8 Amri ya Mgawanyo wa Mali Na Madeni ya Iliyokuwa Halmashauri ya Jiji la Dar Es Salaam Tangazo La Serikali Na. 88 (Linaendelea) Ngao ya gari ya Nyuma Kabati la majalada Matairi ya gari CPU aina ya sea nix Feni UPS (24×7) Tc-650 Keyboard CPU aina ya Siemens UPS (Mge) Nova 1100 Printa UPS Kabati la ofisi Printa Jenereta kubwa kelele Dawa aina ya Cypermethrin ya kuuwa wadudu yenye ujazo wa lita 200. Meza za ofisi Kabati la Mbao Birika Viti vya ofisi Mafuta aina ya Dizeli lita 300 (Dead Stock) lisilotoa 01 01 24 01 01 01 01 01 01 01 01 01 01 01 15 08 01 07 28 300 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 1 2 MAJENGO NA VIWANJA Karakana na nyumba iliyokuwa inatumiwa na walinzi iliyopo kwenye kiwanja Namba. 378/1 Kitalu. “B” eneo la Boko mkabala na DAWASA. Kiwanja cha makazi Namba. 2021/5/2/1 kilichopo Msasani Peninsula Jengo la makazi kwenye Kiwanja Namba. 184, Msasani, Uganda Avenue Ghorofa za Makazi na Jengo la Kibiashara Kiwanja. Namba.321; Msasani barabara ya Haile Sellasie Kiwanja Namba. 95 cha Ada Estate Jengo la Makazi Namba 558; lililopo Mikocheni, barabara ya Senga Nyumba ya makazi Kiwanja Na. 189; Msasani, Uganda Avenue. Jengo linalotumiwa na wafanyabiashara wadogo wenye kiwanja cha Pampu ya Mafuta Na.71 Mwananyamala Nyumba za Makazi iliyopo kwenye kiwanja Namba. 288 Msasani ,Toure Drive. Viwanja Namba. 689, 690, na 691 vilivyopo Kunduchi, eneo la machimbo ya mawe. FEDHA ZILIZO BENKI Fedha kwenye akaunti ya benki yenye jina la Women Youth Disability yenye Namba. 0001732800002/1 Benki ya Biashara ya Dar es Salaam, Tawi la Uhuru yenye kiasi cha shilingi za kitanzania 209,368,356.56 Fedha kwenye akaunti yenye jina la LGAs-Women Youth Disability yenye 9 Amri ya Mgawanyo wa Mali Na Madeni ya Iliyokuwa Halmashauri ya Jiji la Dar Es Salaam Tangazo La Serikali Na. 88 (Linaendelea) Namba. 9921211101 Benki Kuu yenye kiasi cha Shilingi za Kitanzania 1,200,000.00 HISA NA GAWIO 1 2 3 4 Hisa vipande 94 889.35 vyenye thamani ya kiasi cha shilingi za kitanzania 60,391,263.00 kwenye Mfuko wa uwekezaji (UTT AMIS) Hisa 205705 kwenye kampuni ya Tanzania Breweries zenye thamani ya Shilingi za Kitanzania 280,180,866.67 Hisa 2045699.60 zilizopo katika Benki ya Biashara ya Dar es Salaam zenye thamani ya shilingi za kitanzania 593,244,184.00 Hisa 53,333 zilizopo kwenye kampuni ya Darbrew Limited zenye thamani ya shilingi za kitanzania 213,333,333.00 MRADI Aina Mkopo uliotolewa kwa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni kuanzia mwaka 2016 hadi 2021 MKOPO WA UWEZESHAJI WA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU ASILIMIA 10. Mwaka Mkopo Uliotolewa (shilingi) 15,000,000.00 145,303,420.00 195,000,000.00 228,000,000.00 39,000,000.00 596,000,000.00 Mkopo Uliorejeshwa(shilin gi) 16,500,000.00 55,749,000.00 82,545,000.00 56,482,000.00 - 211,339,000.00 Deni lililobaki(shilingi) - 89,554,420.00 112,455,000.00 171,512,000.00 39,000,000.00 412,521,420.00 2016/17 2017/18 2018/19 2019/20 2020/21 Jumla MADENI 1 2 3 Deni la kiasi cha Shilingi za Kitanzania 2,665,590.00 linalolipwa kwa Mshale TZ kupitia Nukuu ya bei Namba. 02271 na Hati ya Madai Namba. 679 ya tarehe
Part
SEHEMU YA PILI: MALI NA MADENI YA HALMASHAURI YA MANISPAA YA
- 28 Verify source ↗
08.2013
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaorodhesha mali, fedha, hisa na madeni yanayohusiana na mgawanyo wa mali na madeni ya halmashauri zilizotajwa.
