AI-assisted research summary: Usimamizi wa eneo la Jumuiya ya Hifadhi ya Wanyamapori Chamwino uko chini ya Jumuiya Iliyoidhinishwa ya Chamwino, na eneo linaelezwa kwa mipaka na ukubwa wake.
3. Usimamizi wa Eneo la Jumuiya ya Hifadhi ya Wanyamapori Chamwino utakuwa chini ya Jumuiya Iliyoidhinishwa ya Chamwino. _______ JEDWALI ________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) HALMASHAURI YA WILAYA YA CHAMWINO JUMUIYA YA HIFADHI YA WANYAMAPORI CHAMWINO Makadirio ya Eneo: Hekta 9,247 au Kilometa za Mraba 92.47.87 Inakopatikana na Mipaka ENEO LA JUMUIYA YA HIFADHI YA WANYAMAPORI CHAMWINO KIJIOGRAFIA 1 Amri ya Kutangaza Jumuiya ya Hifadhi ya Wanyamapori Chamwino Tangazol Serikali Na. 441 (Linaendelea) Jumuiya ya Hifadhi ya Wanyamapori Chamwino imepakana na maeneo yafuatayo kijiografia; Upande wa Kaskazini imepakana na eneo lililotengwa kwa ajili ya malisho katika kijiji cha Ndogowe, upande wa Mashariki imepakana na eneo lililotengwa kwa shughuli za malisho katika kijiji cha Mlazo, upande wa Kusini imepakana na Jumuiya ya Hifadhi ya Wanyamapori MBOMIPA iliyopo Mkoa wa Iringa ambayo inatenganishwa na Mto Kizigo na upande wa Magharibi imepakana na eneo la Kijiji cha Chinugulu likitenganishwa na Mto Tundu. Eneo hili lipo katika mfumo ikolojia wa Ruaha-Rungwa inayojumuisha Hifadhi ya Taifa ya Ruaha; Mapori ya Akiba ya Rungwa, Kizigo na Muhesi; na Jumuiya ya Hifadhi ya Wanyamapori MBOMIPA. MAELEZO YA MPAKA WA ENEO LA JUMUIYA YA HIFADHI YA WANYAMAPORI CHAMWINO KWA KUTUMIA MAJIRA YA NUKTA Eneo la Jumuiya ya Hifadhi ya Wanyamapori Chamwino linaanzia upande wa Kaskazini Mashariki kwenye Jira nukta CMN1 (797426E, 9230572S) ambapo ni mpaka kati ya kijiji cha Mlazo na Ndogowe. Mpaka unaelekea Kusini Magharibi kufuata mpaka wa vijiji tajwa hadi jira nukta CMN2 (795901E,9229098S) katika Korongo la Nhawa, kisha unaelekea Kusini Magharibi kufuata mpaka wa vijiji tajwa hadi Jira nukta CMN3(793493E,9227357S), kisha kuelekea Kusini Mashariki kupitia jira nukta CMN4(739599E,9227215S),CMN5(739726E,9226972S),CMN6 (793895E,9226570S), CMN7(794015E,92264585S),CMN8(794326E,9226435S). jira nukta CMN10 Kisha mpaka utaelekea CMN9 (795336E,9225126S) kwenye korongo la Nkwambe, kisha mpaka unaelekea upande wa Kusini kupitia jira nukta CMN11 (795303E,9225002S), CMN12 (795596E,9224340S), CMN13 (796020E,9221739S), CMN14 (795932E,921192S) hadi jira nukta CMN15 (796338E,9220518S), kisha mpaka unaelekea Mashariki kupitia jira nukta CMN16 (797251E,9220293S) katika korongo la Nhawa, CMN17 (798594E,9220115S) mpaka wa Hifadhi ya Bwawa la Mtera, CMN18 (800191E,9219857S), CMN19 (802122E,9220254S) hadi jira nukta CMN20 (802333E,9220780S) kwenye mpaka wa Bwawa la Mtera. (794763E,9226061S),mpaka Kisha mpaka utaelekea upande wa Kusini kufuata mpaka wa Bwawa la Mtera hadi jira nukta CMN21 (803618E,9215922S) ambapo mto Kizigo unaingiza maji kwenye Bwawa la Mtera, Kisha mpaka unaelekea upande wa Kaskazini Magharibi kufuata mto Kizigo hadi jira nukta CMN22 (783643E,9224919S) kwenye makutano ya mto Kizigo na mto Tundu. Kisha mpaka unaelekea Kaskazini kufuata mto Tundu hadi jira nukta CMN23 (783841E,9227572S), kisha mpaka unaelekea Mashariki (784036E,9227638S), CMN25 (786848E,9227405S) kwenye korongo la Chilonwa hadi jira nukta CMN26 (788156E,9227456S). nukta CMN24 kupitia jira Kisha mpaka unaelekea Kaskazini Mashariki kupitia jira nukta CMN27 (788202E,9227690S), CMN28 (788507E,9228026S), CMN29 (789066E,9228261S), CMN30 (789419E,9228340S), CMN31 (789523E,9228433S), CMN32 (789548E,9228598S), CMN33 (789701E,9228865S), CMN34 (789752E,9228903S), CMN35 (789872E,9228903S), CMN36 (790056E,9228814S) hadi jira nukta CMN37 (790234E,9228750S). (790728E,9228721S) kwenye vyanzo vya korongo Kisha mpaka unaelekea upande wa Mashariki kupitia jira nukta CMN38 (790520E,9228693S), la Nkwambe, CMN40 CMN39 (790768E,9228839S), CMN41 (791025E,9228860S), CMN42 (791395E,9228427S) hadi jira nukta CMN43 (791935E,9228429S), kisha mpaka unaelekea upande wa Kaskazini Mashariki kupitia jira nukta CMN44 (792510E,9229417S), CMN45 (793862E,9229924S), CMN46 (794817E,9230267S) kwenye korongo la Nhawa, CMN47 (795027E,9230350S), CMN48 (795417E,9230385S), CMN49 (795538E,9230151S), CMN50 (795905E,9230427S), CMN51 (796087E,9230443S), CMN52 (796558E,9230741S), CMN53 (797256E,9230801S), CMN54 (797345E,9230764S) hadi jira nukta CMN1 (797426E,9230572S) mwanzo wa mpaka wa Jumuiya ya Hifadhi ya Wanyamapori CHAMWINO. 2 Amri ya Kutangaza Jumuiya ya Hifadhi ya Wanyamapori Chamwino Tangazol Serikali Na. 441 (Linaendelea) MIPAKA YA ENEO LA JUMUIYA YA HIFADHI YA WANYAMAPORI CHAMWINO Kigingi X Y Maelezo CMN 1 CMN 2 CMN 3 CMN 4 CMN 5 CMN 6 CMN 7 CMN 8 CMN 9 CMN 10 CMN 11 CMN 12 CMN 13 CMN 14 CMN 15 CMN 16 CMN 17 CMN 18 CMN 19 CMN 20 797426 9230572 Mpaka wa vijiji vya Mlazo na Ndogowe (Mwanzo) 795901 9229098 Korongo la Nhawa 793493 9227357 793599 9227215 793726 9226972 793895 9226570 794015 9226485 794326 9226435 794763 9226061 795336 9225126 Korongo la Nkwambe 795303 9225002 795596 9224340 796020 9221739 795932 9221192 796338 9220518 797251 9220293 Korongo la Nhawa 798594 9220115 Mpaka wa Hifadhi ya Bwawa la Mtera 800191 9219857 802122 9220254 802333 9220780 Bwawa la Mtera CMN 20- CMN 21 Kufuata mpaka wa Bwawa la Mtera (Curvilinear) CMN 21 803618 9215922 Mto Kizigo unapoingia Bwawa la Mtera 3 Amri ya Kutangaza Jumuiya ya Hifadhi ya Wanyamapori Chamwino Tangazol Serikali Na. 441 (Linaendelea) Kigingi X Y Maelezo CMN 21- CMN 22 Kufuata Mto Kizigo mpaka unapokutana na Mto Tundu (Curvilinear) CMN 22 783643 9224919 Makutano ya Mto Tundu na Kizigo CMN 22- CMN 23 Kufuata Mto Tundu mpaka kwenye jira nukta CMN 23 (Curvilinear) CMN 23 CMN 24 CMN 25 CMN 26 CMN 27 CMN 28 CMN 29 CMN 30 CMN 31 CMN 32 CMN 33 CMN 34 CMN 35 CMN 36 CMN 37 CMN 38 CMN 39 CMN 40 CMN 41 CMN 42 783841 9227572 784036 9227638 786848 9227405 Korongo la Chilonwa 788156 9227456 788202 9227690 788507 9228026 789066 9228261 789419 9228340 789523 9228433 789548 9228598 789701 9228865 789752 9228903 789872 9228903 790056 9228814 790234 9228750 790520 9228693 790728 9228721 Vyanzo vya Korongo la Nkwambe 790768 9228839 791025 9228860 Vyanzo vya Korongo la Nkwambe 791395 9228427 4 Amri ya Kutangaza Jumuiya ya Hifadhi ya Wanyamapori Chamwino Tangazol Serikali Na. 441 (Linaendelea) Kigingi X Y Maelezo CMN 43 CMN 44 CMN 45 CMN 46 CMN 47 CMN 48 CMN 49 CMN 50 CMN 51 CMN 52 CMN 53 CMN 54 CMN 1 791935 9228429 792510 9229417 793862 9229924 794817 9230267 Korongo la Nhawa 795027 9230350 795417 9230385 795538 9230151 795905 9230427 796087 9230443 796558 9230741 797256 9230801 797348 9230764 797426 9230572 Mpaka wa vijiji vya Mlazo na Ndogowe (Mwanzo) Mfumo uliotumika :Datum: WGS 1984, UTM Zone 36S 5 Amri ya Kutangaza Jumuiya ya Hifadhi ya Wanyamapori Chamwino Tangazol Serikali Na. 441 (Linaendelea) Dodoma, 28 Mei, 2024 Waziri wa Maliasili na Utalii ANGELLAH J. KAIRUKI 6