293 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MZG7 yenye majira - nukta 793065.00MS,
Verify source ↗ AI-assisted research summary: This provision describes the boundary of the Mazengo area using survey points, compass directions, and distances.
0.293 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MZG7 yenye majira - nukta 793065.00MS, 9319274.00KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi katika uelekeo wa KS050MG kwa umbali wa kilomita 0.103 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MZG8 yenye majira - nukta 793055.00MS, 9319377.00KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa KZ800MS kwa umbali wa kilomita 0.1 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MZG9 yenye majira - nukta 793153.75MS, 9319394.24KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa KZ140MS kwa umbali wa kilomita 0.46 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MZG10 yenye majira - nukta 793269.54MS, 9319839.37KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki katika uelekeo wa KS460MS kwa umbali wa kilomita 0.01 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MZG11 yenye majira - nukta 793282.19MS, 9319827.57KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki katika uelekeo wa KS290MS kwa umbali wa kilomita 0.573 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MZG12 yenye majira – nukta 793565.00MS, 9319328.79KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Mashariki katika uelekeo wa KS400MS kwa umbali wa klomita 0.634 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MZG13 yenye majira - nukta 793979.09MS, 9318848.45KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Mashariki katika uelekeo wa KS790MS kwa umbali wa kilomita 0.457 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MZG14 yenye majira - nukta 794428.73MS, 9318764.58KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Mashariki katika uelekeo wa KS730MS kwa umbali wa kilomita 0.519 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MZG15 yenye majira - nukta 794926.65MS, 9318614.75KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Mashariki katika uelekeo wa KS400MS kwa umbali wa kilomita 0.459 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MZG16 yenye majira - nukta 795225.11MS, 9318265.85KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Mashariki katika uelekeo wa KS060MS kwa umbali wa kilomita 1.015 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MZG17 yenye majira - nukta 795334.61MS, 9317256.07KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Magharibi katika uelekeo wa KS130MG kwa umbali wa kilomita 0.078 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MZG18 yenye majira - nukta 795315.75MS, 9317180.36KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Magharibi katika uelekeo wa KS290MG kwa umbali wa kilomita 0.249 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MZG19 yenye majira - nukta 795192.90MS, 9316962.83KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Magharibi katika uelekeo wa KS610MG kwa umbali wa kilomita 0.108 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MZG20 yenye 2 Amri ya Kurasimisha Makazi yasiyopangwa katika Eneo la Mazengo Tangazo la Serikali Na. 900 (Linaendelea) majira - nukta 795097.88MS, 9316911.29KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Magharibi katika uelekeo wa KS800MG kwa umbali wa kilomita 0.93 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MZG21 yenye majira - nukta 794179.27MS, 9316762.83KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Magharibi katika uelekeo wa KZ760MG kwa umbali wa kilomita 0.837 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MZG22 yenye majira - nukta 793365.17MS, 9316957.97KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Magharibi katika uelekeo wa KS810MG kwa umbali wa kilomita 1.084 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MZG23 yenye majira - nukta 792291.94MS, 9316799.80KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Magharibi katika uelekeo wa KZ580MG kwa umbali wa kilomita 0.137 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MZG24 yenye majira - nukta 792270.57MS, 9316935.14KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Magharibi katika uelekeo wa KZ170MG kwa umbali wa kilomita 0.327 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MZG25 yenye majira - nukta 792170.46MS, 9317246.91KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Mashariki katika uelekeo wa KZ130MS kwa umbali wa kilomita 0.128 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MZG26 yenye majira - nukta 792200.40MS, 9317371.64KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Magharibi katika uelekeo wa KZ070MS kwa umbali wa kilomita 0.758 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MZG27 yenye majira - nukta 792098.09MS, 9318123.67KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Magharibi katika uelekeo wa KZ160MS kwa umbali wa kilomita 1.397 hadi ulipoanzia. Dodoma, 28 Oktoba, 2024 DEOGRATIUS JOHN NDEJEMBI Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi 3