28.08.2013 Deni la kiasi cha Shilingi za Kitanzania 758,892,896.88.00 kwa ajili maegesho ya magari ambayo Kinondoni alikuwa akiidai Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam. Kiasi cha shilingi za kitanzania 776,029,683.00 ambazo Kinondoni ilichangia katika mradi wa EAMEATCO SEHEMU YA TATU: MALI NA MADENI YA HALMASHAURI YA MANISPAA YA UBUNGO MALI MITAMBO NA MAGARI 1 2 3 Suzuki Grand Vitara yenye namba za usajili SM 4224 Toyota Prado yenye namba za usajili SM 4410 Isuzu yenye namba za usajili SM 4623 10 Amri ya Mgawanyo wa Mali Na Madeni ya Iliyokuwa Halmashauri ya Jiji la Dar Es Salaam Tangazo La Serikali Na. 88 (Linaendelea) 4 5 6 7 8 Nissan Double Cabin yenye namba za usajili SM 10341 Mtambo wa lami Mtambo wa Gesi Jenereta Honda yenye namba za usajili SM 8036 VIFAA VYA OFISI Kompyuta UPS Printa PoS Viti vya ofisi Meza za ofisi Makabati ya chuma Makabati Makamati ya vitabu Majokofu Stuli/vigoda Meza za ofisi 4 4 2 15 25 17 04 2 5 2 3 5 1 2 3 4 5 1 2 3 4 5 MAJENGO NA VIWANJA Kiwanja kilichosimikwa Mtambo wa lami uliopo kwenye uzio wa Yadi 6 maeneo ya Port Access Mabibo barabara ya Mandela. Kituo kikuu cha Mabasi cha Magufuli kilichopo kwenye kiwanja Namba .109 Kitalu ‘A’ Mbezi Luis. Kituo cha zamani cha Mabasi cha Ubungo kilichopo kwenye kiwanja Namba. 261 Kitalu 'G' Ubungo. Jengo la Soko Kuu lililopo kwenye Kiwanja namba. 16, Kitalu Namba 40. Eneo la Mabibo. Soko dogo liliopo kwenye Kiwanja Namba.16 Kitalu Namba. 41 eneo la Mawasiliano/Simu 2000. FEDHA ZILIZO BENKI Fedha kiasi cha shilingi za kitanzania 106,148,870.82 katika akaunti ya Amana (Misc Deposit Cash Account) yenye namba 15021142000 tawi kuu la CRDB . Fedha kiasi cha shillingi za kitanzania 209,368,356.56 katika akaunti yenye jina Women Youth Disability yenye namba. 0001732800002/1 katika Benki ya Biashara ya Dar es Salaam Tawi la Uhuru. Fedha kiasi cha Shilingi za Kitanzania. 1,200,000.00 katika akaunti yenye jina la LGAs - Women Youth Disability yenye namba. 9921211101 Benki Kuu ya Tanzania. Fedha kiasi cha shilingi za kitanzania. 259,593,512.37 katika Akaunti yenye jina LGAs - Development Account yenye namba. 9921210301 iliyoko Benki Kuu ya Tanzania kwa ajili Kituo Kikuu cha mabasi cha Magufuli. Fedha kiasi cha shilingi za kitanzania. 112,213,190.75 katika Akaunti yenye jina la LGAs - DEVELOPMENT EXCHEQUE ACCOUNT Na. 9921211001 Benki Kuu ya Tanzania kutoka Serikali kuu. 11 Amri ya Mgawanyo wa Mali Na Madeni ya Iliyokuwa Halmashauri ya Jiji la Dar Es Salaam Tangazo La Serikali Na. 88 (Linaendelea) 1 2 1 1 2 3 4 HISA NA GAWIO Hisa vipande, 94 889.35 katika Mfuko wa Uwekezaji (UTT AMIS) vyenye thamani ya kiasi cha jumla ya shillingi za kitanzania 60,391,263.00 Hisa 2045699.60 zilizopo katika Benki ya Biashara ya Dar es Salaam zenye thamani ya kiasi cha shilingi za kitanzania 593,244,184.00 Kituo kikuu cha Mabasi cha Magufuli kilichopo kwenye Kiwanja Namba 109 Kitalu ‘A’ Mbezi Luis MRADI MADENI Deni la kiasi Shilingi za kitanzania 560,000,000.00 linalolipwa kwa PSSF kwaajili ya makato katika mishahara ya watumishi ya asilimia 15 kwa mwezi Juni, 2020 Deni la kiasi cha shilingi za kitanzania. 4,262,438,248.08 linalolipwa kupititia Cheti cha Sehemu ya malipo (IPC) namba 8, 10 na 12 kwa ajili ya Kituo Kiuu cha Mabasi cha Magufuli. Deni kiasi cha shilingi za kitanzania. 1,105,842,898.31linalolipwa kwa ajili ya ujenzi wa daraja, usimamizi na utafiti wa mwonekano katika Kituo Kikuu cha Mabasi cha Magufuli Kiasi cha shilingi za kitanzania 116,580,000.00 ambazo Ubungo alichangia katika mradi wa EAMEATCO SEHEMU YA NNE; MALI NA MADENI YA HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE MALI 1 2 3 4 5 6 7 8 MITAMBO NA MAGARI Nissan yenye namba za usajili SM 4221 Ford Ranger yenye namba za usajili SM10347 IVECO yenye namba za usajili STJ 22 Toyota Hilux yenye namba za usajili SM11130 Calabrian Fiat Iveco Mtambo wa Kuchakata Taka Ngumu Pikipiki aina ya HONDA yenye namba za usajili SM7084 Jenereta inayotumika Kompyuta UPS Printa PoS VIFAA VYA OFISI 4 4 20 20 12 Amri ya Mgawanyo wa Mali Na Madeni ya Iliyokuwa Halmashauri ya Jiji la Dar Es Salaam Tangazo La Serikali Na. 88 (Linaendelea) 1 1 2 1 2 3 4 Aina Mkopo uliotolewa kwa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke kuanzia mwaka 2016 hadi 2021 Eneo la Dampo lililopo Mtoni kwa Aziz Ally. VIWANJA FEDHA ZILIZO BENKI Fedha kiasi cha shilingi za kitanzania 209,368,356.56 kwenye akaunti yenye jina la Women Youth Disability yenye namba 0001732800002/1 katika Benki ya Biashara ya Dar es Salaam,Tawi la Uhuru. Fedha kiasi cha shilingi za kitanzania 1,200,000.00 kwenye akaunti yenye jina la LGAs-Women Youth Disability yenye namba 9921211101 Benki Kuu ya Tanzania. HISA NA GAWIO Hisa vipande 94889.35 vyenye thamani ya kiasi cha shilingi za kitanzania 60,391,263.00 kwenye Mfuko wa Uwekezaji (UTT AMIS). Hisa 205705 zilizopo kwenye kampuni ya Tanzania Breweries zenye thamani ya Shilingi za Kitanzania 280,180,866.67. Hisa 2045699.60 zilizopo katika Benki ya Biashara ya Dar es Salaam zenye thamani ya shilingi za kitanzania 593,244,184.00. Hisa 53,333 zilizopo kwenye kampuni ya Darbrew Limited zenye thamani ya shilingi za kitanzania 213,333,333.00. MRADI MKOPO WA UWEZESHAJI WA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU ASILIMIA 10. Mwaka Mkopo Uliotolewa (shillingi) 40,000,000.00 2016/1 7 2017/18 157,103,420.00 2018/19 274,000,000.00 2019/20 520,000,000.00 2020/21 Jumla 241,000,000.00 1,205,800,000. 00 Mkopo Uliorejeshwa (shillingi) 35,244,000.0 0 67,212,000.0 0 156,205,000. 00 157,173,000. 00 0 415,834,000. 00 Asilimi a Deni lililobaki(shilling i)
Part
SEHEMU YA NNE; MALI NA MADENI YA HALMASHAURI YA MANISPAA
- 34
AI-assisted research summary: This provision lists municipal assets, bank balances, shares, projects, and debts/claims for the former Dar es Salaam City Council.
