AI-assisted research summary: Mipango kina ya eneo lililo kwenye Jedwali lazima iandaliwe na kuhifadhiwa na Mkurugenzi wa Mipango Miji pamoja na Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Bariadi.
3. Mipango kina katika eneo lililoainishwa kwenye Jedwali itaandaliwa na kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipango Miji na Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Bariadi. _________ JEDWALI _________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) Eneo la urasimishaji lipo ndani ya mipaka ifuatayo:- “Unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba DT1 yenye majira – nukta 607141MS, 9726793KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki katika uelekeo wa KS94053’29”MS kwa umbali wa kilomita 0.8 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba DT2 yenye majira – nukta 608000MS, 9726708KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki katika uelekeo wa KS152045’8”MS kwa umbali wa kilomita 2.7 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba VB355 yenye majira – 1 Amri ya Kurasimisha Makazi Yasiyopangwa Eneo la Dutwa Tangazo la Serikali Na. 731 (Linaendelea) nukta 609403MS, 9723984KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki katika uelekeo wa KS168058’49”MS kwa umbali wa kilomita 0.5 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba NP1 yenye majira – nukta 609514MS, 9723414KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki katika uelekeo wa KS171028’32”M kwa umbali wa kilomita 0.4 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba DT3 yenye majira – nukta 609583.9MS, 9742203KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa KS187040’72”MG kwa umbali wa kilomita 0.3 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba NP1 yenye majira – nukta 609332.73MS, 9721907.08KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa KS103039’16”MG kwa umbali wa kilomita 0.7 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba DT4 yenye majira – nukta 609332.73MS, 9721907.08KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki katika uelekeo wa KS152038’27”MS kwa umbali wa kilomita 0.8 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba DT5 yenye majira – nukta 610205MS, 9720318KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa KS72040’37”MG kwa umbali wa kilomita 2.7 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba DT8 yenye majira – nukta 607467MS, 9719464KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi katika uelekeo wa KZ317047’45”MG kwa umbali wa kilomita 1.1 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba DT9 yenye majira – nukta 606425MS, 9720613KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa KS252015’4”MG kwa umbali wa kilomita 0.5 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba BA22 yenye majira – nukta 605922MS, 9720452KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa KZ3022’47”MS kwa umbali wa kilomita 2.3 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba DT10 yenye majira – nukta 606058MS, 9722755KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi katika uelekeo wa KZ275026’48”MG kwa umbali wa kilomita 0,8 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba DT11 yenye majira – nukta 605198MS, 9722837KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa KZ85056’34”MS kwa umbali wa kilomita 0.3 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba DT12 yenye majira – nukta 605174.63MS, 9723166.49KZ baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa KZ28028’3”MS kwa umbali wa kilomita 3.6 hadi ulipoanzia.” Dodoma, 14 Agosti, 2024 DEOGRATIUS JOHN NDEJEMBI Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi 2