AI-assisted research summary: Mipango kina ya eneo lililotajwa lazima iandaliwe na kuhifadhiwa na viongozi waliotajwa.
3. Mipango kina katika eneo lililotajwa chini ya aya 2 itaandaliwa na kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipango Miji na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. 1 Amri ya kurasimisha Makazi yasiyopangwa Eneo la Viwanda Mbezi Tangazo la Serikali Na. 348 (Linaendelea) ___________ JEDWALI ____________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) Eneo la urasimishaji lipo ndani ya mipaka ifuatayo: “Unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SH57 yenye majira–nukta 521484.615MS, 9259340.717KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki kwa umbali wa kilomita 0.44 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba DZN750 yenye majira–nukta 521753.479MS, 9258987.381KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi kwa umbali wa kilomita 0.019 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba DZN751 yenye majira–nukta 521749.246MS, 9258968.331KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi kwa umbali wa kilomita 0.24 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba DZN747 yenye majira – nukta 521564.893MS, 9258817.149KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki kwa umbali wa kilomita 0.18 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SF979 yenye majira – nukta 521674.633MS, 9258670.277KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki kwa umbali wa kilomita 0.38 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba YE750 yenye majira – nukta 521984.657MS, 9258902.197KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi kwa umbali wa kilomita 0.34 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba YE724 yenye majira – nukta 522187.801MS, 9258629.442KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi kwa umbali wa kilomita 0.14 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SF952 yenye majira – nukta 522072.413MS, 9258543.47KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi kwa umbali wa kilomita 0.24 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SF951 yenye majira – nukta 521895.414, 9258376.391KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi kwa umbali wa kilomita 0.044 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SH37 yenye majira - nukta 521869.783MS, 9258340.052KZ; baada ya apo mpaka unaelekea Kusini – Magharibi kwa umbali wa kilomita 0.083 hadi kwenye majira – nukta 521790.833MS, 9258314.46KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi kwa umbali wa kilomita 0.11 hadi kwenye majira – nukta 521824.523MS, 9258207.74KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki kwa umbali wa kilomita 0.14 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba DZK504 yenye majira ya nukta 521959.721MS, 9258251.674KS; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki kwa umbali wa kilomita 0.093 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SH52 yenye majira – nukta 521989.445MS, 9258163.306KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi kwa umbali wa kilomita 0.14 hadi kwenye majira – nukta 521853.083MS, 9258118.332KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki kwa umbali wa kilomita 0.089 hadi kwenye majira – nukta 521880.378MS, 2 Amri ya kurasimisha Makazi yasiyopangwa Eneo la Viwanda Mbezi Tangazo la Serikali Na. 348 (Linaendelea) 9258032.837KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki kwa umbali wa kilomita 0.14 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SH51 yenye majira ya nukta 522017.323MS, 9258077.609KZ;baada ya apo mpaka unaelekea Kusini – Mashariki kwa umbali wa kilomita 0.089 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SH50 yenye majira – nukta 522045.893MS, 9257992.484KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi kwa umbali wa kilomita 0.14 hadi kwenye majira – nukta 521908.874MS, 9257947.143KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki kwa umbali wa kilomita 0.09 hadi kwenye majira –nukta 521938.431MS, 9257861.893KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazin - Mashariki kwa umbali wa kilomita 0.14 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SH49 yenye majira – nukta 522073.73MS, 9257907.148KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki kwa umbali wa kilomita 0.089 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SH48 yenye majira – nukta 522101.932MS, 9257821.926KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki kwa umbali wa kilomita 0.13 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba YE647 yenye majira – nukta 522226.712MS, 9257863.462KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki katika kwa umbali wa kilomita 0.18 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba YE649 yenye majira – nukta 522273.042MS, 9257719.120KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi kwa umbali wa kilomita 0.57 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SH3 yenye majira – nukta 521736.726MS, 9257513.386KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazin - Magharibi kwa umbali wa kilomita 0.71 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SH19 yenye majira – nukta 521509.933MS, 9258195.006KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki kwa umbali wa kilomita 0.12 hadi kwenye majira – nukta 521622.185MS, 9258234.295KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini -Magharibi kwa umbali wa kilomita 0.42 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba DBE726 yenye majira – nukta 521382.192MS, 9258578.891KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini kwa umbali wa kilomita 0.043 hadi kwenye majira – nukta 521381.532MS, 9258622.028KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki kwa umbali wa kilomita 0.32 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SH72 yenye majira – nukta 521419.328MS, 9258935.127KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki kwa umbali wa kilomita 0.097 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SH64 yenye majira – nukta 521405.938MS ,9258031.393KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi kwa umbali wa kilomita 0.2 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SH31 yenye majira – nukta 521284.703MS, 9259191.259KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki kwa umbali wa kilomita 0.25 hadi ulipoanzia”. Dodoma 25 Aprili, 2024 JERRY WILLIAM SILAA Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi 3