34.49 241,000,000.00 816,269,420.00 MADENI 1 2 3 Deni linalolipwa kwa Semvua Enterprises kupitia Nukuu ya bei namba 10064 hati ya madai namba 16165 ya tarehe 16/04/2014 kiasi cha shilingi za kitanzania 820,000.00. Deni la maegesho ya magari ambalo Temeke ilikuwa ikiidai Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaama kiasi cha Shilingi za Kitanzania 1,012,195,239.93. Kiasi cha shilingi za kitanzania 614,783,765.99 ambazo Temeke ilichangia katika mradi wa EAMEATCO. 13 Amri ya Mgawanyo wa Mali Na Madeni ya Iliyokuwa Halmashauri ya Jiji la Dar Es Salaam Tangazo La Serikali Na. 88 (Linaendelea) SEHEMU YA TANO: MALI NA MADENI YA HALMASHAURI YA JIJI LA DAR ES SALAAM 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23 24 25 26 27 28 29 30 31 32 33 34 35 36 37 38 39 40 MALI MITAMBO NA MAGARI Ford Everest yenye namba za usajili SM 4079 Basi la Yutong yenye namba za usajili SM 12230 Tata Tipper yenye namba za usajili SM 10342 Tata Tempo Lori yenye namba za usajili SM 4391 Tata Storm Safari yenye namba za usajili SM 10584 Tata Tipper yenye namba za usajili SM 10537 Isuzu NQR yenye namba za usajili SM 12012 Tata Bus yenye namba za usajili SM 10030 Toyota Prado yenye namba za usajili SM 10401 Suzuki Jimmy yenye namba za usajili SM 6467 Kompakta yenye namba za usajili SM11123 Buludoza yenye namba za usajili SM11004 Eksikaveta yenye namba za usajili SM 11291 Eksikaveta yenye namba za usajili SM13167 Eksikaveta yenye namba za usajili SM 12229 Eksikaveta yenye namba za usajili SM13432 Buldoza yenye namba za usajili SM 13433 Bulldozer yenye namba za usajili SM 11860 Mtambo wa Lami Eksikaveta mbili aina ya Shantui - Hydra yenye namba za usajili SM 11291 Cheni mbili mpya za Bulldozer zenye namba za usajili SM 11004 Belingi 2 na Sili 2, Bulldozer yenye namba za usajili SM 11004 Meno Matano ya Eksikaveti aina ya Shantui yenye namba za usajili SM 13432 Meno matano ya Eksikaveti yenye namba za usajili SM 13167 Kioo kipya cha Eksikaveti yenye namba za usajili SM 11921 Seti Moja ya Vifaa vya matangazo Matangi manne ya kuhifadhia mafuta yenye ujazo wa lita 1000 kwa kila moja Mabomba mawili ya kukusanyia gesi sehemu ya dampo Mashine mbili za kukusanyia hewa ukaa Jenereta Mbili Mashine mbili za kuharibu gesi ya hewa ukaa isiyo na sumu Mashine mbili za kugundua gesi ya hewa ukaa iliyochomwa Mizani miwili ya kupimia uzito wa magari Fogingi mashine mbili Kamera mbili za CCTV Kompyuta sita Kompresa mbili za kujazia upepo Mashine mbili za kupulizia dawa za kuua wadudu yenye injini 9 Seti mbili za Vifaa vya matangazo Matangi mawili ya mafuta 14 Amri ya Mgawanyo wa Mali Na Madeni ya Iliyokuwa Halmashauri ya Jiji la Dar Es Salaam Tangazo La Serikali Na. 88 (Linaendelea) 43 48 Buldozaer mbili Hydra (2)- Bulldozer yenye namba za usajili SM 11004 Seti Moja ya Vifaa vya matangazo VIFAA VYA OFISI Kompyuta UPS Kompyuta mpakato Seva Printa Skana Projekta PoS Router Swichi Acces point Network toolkit Ethernet toolkit Runinga Simu za mezani viti vya ofisi Meza za ofisi Makabati ya chuma Makabati Makabati ya vitabu Kiyoyozi Viti vya Sofa Feni za Dari Majokofu Stuli/kigoda Benchi Machine ya kubana karatasi Ubao wa matangazo Viti vya Ofisi Masofa Meza za Ofisi Shelfu Ubao wa matangazo Kabati la ukutani Kasiki za chuma Makabati ya chuma kiyoyozi Runinga Visimbusi Simu ya mezani Dawati la katibu muhtasi Meza za ofisi Viti vya ofisi 9 3 2 4 2 1 1 62 3 27 3 1 1 2 21 201 131 41 21 71 68 26 46 3 15 4 1 8 10 4 15 1 2 1 3 2 1 1 2 2 1 3 21 15 Amri ya Mgawanyo wa Mali Na Madeni ya Iliyokuwa Halmashauri ya Jiji la Dar Es Salaam Tangazo La Serikali Na. 88 (Linaendelea) Viti vya ofisi Meza za kahawa Feni za dari aina ya National UPS - APC Kioo cha komputa CPU - Printa Keyboard Projekta Mlango Meza Paa Kiyoyozi Viti Kochi Shelfu Makabati Ubao wa matangazo Jokofu Ubao wa Ramani Kiyoyozi Feni Meza Viti kabati Makabati ya chuma Kasiki Kiyoyozi Kabati la kutunzia majalada Meza Makabati ya chuma Shelfu Kabati Viti Feni za dari Meza Viti Kabati Shelfu Stebulaiza Mashine karatasi Makabati Kasiki Viti Feni kudurufu ya 4 2 2 2 1 3 3 1 1 1 5 1 1 8 2 1 3 1 1 1 1 1 33 12 1 2 