AI-assisted research summary: Hii sehemu inaeleza mipaka ya Pori la Akiba Mkungunero kwa maelezo ya kijiografia na umbali kati ya vigingi mbalimbali.
865.91 338°52'00.59" 1303.74 349°32'45.61" 2034.93 7°02'15.98" 1004.75 327°03'24.59" 1193.85 9478798.518N 180172.889E 9479703.357N 180043.252E 9480701.777N 179447.044E 9481701.284N 179143.227E 9483699.724N 179247.818E 9485700.566N 179545.988E 9487698.916N 178042.495E 9488699.427N 177676.167E 9489485.099N 177312.135E 9490701.185N 176842.160E 9492702.333N 176472.931E 9493699.514N 176596.036E MGR8 MGR9 MGR10 MGR11 MGR24 MGR25 MGR26 MGR27 VD63 MGR28 MGR29 MGR30 EAX395 (kusini magharibi mwa Hifadhi ya Taifa Tarangire) Alama ya kuanzia 3 Amri ya Kutangaza Eneo la Pori la Akiba Mkungunero Tangazo la Serikali Na.146 (Linaendelea.) PORI LA AKIBA MKUNGUNERO MAELEZO YA MPAKA WA ENEO Kipande chote cha Ardhi ya eneo lenye ukubwa wa Kilomita za mraba 597 kilichopo katika Wilaya ya Kondoa katika Mkoa wa Dodoma kama kilivyoainishwa kweye Ramani ya upimaji yenye usajili Na. 182023 kimeelezwa kijiografia kama ifuatavyo: Kuanzia kwenye kigingi kilichopo kusini magharibi mwa Hifadhi ya Taifa Tarangire Na. EAX395 (9494701.407N, 175946.811E), mpaka utaelekea mashariki kwa umbali wa mita 19247.021 hadi kigingi kilichopo kusini mashariki mwa Hifadhi ya Taifa Tarangire EAX406 (9494720.967N, 195193.823E), kisha mpaka utaelekea kusini mashariki kwa umbali wa mita 1312.69 hadi kigingi Na. EAX406A (9493487.948N, 195644.185E), kisha mpaka utafuata uelekeo wa mashariki kwa umbali wa mita 3757.29 hadi kigingi Na. MGR1 (9493979.210N, 199369.215E) kisha mpaka utaelekea kusini mashariki kwa umbali wa mita 16070.99 hadi kigingi Na. MGR2 (9478710.000N, 204382.000E) kilichopo mpakani mwa Mkoa wa Dodoma na Mkoa wa Manyara, kisha mpaka utaelekea kusini kufuata mpaka wa Mkoa wa Dodoma na Manyara kwa umbali wa mita 16935.94 hadi kigingi Na. MGR3 (9461587.852N, 204494.107) kisha mpaka utaelekea magharibi kwa umbali wa mita 8886.03 hadi kigingi Na. MGR4 (9462051.721N, 195620.190E), kisha mpaka utaelekea kaskazini magharibi kwa umbali wa mita 15829.43 hadi kigingi Na. MGR5 (9476750.937N, 189746.182E), kisha mpaka utaelekea magharibi kwa umbali wa mita 10601.40 hadi kigingi Na. MGR6 (9476500.305N, 179147.743E), kisha mpaka utafuata uelekeo wa kaskazini kwa umbali wa mita 1820.86 hadi kigingi Na. MGR7 (9478300.402N, 179421.961E) kisha mpaka utaelekea kaskazini mashariki kwa umbali wa mita 901.12 hadi kigingi Na. MGR8 (9478798.518N, 180172.889E) kisha mpaka utaelekea kaskazini kwa umbali wa mita 914.08 hadi kigingi Na. MGR9 (9479703.357N, 180043.252E) kisha mpaka utaelekea kaskazini magharibi kwa umbali wa mita 1162.89 hadi kigingi Na. MGR10 (9480701.777N, 179447.044E) kisha mpaka utafuata uelekeo huo wa kaskazini magharibi kwa umbali wa mita 1044.66 hadi kigingi Na. MGR11 (9481701.284N, 179143.227E) kisha mpaka utafuata uelekeo wa kaskazini kwa umbali wa mita 2001.18 hadi kigingi Na. MGR24 (9483699.724N, 179247.818E) kisha mpaka utafuata uelekeo wa kaskazini mashariki kwa umbali wa mita 2022.94 hadi kigingi Na. MGR25 (9485700.566N, 179545.988E) kisha mpaka utaelekea kaskazini magharibi kwa umbali wa mita 2500.78 hadi kigingi Na. MGR26 (9487698.916N, 178042.495E), kisha mpaka utafuata uelekeo huo wa kaskazini magharibi kwa umbali wa mita 1065.47 hadi kigingi Na. MGR27 (9488699.427N, 177676.167E) kisha mpaka utafuata uelekeo huo kwa umbali wa mita 865.91 hadi kigingi Na. VD63 (9489485.099N, 177312.135E) kisha mpaka utafuata uelekeo huo kwa umbali wa mita 1303.74 hadi kigingi Na. MGR28 (9490701.185N, 176842.160E), kisha mpaka utafuata uelekeo huo wa kaskazini magharibi kwa umbali wa mita 2034.93 hadi kigingi Na. MGR29 (9492702.333N, 176472.931E) kisha mpaka utaelekea kaskazini mashariki kwa umbali wa mita 1004.75 hadi kigingi Na. MGR30 (9493699.514N, 176596.036E) kisha mpaka utaelekea kaskazini magharibi kwa umbali wa mita 1193.85 hadi kigingi Na. EAX395 kilichopo kusini magharibi mwa Hifadhi ya Taifa Tarangire alama ya kuanzia. 4 Amri ya Kutangaza Eneo la Pori la Akiba Mkungunero Tangazo la Serikali Na.146 (Linaendelea.) Amri hii imeshuhudiwa kwa saini yangu na kuwekwa Lakiri ya Umma leo tarehe 7 Februari, 2025 L.S IKULU, Dodoma, SAMIA SULUHU HASSAN, Rais 5