1 2 1 1 3 4 1 2 3 2 6 1 1 1 1 7 9 13 3 16 Amri ya Mgawanyo wa Mali Na Madeni ya Iliyokuwa Halmashauri ya Jiji la Dar Es Salaam Tangazo La Serikali Na. 88 (Linaendelea) Meza CPU Keyboard Printa Kioo cha kompyuta Stuli/Kigoda Kamera ya CCTV Printa Viti Meza Kabati Feni Kiyoyozi HP Simu ya mezani Kioo cha kompyuta UPS CPU Keyboard Projekta Meza za ofisi Viti vya ofisi Kabati Shelfu za ofisi Kabati mifumo ya tehema Kiyoyozi aina ya samsung Kabati Jokofu Meza Shelfu Kabati Jokofu Viti Kiyoyozi Kompyuta ya mezani Keyboard CPU aina ya HP Printa Spika UPS Simu ya Mezani Mashine ya Kutobolea karatasi Kikokotoo Spika Chelezo ya betri (battery backup) kuhifadhia la 4 1 1 1 1 1 1 1 3 1 1 1 1 1 2 1 1 1 2 2 5 4 1 1 1 1 1 1 2 2 1 1 8 1 2 4 4 2 1 3 1 1 1 2 1 17 Amri ya Mgawanyo wa Mali Na Madeni ya Iliyokuwa Halmashauri ya Jiji la Dar Es Salaam Tangazo La Serikali Na. 88 (Linaendelea) ya kunyonya Kioo cha Kompyuta Meza Viti Makabati HP Keyboard Kompyuta ya mezani Printa Kiyoyozi CPU UPS Mashine vumbi Meza za ofisi Kabati Viti vya ofisi Feni za dari Stuli/Vigoda Kabati la vitabu Kiyoyozi aina ya Spirit Unit Makabati ya vitabu Kabati la majalada Mkono wa simu ya mezani Kizima moto Viti vya ofisi Stuli/Kigoda Meza za ofisi Makabati ya ofisi Shelfu la Ofisi Viyoyozi Printa Kioo cha kompyuta Keyboard CPU Kabati la majalada Feni za dari Mkono wa simu ya mezani Kioo cha kompyuta Keyboard CPU UPS aina ya APC Printa Meza Fani za dari Mkono wa simu ya mezani Viti Kamera ya CCTV 1 2 5 6 2 2 1 1 1 1 2 1 5 1 9 1 1 4 1 2 1 1 1 4 1 4 2 1 2 1 1 1 1 1 1 1 1 1 2 2 1 4 1 1 3 1 18 Amri ya Mgawanyo wa Mali Na Madeni ya Iliyokuwa Halmashauri ya Jiji la Dar Es Salaam Tangazo La Serikali Na. 88 (Linaendelea) kuwekea la Sanduku la Barua Sanduku funguo Viti Benchi Feni ya Dari Makabati Viti Viti Meza Makabati Kiyoyozi Feni Viti Meza Shelfu Printa Makabati Kiyoyozi Feni Stuli/Kigoda Mkabati Ubao wa matangazo Kizima moto Viti Kiyoyozi Makabati Feni Meza Trei ya kuwekea majalada Kioo cha kompyuta Keyboard CPU Printa Skana Mkono wa simu ya mezani Kiyoyozi Meza Runinga Stuli/Vigoda Makochi Viti Shelfu Kasiki Kabati Jokofu Ubao wa matangazo 19 1 1 6 1 1 5 2 8 5 2 1 3 42 8 7 1 2 3 3 1 3 1 - 14 2 4 2 6 1 2 1 2 2 1 1 1 4 3 5 4 3 4 1 1 4 1 Amri ya Mgawanyo wa Mali Na Madeni ya Iliyokuwa Halmashauri ya Jiji la Dar Es Salaam Tangazo La Serikali Na. 88 (Linaendelea) Kabati Stuli/Vigoda Jokofu Vizima moto Mapipa ya plastiki ya maji Keyboard Vioo vya kompyuta Skana CPU UPS Printa Printa CPU Kioo cha Kompyuta Keyboard Simu Kidhibiti (Regulator) Keyboard Kioo cha Kompyuta Skana UPS Meza Makabati Shelfu Shelfu Meza Viti Kiyoyozi CPU Printa Kioo cha kompyuta UPS Keyboard CPU Kipanya (Mouse) Swichi Simu Patch panels Seva Swichi aina ya D-Link Patch panels Swichi aina ya D-Link Patch panels Simu Printa Kioo cha kompyuta Keyboard UPS 1 2 1 3 4 3 2 1 2 2 - 3 2 2 1 3 1 1 1 1 1 2 22 24 2 2 3 1 6 2 6 8 4 4 5 2 1 3 2 2 1 6 1 3 2 3 3 2 20 Amri ya Mgawanyo wa Mali Na Madeni ya Iliyokuwa Halmashauri ya Jiji la Dar Es Salaam Tangazo La Serikali Na. 88 (Linaendelea) kuhesabia CPU Kipanya (Mouse) Simu Kabati Viti Meza Kioo cha Kompyuta CPU UPS Makabati Sofa Shelfu Keyboard Printa Jokofu Kiyoyozi Kizima moto Kasiki Mashine ya kudurufu Kipanya (Mouse) Kompyuta UPS aina ya APC ya Mashine fedha za Noti Skana Makabati Kiyoyozi aina ya Split Unit Makabati ya chuma Shelfu Makabati Meza Viti Jokofu Feni Viyoyozi Kiyoyozi aina ya Split Unit Sofa Printa UPS Kioo cha kompyuta CPU Mashine ya kudurufu Skana Keyboard Kioo cha Kompyuta Kipanya CPU UPS 3 3 2 1 20 18 4 3 1 4 2 2 5 2 1 3 1 1 1 2 1 1 1 1 1 1 3 3 2 12 15 1 2 4 1 2 1 2 2 2 1 1 1 1 1 1 1 21 Amri ya Mgawanyo wa Mali Na Madeni ya Iliyokuwa Halmashauri ya Jiji la Dar Es Salaam Tangazo La Serikali Na. 88 (Linaendelea) kufunga ya Mashine (binding machine) Patch Panel Printa Keyboard Kioo cha kompyuta Kipanya CPU Spika Simu Swichi UPS Router ya telecom Printa CPU Mashine ya Kudurufu Skana Simu Kioo cha kompyuta UPS CPU Keyboard Projekta Viti Shelfu Kiyoyozi Kabati Meza Feni Viti Kiyoyozi Viti Kabati Kizima moto Meza Kiyoyozi Kabati Makabati feni Kiyoyozi Meza Viti Kabati UHP Shelfu Bechi Bahasha nyaraka za kuwekea 1 1 2 4 3 1 3 1 5 3 2 1 1 2 1 1 2 1 1 1 1 2 6 2 1 1 2 1 4 1 25 1 1 3 1 1 5 1 3 6 14 1 2 6 2 2 22 Amri ya Mgawanyo wa Mali Na Madeni ya Iliyokuwa Halmashauri ya Jiji la Dar Es Salaam Tangazo La Serikali Na. 88 (Linaendelea) Meza Viti Printa Kioo cha Kompyuta Feni UPS Makabati Kiyoyozi Meza Viti Feni Printa Kioo cha kompyuta Keyboard CPU Mkono wa simu ya mezani Printa Swichi Kioo cha Kompyuta Keyboard CPU UPS Seva Router Swichi Kompyuta ya mezani Keyboard CPU APS Printa Kioo cha Kompyuta APC Runinga Kisembusi Kompyuta mpakato Printa Kioo cha Kompyuta CPU Simu Kompyuta mpakato Printer Phone Extension Keyboard UPS CPU Kioo cha kompyuta Kioo cha kompyuta Keyboard 4 5 1 1 4 1 2 2 2 3 1 1 1 1 1 1 1 12 5 3 4 2 2 3 2 1 3 4 1 3 2 1 3 1 1 2 1 1 1 1 2 2 2 1 2 2 1 2 23 Amri ya Mgawanyo wa Mali Na Madeni ya Iliyokuwa Halmashauri ya Jiji la Dar Es Salaam Tangazo La Serikali Na. 88 (Linaendelea) CPU UPS aina ya APC 700 Printa Mashine ya kudurufu Phone Extension Printa Kioo cha Kompyuta Printa Phone Extension CPU UPS Ramani ya GPS Komputa Mpakato CPU Kioo cha kompyuta Keyboard UPS Printa Skana Phone Extension Mashine ya Kudurufu Keyboard CPU UPS Kioo cha kompyuta Printa Phone Extension Plotter Access point D-link Meza Jokofu Stuli ya mbao Viti vya ofisi Makabati Makochi Ubao wa matangazo Fani ya Dari Keyboard Printa Meza Stuli/Vigoda Shelfu Makabati Viti vya ofisi Simu Viyoyozi Makochi Feni 1 1 1 1 1 - 3 4 1 1 1 1 1 1 1 1 2 1 1 1 1 19 21 2 1 25 1 2 1 1 3 1 1 1 3 19 1 1 1 1 6 3 3 3 5 1 2 5 2 24 Amri ya Mgawanyo wa Mali Na Madeni ya Iliyokuwa Halmashauri ya Jiji la Dar Es Salaam Tangazo La Serikali Na. 88 (Linaendelea) Kioo cha Kompyuta Keyboard Taa ya mezani UPS aina ya APC Smart Printa Kiuganishi cha Mtandao S/N 10A30C 64830541 Stabiliza aina ya samlex Mkono wa simu ya mezani Meza za ofisi Meza ya Kompyuta Stuli Shelfu Makabati Viti Kiyoyozi Feni Mkono wa simu ya mezani Shelfu Kochi Meza Viti vya ofisi Stuli ya mbao Shelfu la chuma Muhuri wa ofisi Kabati la chuma Feni Tranka Kiyoyozi aina ya Sanyo Meza Viti vya ofisi Mkono wa simu ya mezani Fani ya Dari Kiyoyozi Makabati UPS aina ya APC Kompyuta UPS Kipaza sauti chenye stendi Music system Printa Amplifier Equalizer Exeter, Combiner Filter Simu za mezani Kioo cha kompyuta 1 1 1 2 1 1 1 1 5 1 1 1 2 3 1 1 1 1 1 4 2 3 1 8 1 1 4 1 3 2 2 3 3 3 1 3 2 3 2 1 2 1 1 1 1 2 3 25 Amri ya Mgawanyo wa Mali Na Madeni ya Iliyokuwa Halmashauri ya Jiji la Dar Es Salaam Tangazo La Serikali Na. 88 (Linaendelea) SN:12-0366 year Keyboard UPS aina ya APC Runinga aina ya bapa (flat screen) CPU UPS Phone Extension Printa Panasonic Music system Equalizer, Model: 266xl BS Electronics, Model: RXI-RBR MKII EXETER, Model: EXI- 50D BS Electronics Amplifier Combiner Filter 2012 Power supply 2000 watts Stabilizer, 2000 watts Kompyuta CPU Keyboard Printa Saa ya Ukutani Adopter Viti Kiyoyozi Shelfu Meza Viti CPU Keyboard Kiyoyozi Line power condition Kochi Meza Runinga aina ya Bapa (TV Flat Skrini, inch 42") Kisimbusi cha Azam Kompyuta CPU Keyboard Stendi ya production Maikrofoni Mooring speaker Seva ndogo 2 4 1 2 2 1 1 2 2 1 1 1 2 1 1 1 1 3 3 2 1 1 1 5 1 1 2 2 1 2 1 1 1 1 1 1 1 1 1 1 2 1 1 26 Amri ya Mgawanyo wa Mali Na Madeni ya Iliyokuwa Halmashauri ya Jiji la Dar Es Salaam Tangazo La Serikali Na. 88 (Linaendelea) Mixer ndogo Mfumo wa Muziki (DVD Player) Backups-650 Kompyuta CPU Mfumo wa Muziki Mixer switch Sonyfex Sonifex UPS Stabiliza Equalizer Maikrofoni Monitoring speaker Stendi ya Maikrofoni Amplifier Keyboard Viti Meza Music system table Mixer Table Meza ya Kompyuta Meza ndogo Studio Transmision link Meza Ndogo UPS Backup 650 apc Meza Kabati Mashine Skrini CPU Viti vya mbao Benchi Kiyoyozi Feni ya dari Meza za ofisi Shelfu za ofisi Simu Makabati Makabati Viti vya ofisi Kioo cha Kompyuta Vikombe UPS Keyboard Mashine ya faksi Kiyoyozi 1 1 1 2 2 1 2 1 1 1 1 1 2 2 1 1 2 3 3 1 1 1 1 1 1 1 4 2 6 1 1 3 2 3 6 3 2 2 2 2 3 3 2 1 1 1 1 27 Amri ya Mgawanyo wa Mali Na Madeni ya Iliyokuwa Halmashauri ya Jiji la Dar Es Salaam Tangazo La Serikali Na. 88 (Linaendelea) Fast (Digital Fani ya Dari Simu Printa Patch Panel -Dvr Hikvision Video Recorder)) Switch 10/100 Ethernet Access Points Zana/Vifaa Pos Printa yenye Bluetooth Imei1s Kompyuta UPS Kompyuta mpakato Printa Router Switch Access Point Runinga na Kisimbusi Mashine ya Kudurufu Meza Viti Kabati la vitabu Makabati Jokofu Kiyoyozi Mashine ya maji moto na maji baridi Runinga Kisimbusi cha Azam Mzani CPU Kioo cha kompyuta Keyboard Printa UPS Faksi Kompyuta mpakato Keyboard Runinga Kisimbusi cha Azam Mashine ya Kudurufu Switch Cisco Router Access Point Kisimbusi cha Azam 1 1 1 2 1 2 3 2 118 3 5 5 1 1 4 2 1 2 2 1 5 13 2 2 1 2 1 1 1 1 5 9 5 4 2 1 1 4 2 1 1 16 2 8 1 28 Amri ya Mgawanyo wa Mali Na Madeni ya Iliyokuwa Halmashauri ya Jiji la Dar Es Salaam Tangazo La Serikali Na. 88 (Linaendelea) Kompyuta UPS Kompyuta mpakato Printa Swichi Runinga na Kisimbusi CPU Kioo cha Kompyuta Barcode Reader Kompyuta mpakato D-link Ports Kisimbusi Stabliza APC HP Pros Mashine ya kudurufu Keyboard Kompyuta ya mezani Keyboard CPU APC aina ya UPS Printa Kioo cha kompyuta Runinga Kisimbusi Kioo cha kompyuta Mashine ya faksi UPS Keyboard Phone Extension Router CPU Meza za Ofisi Makabati Jokofu Kiyoyozi Zulia Nyekundu Viti vya Ofisi Sofa Runinga Majoho ya madiwani Viyoyozi Mapazia Simu Stabliza Stuli/Vigoda Kisimbuzi cha Azam Kabati 2 2 5 2 5 2 12 17 1 5 5 1 2 13 6 2 12 1 3 4 2 4 2 1 1 2 1 1 1 1 2 3 10 2 1 2 2 3 8 2 29 2 14 2 2 4 1 1 29 Amri ya Mgawanyo wa Mali Na Madeni ya Iliyokuwa Halmashauri ya Jiji la Dar Es Salaam Tangazo La Serikali Na. 88 (Linaendelea) Viti vya ofisi Kompyuta UPS Printa Maikrofoni MIC Amplifier Optical Switch Access Point Wireless Antenna Simu Runinga na Kisimbusi Spika Viti Viyoyozi Spika Podium Benchi Meza Podium Meza Viti Kabati Sofa Viyoyozi Runinga Zulia Jekundu Jokofu Stuli Joho la Meya Kioo cha kompyuta aina ya Dell CPU HP LaserJet Panasonic Hybrid System Wireless Router Ups Center 700 APC Smart UPS 1500 Runinga Bapa Simu Sofa Meza ya kahawa Stuli/Vigoda Trei ya Mbao Viyoyozi Meza ya kahawa Stuli/Kigoda Trei ya mbao 1 3 2 1 8 6 2 1 1 2 4 3 9 78 8 4 1 1 1 1 5 3 3 3 2 1 2 1 1 29 2 3 1 1 1 1 1 1 3 6 2 6 1 2 2 6 1 30 Amri ya Mgawanyo wa Mali Na Madeni ya Iliyokuwa Halmashauri ya Jiji la Dar Es Salaam Tangazo La Serikali Na. 88 (Linaendelea) Runinga Benchi Meza ya mikutano Viti Viyoyozi Projekta Meza Benchi la Mbao Spika aina ya Ahuja Wireless Antenor Ukumbi wa watu maalumu Runinga Bapa Stablaiza Amplifier Meza Professional Wireless Microphone With Receiver Set Column Speaker Podium Stand Mic Stendi ya Maikrofoni Kabati Optical Switch Viti Meza Sofa Feni ya kusimama Kabata la kutunza majalada Mashine ya kunyonya vumbi Chombo kuhifadhia taka Toroli Mifagio ya fimbo Jenereta Matangi Kisimbusi cha Azam Meza Viti Feni ya Kusimama Iddler Truck Chain Viyoyozi Taa Viti Meza Makusheni ya viti Feni kikubwa cha 1 45 1 19 16 3 10 12 3 2 1 1 1 2 4 5 2 2 3 1 1 17 5 1 2 1 1 6 13 7 1 7 2 2 3 2 2 2 12 47 400 40 400 12 31 Amri ya Mgawanyo wa Mali Na Madeni ya Iliyokuwa Halmashauri ya Jiji la Dar Es Salaam Tangazo La Serikali Na. 88 (Linaendelea) Milango Vyoo Mapazia Sinki Matangi yenye ujazo wa lita 10000 Jenereta Motor ya maji safi Mahema Toys za farasi kwa watoto Benchi Michezo ya watoto Bembea Zulia 17 9 58 12 1 1 1 2 16 9 2 10 Mita 100 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 1 2 3 MAJENGO NA VIWANJA Hifadhi ya Biashara (Machinga Complex) Kiwanja Namba. 1 hadi 21 Kiwanja Namba.2217/2/168, Old Boma Jengo la makao makuu ya ofisi ya Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam Kiwanja Namba. 628/1/107 Jengo la maegesho ya magari lililopo eneo la kati lililopimwa , barabara ya Morogoro Mahakama ya Jiji la Dar es Salaam Kiwanja Namba. 611/41 Ukumbi wa Karimjee uliopo kwenye eneo ambalo halijapimwa; ulio pakana na barabara za Samora/Sokoine/ Lithuli. Eneo la Dampo ambalo lipo kwenye eneo ambalo halijapimwa lililopo Pugu Kinyamwezi. Ukumbi wa DRIMP uliopo kwenye maeneo ya maduka saba kwenye Makutano ya Soko la Karume na Mtaa wa Uhuru Kiwanja chenye ukubwa wa mita za mraba 5,328.65 Kwenye eneo lililopimwa kwa huduma za Biashara Buguruni Rozana (Nyuma ya Kituo cha Polisi Buguruni) Kiwanja Namba 1-6 (Ex-KILITEX) kilichopo Gongo la Mboto. Majengo ya Biashara yanayozunguka shule ya sekondari ya Benjamin Mkapa yaliyopo kwenye eneo lisilopimwa kwenye mtaa wa uhuru ,Ilala. Jengo la mradi wa utafiti wa Malaria; UPANGA Eneo la wazi lililojengwa Vyoo vya Kulipia na Vibanda vya Biashara Vinavyohamishika barabara ya Gymkhana/ Obama. Jengo la DDC KARIAKOO lililopo kwenye Kiwanja Namba. 19 Kitalu “8” MSIMBAZI KARIAKOO FEDHA ZILIZO BENKI Fedha kiasi cha shilingi za kitanzania 469,172,675.06 kwenye akaunti yenye jina Own Source Collection Namba 150211141600 CRDB iliyopo tawi la Premier. Fedha kiasi cha shilingi za kitanzania 135,048,425.08 katika akaunti ya Imprest Namba 0150211846200 CRDB tawi la Premier . Fedha kiasi cha shilingi za kitanzania 153,827,062.22 kwenye akaunti ya 32 Amri ya Mgawanyo wa Mali Na Madeni ya Iliyokuwa Halmashauri ya Jiji la Dar Es Salaam Tangazo La Serikali Na. 88 (Linaendelea) 4 5 6 7 8 9 1 2 3 4 5 6 7 8 1 2 3 4 5 6 Amana (Misc Deposit Cash Account) yenye namba 150211142000 CRDB tawi la Premier. Fedha kiasi cha shilingi za kitanzania 209,368,356.56 kwenye akaunti ya Women Youth Disability lenye Namba 0001732800002/1 DCB - Tawi la Uhuru. Akaunti kiasi cha shilingi za kitanzania1,200,000.00 yenye jina LGAs - Women Youth Disability yenye Namba 9921211101 Benki Kuu ya Tanzania ambazo zitatumika Kulipia Vocha Zisizolipwa Fedha kiasi cha shilingi za kitanzania101,718,009.22 kwenye Akaunti yenye jina LGAs - General Fund yenye Namba 9921210101 Benki Kuu ya Tanzania ambazo zinasubiri Kuidhinishwa. Fedha kiasi cha shilingi za kitanzania 135,237,100.00 kwenye Akaunti yenye jina LGAs - Personal Emolument yenye Namba 9921210801 Benki Kuu ya Tanzania yenye - (Dummy Payments) Fedha kiasi cha shilingi za kitanzania 68,225,358.69 kwenye Akaunti yenye jina LGAs - Miscellaneous Deposit yenye Namba 9921169787 Benki Kuu ya Tanzania Fedha kiasi cha shilingi za kitanzania 12,771,800.00 kwenye Akaunti yenye jina LGAs - OTHER CHARGES yenye Namba 9921210901 Benki Kuu ya Tanzania. HISA NA GAWIO Hisa vipande 94 889.35 katika Mfuko wa Uwekezaji (UTT) zenye thamani ya shilingi za kitanzania 60,391,263.00. Hisa 205 705 kwenye kampuni ya Tanzania Breweries zenye thamani ya shilingi za kitanzania 280,188,158.00 Hisa 2045699.60 zilizopo katika benki ya Biashara ya Dar es Salaam (DCB) zenye thamani ya shilingi za kitanzania 593,244,184.00 Hisa 11690 zilizoko katika kiwanda cha simenti cha Tanga zenye thamani ya shilingi za kitanzania 7,014,000,00 Hisa 10000 katika kampuni ya NICOL, zenye thamani ya shilingi za kitanzania 1,980,000.00 Hisa 53333 zilizopo kwenye kampuni ya Darbrew Limited zenye thamani ya shilingi za kitanzania 213,333,333.00 Hisa asilimia 51 katika shirika la Masoko ya Kariakoo Hisa asilimia 100 katika Shirika la Maendeleo la Dar es Salaam (DDC) MIRADI Uwanja wa burudani wenye maduka 22, Kumbi mbili, vyoo vya umma, uwanja wa michezo wa watoto katika uwanja wa DRIMP. Dampo la Pugu Kinyamwezi Mradi wa kuboresha miundombinu ya taka jijini Dar es Salaam Mradi wa Mbolea kwa kushirikiana na Jiji dada la Hamburg Mradi wa kudhibiti hewa Eneo la Viwanda vidogo vilivyopo Mwananyamala 33 Amri ya Mgawanyo wa Mali Na Madeni ya Iliyokuwa Halmashauri ya Jiji la Dar Es Salaam Tangazo La Serikali Na. 88 (Linaendelea) 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23 MADENI NA MADAI Deni linalolipwa kwa watoa huduma na wakandarasi shilingi za kitanzania 29,641,268.00 Deni la Kodi ya zuio la shilingi za kitanzania 1,300,000.00 Deni la posho ya kukaimu ambayo haijalipwa shilingi za kitanzania 75,611,830. Deni la NHIF; Kwa makato ya asilimia 6 kwa Mwezi Juni, 2020 Shilingi za kitanzania 1,513,740.00 Deni la PSSF; Kwa makato katika mishahara ya watumishi ya asilimia 15 kwa mwezi Juni, 2020 Shilingi za kitanzania 6,799,800.00 Deni la malimbikizo ya mishahara kwa watumishi la Shilingi za Kitanzania 61,410,830.42 Deni la malipo ambayo hayajalipwa Vocha zinazosubiri Kuidhinishwa la shilingi za Kitanzania 83,286,627.80 Deni la mafuta kwa PUMA Energy Supplies Ltd la shilingi za kitanzania 30,795,876.00 Deni la Motorsach International (T) Ltd S.L.P 7167 Dar es Salaam kwa kukodi Bulldozer na Excavator la shilingi za kitanzania 172,000.0014 Deni la NSSF kwaajili ya ujenzi wa jengo la Machinga Complex la shilingi za kitanzania 14,391,504,595.30 Deni la NSSF kwa Riba na adhabu inayotokana na gharama ya ujenzi Machinga Complex la shilingi za kitanzania 14,057,897,423.65 Deni linalolipwa kwa NHIF kwa mwezi Desemba, 2015 hadi Juni, 2018 la shilingi za kitanzania 57,493,938.00 Deni la gawio la ada ya maegesho ya magari la shilingi za kitanzania 399,600,113.88 Deni linalolipwa kwa kampuni ya Group Security Co Ltd kwa amri ya Mahakama la shilingi za kitanzania 600,000,000.00 Deni la posho ya kukaimu madaraka la shilingi za kitanzania 75,611,830.00 Deni la Sustainable solutions Consultancy Ltd la shilingi za kitanzania 38,430,000.00 Deni la Huduma ya Ushauri ya Dyanarch la Shilingi za kitanzania 303,799,000.00 Deni la watoa huduma za stationary na nyingine la shilingi za kitanzania 50,030,268.42 Deni la masurufu ambayo hayajarejeshwa la shilingi za kitanzania 1,756,000.00 Deni la mawakala wa Mapato la shilingi za kitanzania 238,263,225.00 Deni la Maeneo yaliyo kodishwa kwa Break point ya shilingi za kitanzania 24,620,731.52 Deni la pango la vibanda vya biashara vinavyozunguka Shule ya Sekondari Benjamin W. Mkapa la shilingi za kitanzania 404,218,116.40 Kiasi cha shilingi za kitanzania 1,044,680,000.00 ambazo Ilala ilichangia katika mradi wa EAMEATCO Na
Part
SEHEMU YA TANO: MALI NA MADENI YA HALMASHAURI YA JIJI LA DAR ES
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: This section refers to a firearm identified as a S/G 12 BORE gun with serial number R379386 and licence number 34, and mentions an order on division of assets and liabilities of the former Dar es Salaam City Council.
1. SILAHA ( BUNDUKI NA BASTOLA) Bunduki aina ya S/G 12 BORE yenye namba R379386 na leseni namba 34 Amri ya Mgawanyo wa Mali Na Madeni ya Iliyokuwa Halmashauri ya Jiji la Dar Es Salaam Tangazo La Serikali Na. 88 (Linaendelea) - 15 Verify source ↗
Section 15
AI-assisted research summary: This section lists several firearms and pistols, with their serial numbers, license numbers, condition, and storage locations.
15. 00083881iliyo nzima imehifadhiwa Amari Bunduki aina ya S/G 12 BORE yenye namba P5691571 na leseni namba 00078264 ikiwa nzima imehifadhiwa Amari. Bunduki aina ya S/G 12 BORE yenye namba MV.60941P na leseni namba 00098414 imehifadhiwa Amari ambayo ni nzima Bunduki aina ya S/G 12 BORE yenye namba L.679496 bila leseni ikiwa mbovu imehifadhiwa Amari Bunduki aina ya S/G 12 BORE yenye namba P576589 na leseni namba 00078261 ikiwa nzima imehifadhiwa Amari Bunduki aina ya S/G 12 BORE yenye namba R.017648 na leseni namba 00078262 iliyoko Karimjee Hall ambayo ni nzima Bunduki aina ya S/G 12 BORE yenye Namba R379385 na leseni namba 00083882 imehifadhiwa Amari ikiwa ni nzima. Basitola aina ya PISTOR BERRETA yenye namba B78601W na leseni namba 58191 ikiwa nzima imehifadhiwa Amari Bastola aina ya PISTOR REVOLVER yenye namba B70465 yenye leseni namba 46139 nzima ikiwa imehifadhiwa Amari Bunduki aina ya S/G 12 BORE yenye namba L356432 isyo na leseni ikiwa nzima na imehifadhiwa Amari Bunduki aina ya S/G 12 BORE yenye namba L 355422 isiyo na leseni ipo Machinga Complex iliyo mbovu Bunduki aina ya S/G 12 BORE yenye namba L 356030 bila leseni ikiwa mbovu imehifadhiwa Amari Bunduki aina ya S/G 12 BORE yenye namba R 017649 na leseni namba 00078263 ikiwa mbovu na imehifadhiwa Amari Bunduki aina ya S/G 12 BORE yenye namba L.652112 ikiwa mbovu na imehifadhiwa Amari. Bunduki aina ya S/G 12 BORE yenye namba L.652362 isiyo na leseni ikiwa mbovu na imehifadhiwa Amari Dodoma, 20 Januari, 2024 MOHAMED OMARY MCHENGERWA Waziri wa Nchi - Ofisi ya Rais (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa) 35
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Amri ya Mgawanyo wa Mali na Madeni ya Iliyokuwa Halmashauri ya Jiji La Dar es Salaam ya Mwaka, 2024
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in